Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Davido AKUBALI KUFANYA collabo na Ali Kiba

Davido asema Tanzania ni nchi ya pili kuichukulia kama nyumbani ndio maana alipost bendera ya Tanzania hivi karibuni.Davido ambaye ameshinda tuzo ya msanii bora wa kiume kwenye Mtv Afrika Music Awards amemtaja Ali Kiba kama msanii anayefata kwenye orodha ya wasanii atakao fanya nao kazi Tanzania.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Ali Kiba: ‘collabo’ zitatuvusha kimataifa

alikibaNA MWANDISHI WETU

MWANAMUZIKI nguli wa miondoko ya Bongo Fleva, Ali Kiba, amesema moja ya mafanikio anayojivunia katika kazi ya muziki kwa mwaka huu ni ushiriki wake katika onyesho la Coke Studio msimu wa tatu.

Kiba, ambaye amefanya kolabo kwa kushirikiana na mwanamuziki wa kike anayetamba nchini Kenya, Victoria Kimani, alisema anajivunia kuwa miongoni mwa wanamuziki wanaoshiriki maonyesho hayo.

Alisema kuwa ushiriki wake huo umemwezesha kuongeza rekodi yake katika anga la kimataifa na...

 

10 years ago

GPL

DAVIDO KUIMBA WIMBO NA ALI KIBA

Staa wa muziki kutoka Nigeria, Davido. STAA wa muziki kutoka Nigeria, Davido ameweka wazi kuwa ana mpango wa kuimba wimbo kwa kushirikiana na Ali Kiba na mchakato unaendelea kimyakimya.
Ali Kiba. Davido ambaye jina lake lilipata umaarufu nchini kutokana na kushirikiana na Diamond katika Wimbo wa Number One Remix, aliweka wazi hayo wakati akipita kwenye ‘red carpet’ kwenye usiku wa Tuzo za MTV Mama, wikiendi...

 

10 years ago

Vijimambo

TAMASHA LA FIESTA LAFANA, DAVIDO, ALI KIBA, DIAMOND WAZUA GUMZO, T.I. AWAKUNA WABONGO

Ilikuwa ni shoo moja nzuri kutoka nyumba ya vipaji ya THTMmoja wa askari waliokuwa wamepangwa katika suala zima la kusimamia usalama ndani ya tamasha la Fiesta 2014 akihakikisha usalama wa kutosha unakuwepo katika eneo hilo,na watazamaji wanapata burudani iliyokusudiwa kutoka kwa wasanii mbalimbali waliotumbuiza usiku wa kuamkia leo katika tamasha la Fiesta 2014 lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya Lidaz Kinondoni jijini Dar.Shaa na madansa wake wakilishambulia jukwaa. 

 

10 years ago

GPL

TAMASHA LA FIESTA 2014: DAVIDO, ALI KIBA, DIAMOND NA T.1 WAZUA GUMZO KWA MASHABIKI

Tamasha la Serengeti Fiesta 2014, usiku wa kuamkia leo lilifunga mitaa ya Jiji la Dar na viunga vyake ambapo burudani ya kufa mtu ilidondoshwa kwenye Viwanja vya Leaders, Kinondoni jijini Dar.

 

9 years ago

Dewji Blog

Diamond Platnumz anyakua ‘3’ tuzo za AFRIMMA 2015, awaacha kwenye mataa Ali Kiba, Davido!

12096534_1001918109830003_2835486665383612207_n

Tayari ‘Icon’ wa Tanzania Diamond Platnum ‘Dangote wa Bongo’ ameweza kuibuka na ushindi wa tuzo tatu katika usiku wa utoaji wa tuzo Africa Muzik Magazine Award ‘AFRIMMA 2015’. Marekani katika mji wa Texas.

(Pichani ni baada ya ushindi huo, Diamond aliweza kuweka picha yake hiyo kupitia mitandao yake yote ya kijamii na kuandika: I realy don’t know What to say  …dha! hata sijui nizungumze nini… 

(Eeh Mungu baba tunakushkuru sana kwa kuzidi kuunyanyua na kuupa Thamani mziki wetu wa Afrika...

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA FIESTA LAFANA,DAVIDO,ALI KIBA,DIAMOND WAZUA GUMZO KWA MASHABIKI,T.I AWAKUNA WABONGO

Mmoja wa askari waliokuwa wamepangwa katika suala zima la kusimamia usalama ndani ya tamasha la Fiesta 2014 akihakikisha usalama wa kutosha unakuwepo katika eneo hilo,na watazamaji wanapata burudani iliyokusudiwa kutoka kwa wasanii mbalimbali waliotumbuiza usiku wa kuamkia leo katika tamasha la Fiesta 2014 lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya Lidaz Kinondoni jijini Dar.Shaa na madansa wake wakilishambulia jukwaa. 
Pichani kulia ni Msanii kutoka nchini Nigeria ajulikanae...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani