Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ali Kiba aibuka na Fally Ipupa

NYOTA wa muziki wa Bongo fleva, Ali Kiba, yupo mbioni kuachia wimbo aliomshirikisha msanii kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Fally Ipupa. Kwa mujibu wa mkali mwengine wa muziki...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BARNABA, FALLY IPUPA ANAKUFAGILIA, SO WHAT?

MWAKA 2008, pale katika Uwanja wa World Cinema uliopo karibu na Kituo cha Daladala cha ITV, kulikuwa na bonge la shoo iliyoandaliwa na Kampuni ya TCC ambapo mwanamuziki mwalikwa alikuwa Fally Ipupa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Fally alikuwa bado bwana mdogo, kipindi hicho ndiyo kwanza ametoka katika kwapa za Koffi Olomide na kuamua kuwa mwimbaji wa kujitegemea. Tulipozungumza naye pale katika Ukumbi wa Kampuni...

 

5 years ago

Bongo5

Video: Fally Ipupa – Eloko Oyo

Msanii Fally Ipupa ameachia video mpya wimbo unaitwa “Eloko Oyo”, angalia hapa chini alafu toa komenti yako.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diamond, P Square, Fally Ipupa pamoja

BAADA ya kutamba vilivyo na ngoma yake ya “My Number One Remex’ aliyoimba na msanii kutoka Nigeria, Davido, msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’ anatarajia kupanda...

 

10 years ago

Bongo5

Barnaba: Fally Ipupa anakifurahia kipaji changu

Barnaba amedai kuwa msanii wa DRC, Fally Ipupa ni mtu anayefurahia kipaji chake. Kwa miaka mingi Barnaba amekuwa na mpango wa kumshirikisha msanii huyo. Hata hivyo ameiambia Bongo5 kuwa anachoshukuru ni kwamba bado wanazungumza vizuri ili kuweka mpango huo wa kufanya kazi pamoja. “Kwanza ni mtu anayenifurahia,” amesema Barnaba. “Fally anafurahia kipaji changu, anapenda talent […]

 

11 years ago

Mwananchi

Fally Ipupa: Nyota anayeipaisha DRC kimuziki

Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo ni miongoni mwa nchi chache barani Afrika, zilizofanya jitihada kubwa kujitambulisha kimataifa kupitia muziki.

 

9 years ago

Bongo5

P-Square na Fally Ipupa walitamani kuwachukua dancers wa Diamond

Dancers wa P-Square pamoja na msanii mkubwa wa nchini Congo, Fally Ipupa walijaribu kumshawishi Diamond ili wafanye kazi ya pamoja na dancers wake. Akizungumza na Bongo5 jana mmoja wa dancers hao, Imma Platnumz, alisema hali hiyo ya kufuatwa na dancers wa P-Square inaonyesha kazi wanayoifanya inakubalika. “Tulikuwa tupo Nigeria tunafanya show, dancers wa P-Square wakataka […]

 

10 years ago

Bongo5

New Video: 2Face Idibia f/ Fally Ipupa — Diaspora Woman

Brand new video from 2Face Idibia titled ‘DIASPORA WOMAN’ featuring FALLY IPUPA off his ‘THE ASCENSION’ album.

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Wizkid na Fally Ipupa waingia studio kufanya collabo

Staa wa Nigeria, Wizkid na staa wa DRC, Fally Ipupa wamekutana Paris, Ufarasa ambako wameenda kufanya show. Wizkid na Fally hawajaiachia fursa hiyo ipite hivi hivi, wameamua kuingia studio huko Paris na kurekodi wimbo mpya wa pamoja. “Good day Paris!! Studio link up with the brother @fallyipupa01” aliandika Wizkid kwenye moja ya picha zake. Hit […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani