Mfaransa atuhumiwa kumdhuru mfanyakazi wake wa ndani
RAIA wa Ufaransa , Folkertsma Laurent (41), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Ilala, jijini Dar es Salaam, kujibu mashitaka ya kumdhuru mfanyakazi wake wa ndani.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi01 Jul
Mfanyakazi wa ndani adaiwa kuua mwajiri wake
>Karani wa Mahakama ya Wilaya ya Singida, Asha Juma(24), ameuawa kwa kuchomwa kisu na mfanyakazi wake wa ndani.
9 years ago
Global Publishers25 Dec
Afisa wa Intelijensia wa TANAPA Aliuawa na Mfanyakazi Wake wa Ndani
![liberatusi-sa](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/12/liberatusi-sa.jpg)
11 years ago
Uhuru Newspaper31 Jul
Mfanyakazi wa ndani atoweka na kichanga
Mwingine aiba mtoto wa miaka
miwili, amtelekeza barabarani
NA MWANDISHI WETU, MWANZA
WIMBI la wizi wa watoto sasa limeanza kushika kasi nchini, ambapo watumishi wawili wa ndani kwa nyakati na maeneo tofauti, wametoweka na watoto wa waajiri wao.
Miongoni mwa watoto walioibwa, yupo mwenye umri wa miezi tisa na mwingine miaka miwili na nusu. Kati ya hao, mmoja amepatikana akiwa ametelekezwa barabarani.
Watumishi hao walikuwa wakiwalea watoto hao, ambapo waliofanikiwa kuwaiba wazazi wao wakiwa kwenye...
11 years ago
Mwananchi21 Jul
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-oa7kqt2qaUw/XmjNIDydUlI/AAAAAAALilM/5eEHKrCBsGAna30qUs7C__vJX76nTeddgCLcBGAsYHQ/s72-c/w600-p16x9-6f499fca07ff9fe7031ef4e00bd8791338dc7860.jpg)
WANAMKE ADAIWA KUUWA MFANYAKAZI WA NDANI
![](https://1.bp.blogspot.com/-oa7kqt2qaUw/XmjNIDydUlI/AAAAAAALilM/5eEHKrCBsGAna30qUs7C__vJX76nTeddgCLcBGAsYHQ/s640/w600-p16x9-6f499fca07ff9fe7031ef4e00bd8791338dc7860.jpg)
Mwanamke huyo ambaye anashikiliwa na jeshi la Polisi mkoani hapa,anadaiwa kutenda tukio la kumshambulia binti huyo siku ya Alhamis wiki iliyopita na baadaye alimfungia katika chumba kimoja wapo katika nyumba yake kwa muda wa siku mbili bila...
10 years ago
Habarileo07 Sep
Aliyembaka mfanyakazi wa ndani jela miaka 30
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani imemhukumu kwenda jela miaka 30 mlinzi wa Shule ya Sekondari ya Mbwawa Steven Solomon (29) kwa kosa la kumbaka mfanyakazi wake wa nyumbani mwenye umri wa miaka 16.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hXj4gw9-MpNRFDI46MPwRW9lsetooNW0bjk2BCNei7g4krMIhlHa5zq60zKXw8IXQrumr-yKtcZNwkhPikh3GyN7whQ5-J0S/BOS.jpg?width=650)
BOSI ADAIWA KUMKATA MAPANGA MFANYAKAZI WA NDANI
Na Joseph Ngilisho, Arusha UKATILI? Msichana wa kazi za ndani, Fonolia Lembres (12) amenusurika kuuawa na mwajiri wake aliyetambulika kwa jina la Emmanuel Msovera ambaye ni kondakta wa Hiace, baada ya kushambuliwa kwa kipigo na kukatwakatwa mapanga mwilini. Msichana wa kazi za ndani, Fonolia Lembres (12) aliyeshambuliwa kwa mapanga na tajiri wake, Emmanuel Msovera. Fonolia ambaye kwa sasa amelazwa katika Hospitali ya Mkoa...
9 years ago
Mwananchi23 Aug
Mfanyakazi wa ndani aliyetwaa tuzo ya Malkia Elizaberth
Ukitaja jina la Angela Benedicto kwa wakazi wa Mkoa wa Mwanza litakuwa siyo geni kutokana na jitihada zake za kupambana na umaskini, amekuwa mtu muhimu katika jamii inayomzunguka hasa kwa kuwasaidia waofanya kazi za ndani.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8pnqwPqNt2N78fiwwCqUFQaV7nOEt5FuR9o6lLg19-3cUg8K2YLCE6v-*RJjLnSKBrmU1Zciy16xd8mJM0WKtUwGWczIazNB/kijamii.jpg?width=650)
BOSI AMJERUHI MFANYAKAZI WAKE, AZIMIA
Stori: Makongoro Oging’
Mfanyakazi wa kike Eugenia John, anayefanya kazi katika duka linalouza vifaa vya simu Mtaa wa Aggrey, Kariakoo jijini Dar es Salaam anadaiwa kupigwa na kujeruhiwa hadi kuzimia na bosi wake aliyejulikana kwa jina moja la Chuwa. Chanzo chetu cha habari kinadai kwamba tukio hilo lilitokea hivi karibuni na wakati mfanyakazi huyo anapigwa imedaiwa alikuwa akilia kwa uchungu kitendo kilichowafanya...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania