Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi Dodoma wachunguza kifo cha mfanyakazi wa ndani

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David MisimeMSICHANA aliyekuwa akifanya kazi za ndani, Safela Andrew (18) amekutwa amekufa katika nyumba isiyotumika mjini hapa na Polisi wanafanya uchunguzi wa kifo hicho.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Polisi wachunguza kifo cha mfanyabiashara Arusha

KAMANDA wa Polisi mkoani Arusha, Liberatus Sabas amesema mfanyabiashara wa nyumba za muda za wageni wa kitalii Bush Camp, Timoth Mroki (36) alijiua kwa kujipiga risasi kifuani kwa kutumia bastola yake aina ya KEL –TEC, yenye namba za usajili HCB21.

 

10 years ago

Michuzi

Just in: polisi wachunguza sababu ya kifo cha aisha madinda, mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho Kigamboni

Jeshi la Polisi leo limezuia mazishi ya aliyekuwa mnenguaji nguli wa bendi Aisha Mohammed Mbegu (Aisha Madinda) ili kujua mimi kilichosababisha kifo chake. Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya The African Stars Entertainment (ASET) Bi. Asha Baraka amethibitisha hilo na kusema  kwamba mwili ndiyo ulikua unapelekwa Muhimbili kwa ajili ya uchunguzi. “Mjomba wa marehemu amejaribu kuwaomba sana Polisi waache kuuchunguza mwili wa Aisha kwani wamemshukuru Mungu kwa yote lakini wamekataa hivyo hadi...

 

10 years ago

Habarileo

Mtoto mgonjwa anusurika kifo kwa kipigo cha mfanyakazi

MTOTO wa miaka miwili aliyekuwa mgonjwa, amenusurika kifo baada ya kupata kipigo kutoka kwa dada wa kazi, Jolly Tumuhiirwe (22), aliyekuwa akimlisha huko Uganda.

 

11 years ago

GPL

UONGOZI WA AZANIA BENKI UNATANGAZA KIFO CHA MFANYAKAZI WAKE,LILIAN PEPPI GONDWE

Marehemu Lilian Peppi Gondwe. UONGOZI wa Azania Benki unatangaza kifo cha Mfanyakazi wake,Lilian Peppi Gondwe kilichotokea
usiku wa kuamkia leoJumatatu Mei 5 katika hosptali ya Arusha Medical Center ya jijini Arusha  alipokuwa akipatiwa matibabu ya Saratani. Mipangoya Mazishi inafanyika  nyumbani kwa marehemu eneo la Kimandolu jijini Arusha ambapo mazishi yanatarajia kufanyika Alhamis Mei 8 mwaka huu katika makaburi ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi wachunguza bastola ya msafara wa Chenge

Polisi mkoani hapa inafanya uchunguzi wa uhalali wa umiliki wa silaha iliyotumiwa na mmoja wa makada wa CCM, Ahmed Ismail katika vurugu zilizotokea baina ya wafuasi wa Chadema na msafara wa Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge.

 

10 years ago

BBCSwahili

Balotelli:polisi wachunguza ubaguzi wa rangi

Polisi wameanzisha uchunguzi kuhusiana na ubaguzi wa rangi dhidi ya Mario Balotelli

 

9 years ago

Habarileo

Polisi Ilala wachunguza ujambazi kwenye daladala

JESHI la Polisi limesema linachunguza tukio la uporaji wa Dola za Marekani 570 lililofanyika kwenye daladala katika eneo la Jangwani, jijini Dar es Salaam lililosababisha kifo na majeruhi.

 

9 years ago

Mwananchi

Mgombea ‘aliyetekwa’ Mtwara apatikana, polisi wachunguza

Jeshi la polisi Mkoa wa Mtwara limesema linachunguza kwa kina taarifa za kutekwa kwa mgombea ubunge jimbo la Mtwara mjini (Chadema) Joel Nanauka na endapo litabaini kuna udanganyifu ameufanya dhidi ya tukio hilo hatua za kisheria zitachukuliuwa  dhidi yake.

 

5 years ago

Michuzi

Burkina Faso yaripoti kifo cha kwanza cha Corona 'Sub-Sahara', virusi hivyo vyaua karibu 500 Italia ndani ya saa 24

Waathiriwa wa kirusi cha corona nchini Kenya wamefikia watu saba baada ya watu wengine watatu kuthibitishwa kuambukizwa kirusi hicho.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatano, Waziri wa Afya wa Kenya, Mutahi Kagwe amesema kuwa, watu wote hao saba wametoka nje ya Kenya. Wawili kati ya wagonjwa hao watatu wa karibuni kabisa wametokea Madrid Uhispania kupitia Dubai na mgonjwa wa tatu ni raia wa Burundi aliyewasili katika Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi akitokea Dubai...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani