Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BOSI AMJERUHI MFANYAKAZI WAKE, AZIMIA

Stori: Makongoro Oging’
Mfanyakazi wa kike Eugenia John, anayefanya kazi katika duka linalouza vifaa vya simu Mtaa wa Aggrey, Kariakoo jijini Dar es Salaam anadaiwa kupigwa na kujeruhiwa hadi kuzimia na bosi wake aliyejulikana kwa jina moja la Chuwa. Chanzo chetu cha habari kinadai kwamba tukio hilo lilitokea hivi karibuni na wakati mfanyakazi huyo anapigwa imedaiwa alikuwa akilia kwa uchungu kitendo kilichowafanya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BOSI ADAIWA KUMKATA MAPANGA MFANYAKAZI WA NDANI

Na Joseph Ngilisho, Arusha UKATILI? Msichana wa kazi za ndani, Fonolia Lembres (12) amenusurika kuuawa na mwajiri wake aliyetambulika kwa jina la Emmanuel Msovera ambaye ni kondakta wa Hiace, baada ya kushambuliwa kwa kipigo na kukatwakatwa mapanga mwilini. Msichana wa kazi za ndani, Fonolia Lembres (12) aliyeshambuliwa kwa mapanga na tajiri wake,  Emmanuel Msovera. Fonolia ambaye kwa sasa amelazwa katika Hospitali ya Mkoa...

 

10 years ago

Habarileo

Mgombea uenyekiti, mfanyakazi wake wauawa

Kamanda wa Polisi mkoani Tabora, Suzan KagandaALIYEKUWA mgombea nafasi ya Uenyekiti wa Serikali ya kitongoji cha Idodomiya kijiji cha Kanoga na mfanyakazi wake kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, wameuawa kwa kupigwa kwa mapanga.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Nyambui amsimamisha kazi mfanyakazi wake

KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Suleiman Nyambui, amesema kukosekana kwa katiba katika Shirikisho hilo sio sababu ya wanamichezo kufanya vibaya katika mashindano ya Kitaifa na Kimataifa. Akizungumza...

 

9 years ago

GPL

BOSI AMFANYIA UMAFIA HAUSIGELI WAKE!

UMAFIA wa kutisha! Dada mmoja aliyefahamika kwa jina la Mariamu mkazi wa Mwananyamala jijini Dar, amefanyiwa umafia kama siyo unyama wa kutisha na bosi wake aliyekuwa akimfanyia kazi za ndani.  Mariamu akiwa na majeraha mwilini baada ya kujeruhiwa na bosi wake. Mariam aliliambia gazeti hili juzi kuwa, tukio hilo lilitokea usiku wa Jumapili ya Septemba 13, mwaka huu nyumbani kwa bosi wake huyo aitwaye David maeneo ya Kinondoni...

 

11 years ago

GPL

HAUSIGELI MIAKA 8 AJERUHIWA NA BOSI WAKE

Stori: Makongoro Oging’ Mtoto Miseto (8), anayedaiwa alikuwa akifanya kazi za ndani kwa mama mmoja aliyejulikana kwa jina la  Mary Jerald mkazi wa Kijiji cha Busurwa, Wilaya ya Rorya, mkoani Mara ameokotwa ufukweni mwa Ziwa Victoria Juni 28, mwaka huu akiwa amejeruhiwa na anayedaiwa ni bosi wake. Mtoto Miseto (8) aliyejeruhiwa na anayedaiwa kuwa bosi wake. Taarifa kutoka kwa shuhuda wa tukio hilo, Akeyo Thomas...

 

11 years ago

Mwananchi

Mfanyakazi wa ndani adaiwa kuua mwajiri wake

>Karani wa Mahakama ya Wilaya ya Singida, Asha Juma(24), ameuawa kwa kuchomwa kisu na mfanyakazi wake wa ndani.

 

11 years ago

Habarileo

Mfaransa atuhumiwa kumdhuru mfanyakazi wake wa ndani

RAIA wa Ufaransa , Folkertsma Laurent (41), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Ilala, jijini Dar es Salaam, kujibu mashitaka ya kumdhuru mfanyakazi wake wa ndani.

 

9 years ago

Global Publishers

Afisa wa Intelijensia wa TANAPA Aliuawa na Mfanyakazi Wake wa Ndani

liberatusi-saJeshi la Polisi Mkoani hapa (Arusha) limefanikiwa kumkamata mtu mmoja aitwaye Ismail Swalehe Sang’wa (20) ambaye ni mwenyeji wa kijiji cha Sepuka wilayani Ikungi katika Mkoa wa Singida kwa tuhuma za kumuua Afisa wa Intelijensia wa TANAPA aitwaye Emily Kisamo (52). Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana  asubuhi , Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Liberatus Sabas alisema tukio hilo la mauaji ya Afisa huyo wa TANAPA lilitokea tarehe 18.12.2015 muda...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Ofisa Usalama kizimbani kwa mauaji ya bosi wake


NA FURAHA OMARY
OFISA Usalama wa Taifa, Mohammed Kazembe, anayetuhumiwa kumuua bosi wake, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa shitaka la mauaji, akiwa hoi hajiwezi.
Kazembe (33), alifikishwa mahakamani hapo jana asubuhi, akiwa amebebwa na watu wawili huku mguu wake wa kushoto ukiwa umefungwa bandeji kutoka kwenye kisigino hadi ugokoni na mkononi alikuwa na njia ya kuwekea dripu ya maji.
Mshitakiwa huyo, mkazi wa Mwananyamala, ambaye hakuwa na uwezo wowote wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani