WANAMKE ADAIWA KUUWA MFANYAKAZI WA NDANI
Na Woinde Shizza, ArushaMWANAMKE mmoja aliyetambulika kwa jina la Mkami Shirima(33) mkazi wa Ilikiurei nje kidogo ya jiji la Arusha, anadaiwa kumuua mfanyakazi wake wa ndani, Salome Zacharia (17)kwa kumpiga fimbo akimtuhumu kuiba shilingi elfu 50.
Mwanamke huyo ambaye anashikiliwa na jeshi la Polisi mkoani hapa,anadaiwa kutenda tukio la kumshambulia binti huyo siku ya Alhamis wiki iliyopita na baadaye alimfungia katika chumba kimoja wapo katika nyumba yake kwa muda wa siku mbili bila...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLBOSI ADAIWA KUMKATA MAPANGA MFANYAKAZI WA NDANI
11 years ago
Mwananchi01 Jul
Mfanyakazi wa ndani adaiwa kuua mwajiri wake
11 years ago
Mwananchi08 Aug
Adaiwa kumdhalilisha mfanyakazi
11 years ago
Uhuru Newspaper31 Jul
Mfanyakazi wa ndani atoweka na kichanga
Mwingine aiba mtoto wa miaka
miwili, amtelekeza barabarani
NA MWANDISHI WETU, MWANZA
WIMBI la wizi wa watoto sasa limeanza kushika kasi nchini, ambapo watumishi wawili wa ndani kwa nyakati na maeneo tofauti, wametoweka na watoto wa waajiri wao.
Miongoni mwa watoto walioibwa, yupo mwenye umri wa miezi tisa na mwingine miaka miwili na nusu. Kati ya hao, mmoja amepatikana akiwa ametelekezwa barabarani.
Watumishi hao walikuwa wakiwalea watoto hao, ambapo waliofanikiwa kuwaiba wazazi wao wakiwa kwenye...
10 years ago
Habarileo07 Sep
Aliyembaka mfanyakazi wa ndani jela miaka 30
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani imemhukumu kwenda jela miaka 30 mlinzi wa Shule ya Sekondari ya Mbwawa Steven Solomon (29) kwa kosa la kumbaka mfanyakazi wake wa nyumbani mwenye umri wa miaka 16.
9 years ago
Mwananchi23 Aug
Mfanyakazi wa ndani aliyetwaa tuzo ya Malkia Elizaberth
11 years ago
Habarileo03 Jul
Mfaransa atuhumiwa kumdhuru mfanyakazi wake wa ndani
RAIA wa Ufaransa , Folkertsma Laurent (41), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Ilala, jijini Dar es Salaam, kujibu mashitaka ya kumdhuru mfanyakazi wake wa ndani.
11 years ago
Habarileo23 Jul
Polisi Dodoma wachunguza kifo cha mfanyakazi wa ndani
MSICHANA aliyekuwa akifanya kazi za ndani, Safela Andrew (18) amekutwa amekufa katika nyumba isiyotumika mjini hapa na Polisi wanafanya uchunguzi wa kifo hicho.
10 years ago
Bongo515 Dec
Mfanyakazi wa ndani ya Uganda afungwa miaka minne jela