Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ali Kiba azungumzia Collabo yake na Davido + Fally Ipupa

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Ali Kiba aibuka na Fally Ipupa

NYOTA wa muziki wa Bongo fleva, Ali Kiba, yupo mbioni kuachia wimbo aliomshirikisha msanii kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Fally Ipupa. Kwa mujibu wa mkali mwengine wa muziki...

 

10 years ago

Bongo5

Diamond kuachia nyimbo 4 mfululizo kabla ya March, ikiwemo collabo yake na Fally Ipupa

Mwaka jana mwishoni (2014) baada ya Diamond kukutana na wasanii wakubwa wa Afrika wakiwemo Fally Ipupa na P-Square nchini Nigeria, alisema “nikikutana na 18 huwa naachia bonge la shuti mpaka nishinde” na kauli yake imetimia. Staa huyo wa ‘Ntampata Wapi’ amefanikiwa kufanya collabo na staa wa DRC, Fally Ipupa ambayo ni miongoni mwa nyimbo nne […]

 

10 years ago

Vijimambo

Davido AKUBALI KUFANYA collabo na Ali Kiba

Davido asema Tanzania ni nchi ya pili kuichukulia kama nyumbani ndio maana alipost bendera ya Tanzania hivi karibuni.Davido ambaye ameshinda tuzo ya msanii bora wa kiume kwenye Mtv Afrika Music Awards amemtaja Ali Kiba kama msanii anayefata kwenye orodha ya wasanii atakao fanya nao kazi Tanzania.

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Wizkid na Fally Ipupa waingia studio kufanya collabo

Staa wa Nigeria, Wizkid na staa wa DRC, Fally Ipupa wamekutana Paris, Ufarasa ambako wameenda kufanya show. Wizkid na Fally hawajaiachia fursa hiyo ipite hivi hivi, wameamua kuingia studio huko Paris na kurekodi wimbo mpya wa pamoja. “Good day Paris!! Studio link up with the brother @fallyipupa01” aliandika Wizkid kwenye moja ya picha zake. Hit […]

 

11 years ago

Bongo5

Davido azungumzia collabo yake na Rick Ross na Meek Mill

Idadi ya collabo za wasanii wa Afrika, hasa Nigeria na mastaa wakubwa wa Marekani zinazidi kuongezeka. Baada ya Wizkid kuthibitisha kufanya collabo na Chris Brown na Rihanna, P-Square na T.I, sasa mshindi wa tuzo 2 za MTV (MAMA) na BET 2014, Davido nae amefunguka kuhusu collabo yake inayokuja na marapper wakubwa wa Marekani. Davido ameuambia […]

 

9 years ago

Mtanzania

Ali Kiba: ‘collabo’ zitatuvusha kimataifa

alikibaNA MWANDISHI WETU

MWANAMUZIKI nguli wa miondoko ya Bongo Fleva, Ali Kiba, amesema moja ya mafanikio anayojivunia katika kazi ya muziki kwa mwaka huu ni ushiriki wake katika onyesho la Coke Studio msimu wa tatu.

Kiba, ambaye amefanya kolabo kwa kushirikiana na mwanamuziki wa kike anayetamba nchini Kenya, Victoria Kimani, alisema anajivunia kuwa miongoni mwa wanamuziki wanaoshiriki maonyesho hayo.

Alisema kuwa ushiriki wake huo umemwezesha kuongeza rekodi yake katika anga la kimataifa na...

 

10 years ago

GPL

DAVIDO KUIMBA WIMBO NA ALI KIBA

Staa wa muziki kutoka Nigeria, Davido. STAA wa muziki kutoka Nigeria, Davido ameweka wazi kuwa ana mpango wa kuimba wimbo kwa kushirikiana na Ali Kiba na mchakato unaendelea kimyakimya.
Ali Kiba. Davido ambaye jina lake lilipata umaarufu nchini kutokana na kushirikiana na Diamond katika Wimbo wa Number One Remix, aliweka wazi hayo wakati akipita kwenye ‘red carpet’ kwenye usiku wa Tuzo za MTV Mama, wikiendi...

 

10 years ago

GPL

BARNABA, FALLY IPUPA ANAKUFAGILIA, SO WHAT?

MWAKA 2008, pale katika Uwanja wa World Cinema uliopo karibu na Kituo cha Daladala cha ITV, kulikuwa na bonge la shoo iliyoandaliwa na Kampuni ya TCC ambapo mwanamuziki mwalikwa alikuwa Fally Ipupa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Fally alikuwa bado bwana mdogo, kipindi hicho ndiyo kwanza ametoka katika kwapa za Koffi Olomide na kuamua kuwa mwimbaji wa kujitegemea. Tulipozungumza naye pale katika Ukumbi wa Kampuni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani