Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMASHA LA FIESTA LAFANA, DAVIDO, ALI KIBA, DIAMOND WAZUA GUMZO, T.I. AWAKUNA WABONGO

Ilikuwa ni shoo moja nzuri kutoka nyumba ya vipaji ya THTMmoja wa askari waliokuwa wamepangwa katika suala zima la kusimamia usalama ndani ya tamasha la Fiesta 2014 akihakikisha usalama wa kutosha unakuwepo katika eneo hilo,na watazamaji wanapata burudani iliyokusudiwa kutoka kwa wasanii mbalimbali waliotumbuiza usiku wa kuamkia leo katika tamasha la Fiesta 2014 lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya Lidaz Kinondoni jijini Dar.Shaa na madansa wake wakilishambulia jukwaa. 

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA FIESTA LAFANA,DAVIDO,ALI KIBA,DIAMOND WAZUA GUMZO KWA MASHABIKI,T.I AWAKUNA WABONGO

Mmoja wa askari waliokuwa wamepangwa katika suala zima la kusimamia usalama ndani ya tamasha la Fiesta 2014 akihakikisha usalama wa kutosha unakuwepo katika eneo hilo,na watazamaji wanapata burudani iliyokusudiwa kutoka kwa wasanii mbalimbali waliotumbuiza usiku wa kuamkia leo katika tamasha la Fiesta 2014 lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya Lidaz Kinondoni jijini Dar.Shaa na madansa wake wakilishambulia jukwaa. 
Pichani kulia ni Msanii kutoka nchini Nigeria ajulikanae...

 

10 years ago

GPL

TAMASHA LA FIESTA 2014: DAVIDO, ALI KIBA, DIAMOND NA T.1 WAZUA GUMZO KWA MASHABIKI

Tamasha la Serengeti Fiesta 2014, usiku wa kuamkia leo lilifunga mitaa ya Jiji la Dar na viunga vyake ambapo burudani ya kufa mtu ilidondoshwa kwenye Viwanja vya Leaders, Kinondoni jijini Dar.

 

10 years ago

GPL

ALI KIBA AKANUSHA KUANDAA WATU WAMZOMEE DIAMOND KWENYE FIESTA

Msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba akifanya yake katika Tamasha la Serengeti Fiesta Leaders Club lilifanyika hivi karibuni. Msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba amekanusha uvumi unaodai kuwa huenda aliaandaa watu maalum wa kumzomea msanii Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' kwenye shoo ya Fiesta iliyofanyika October 18 katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond… ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Diamond Platnumz anyakua ‘3’ tuzo za AFRIMMA 2015, awaacha kwenye mataa Ali Kiba, Davido!

12096534_1001918109830003_2835486665383612207_n

Tayari ‘Icon’ wa Tanzania Diamond Platnum ‘Dangote wa Bongo’ ameweza kuibuka na ushindi wa tuzo tatu katika usiku wa utoaji wa tuzo Africa Muzik Magazine Award ‘AFRIMMA 2015’. Marekani katika mji wa Texas.

(Pichani ni baada ya ushindi huo, Diamond aliweza kuweka picha yake hiyo kupitia mitandao yake yote ya kijamii na kuandika: I realy don’t know What to say  …dha! hata sijui nizungumze nini… 

(Eeh Mungu baba tunakushkuru sana kwa kuzidi kuunyanyua na kuupa Thamani mziki wetu wa Afrika...

 

10 years ago

GPL

ALI KIBA ACHA HIZO, KWANI WABONGO HAWAJUI?

UNAWEZA kutumia muda mrefu kumtafuta na pengine usimuone kijana mmoja anayeitwa Ali Saleh, lakini ikakuchukua sekunde chache tu kumpata Ali Kiba, yule nyota wa muziki wa kizazi kipya, aliyeibuka na kibao cha Cinderela miaka kadhaa iliyopita. Yuko katika game kitambo sasa na kazi zake nyingi zinafahamika, hasa kwa kuwa amethibitisha pasipo shaka kwamba anao uwezo mkubwa wa kuimba. Hivi karibuni Ali Kiba aliteuliwa kuwa mmoja wa...

 

9 years ago

GPL

DIAMOND, MTOTO WAZUA GUMZO

Mwandishi wetu GUMZO! Mkali wao kwenye Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mtoto wa dada yake Esma, Taraj wamezua gumzo la aina yake baada picha yao kutupiwa mtandaoni na watu kudhani ni yule Tiffah wa Diamond ambaye hajawahi kuonekana sura. Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya Esma kuiweka picha inayomuonesha Diamond akiwa amelala kitandani na Tahaj ndipo watu walipofikiri ni ya...

 

10 years ago

GPL

DAVIDO KUIMBA WIMBO NA ALI KIBA

Staa wa muziki kutoka Nigeria, Davido. STAA wa muziki kutoka Nigeria, Davido ameweka wazi kuwa ana mpango wa kuimba wimbo kwa kushirikiana na Ali Kiba na mchakato unaendelea kimyakimya.
Ali Kiba. Davido ambaye jina lake lilipata umaarufu nchini kutokana na kushirikiana na Diamond katika Wimbo wa Number One Remix, aliweka wazi hayo wakati akipita kwenye ‘red carpet’ kwenye usiku wa Tuzo za MTV Mama, wikiendi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani