Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UONGOZI WA AZANIA BENKI UNATANGAZA KIFO CHA MFANYAKAZI WAKE,LILIAN PEPPI GONDWE

Marehemu Lilian Peppi Gondwe. UONGOZI wa Azania Benki unatangaza kifo cha Mfanyakazi wake,Lilian Peppi Gondwe kilichotokea
usiku wa kuamkia leoJumatatu Mei 5 katika hosptali ya Arusha Medical Center ya jijini Arusha  alipokuwa akipatiwa matibabu ya Saratani. Mipangoya Mazishi inafanyika  nyumbani kwa marehemu eneo la Kimandolu jijini Arusha ambapo mazishi yanatarajia kufanyika Alhamis Mei 8 mwaka huu katika makaburi ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BENKI YA AZANIA TAWI LA MOSHI, YAWAANDALIA WATEJA WAKE NA WAFANYAKAZI PARTY YA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA

Wafanyakazi wa Benki ya Azania Tawi la Moshi, wakiwa wamejumuika katika sherehe ya kupongezana kwa mafanikio waliyoyapata katika mwaka ulioisha wa 2014 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2015. Sherehe hiyo ilifanyika jana katika Benki hilo, lililoko, mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro.Meneja wa Benki ya Azania Tawi la Moshi, Bi.Hajira Mmambe, akifungua zawadi katika hafla ya kuuaga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2015 iliyofanyika jana kama sehemu ya kuwapongeza wafanyakazi wa Benki hiyo....

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA AZANIA TAWI LA MOSHI YAPITA MITAANI NA KUTOA MKONO WA KRISMASI NA HERI YA MWAKA MPYA KWA WATEJA WAKE

Mkurugenzi wa Idara ya Oparesheni ya Benki ya Azania, Togolani Mramba (wa pili kushoto), akimkabidhi zawadi mmoja wa wateja wakuu wa Benki hiyo mkoani Kilimanjaro, Mfanyabiashara wa Nafaka, Izina Rashid Msangi, ikiwa ni utaratibu wa kawaida wa Benki hiyo kutoa mkono wa shukrani kwa wateja wake na kuwatakia heri katika sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya, wanaoshuhudia ni wafanyakazi wa Benki hiyo, wakiongozwa na Meneja wa Azania Tawi la Moshi, Bi. Hajira Mmambe.Timu ya Wafanyakazi wa Benki ya...

 

11 years ago

Habarileo

Polisi Dodoma wachunguza kifo cha mfanyakazi wa ndani

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David MisimeMSICHANA aliyekuwa akifanya kazi za ndani, Safela Andrew (18) amekutwa amekufa katika nyumba isiyotumika mjini hapa na Polisi wanafanya uchunguzi wa kifo hicho.

 

10 years ago

Habarileo

Mtoto mgonjwa anusurika kifo kwa kipigo cha mfanyakazi

MTOTO wa miaka miwili aliyekuwa mgonjwa, amenusurika kifo baada ya kupata kipigo kutoka kwa dada wa kazi, Jolly Tumuhiirwe (22), aliyekuwa akimlisha huko Uganda.

 

11 years ago

Michuzi

AZANIA BANK LTD YAFUTURISHA WATEJA WAKE NA YATIMA KITUO CHA MITINDO HOUSE FOUNDATION

 Mkurugenzi Mtendaji wa Azania Bank Limited,Bwa.Charles Singili akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali waliofika kupata ftari ya pamoja iliyoandaliwa na Benki ya Azania,mwishoni mwa wiki kwenye moja ya ukumbi  uliopo ndani ya jengo la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Bwa.Singili alisema kuwa Benki ya Azania ni kama sehemu ya jamii, watajitahidi kutoa msaada kwa jamii katika Nyanja za elimu,afya na kusaidia yatima kila nafasi na uwezo unaporuhusu.Benki ya Azania pia iliwaalika...

 

11 years ago

GPL

AZANIA BANK LTD YAFUTURISHA WATEJA WAKE NA YATIMA KITUO CHA MITINDO HOUSE FOUNDATION‏

 Mkurugenzi Mtendaji wa Azania Bank Limited,Bwa.Charles Singili akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali waliofika kupata futari ya pamoja iliyoandaliwa na Benki ya Azania,mwishoni mwa wiki kwenye moja ya ukumbi  uliopo ndani ya jengo la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).…

 

9 years ago

StarTV

Uongozi DP waitaka Serikali kufuatilia kwa makini chanzo kifo cha mtikila

Chama cha Democratic DP kimeiomba Serikali na vyombo vya dola kufuatilia kwa kina chanzo cha kifo cha mwenyekiti wa chama hicho Mchungaji Christopher Mtikila kufuatia kuibuka utata wa kifo hicho kilichotokea kwa ajali ya gari Octoba NNE mwaka huu

Akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwa marehemu Naibu Katibu Mkuu wa DP, Abdul Mluya amesema wameshangazawa na kushtushwa na ajali hiyo na wanafikiri ni ajali ya kupangwa

Naibu Katibu Mkuu wa DP, Abdul Mluya amesema Mchungaji Mtikila...

 

11 years ago

Mwananchi

Maduka, benki vyafungwa kuomboleza kifo cha Nelson Mandelea

Shughuli nyingi za biashara zimesimama katika jiji hili kuu la kibiashara kutokana na pilikapilika za watu wengi kumiminika kumuaga kiongozi wao, Nelson Mandela.

 

10 years ago

Michuzi

AZANIA BENKI WAZINDUA AKAUNTI MPYA YA DHAMIRA

MKURUGENZI mtendaji wa Azania benki,Charles Singili amewataka wananchi kuwa na mazoea ya kujiwekea akiba kwa manufaa ya baadae.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa uzinduzi wa akauni mpya ya benki hiyo iitwayo Dhamira, Singili amesema kuwa utaratibu wa kujiwekea akiba utapunguza tatizo la umasikini kwa wananchi.
Aliongezea kuwa, endapo wananchi wakipatiwa elimu kuhisu faida za kutunza fedha zao,itasaidia kupunguza hali ya umasikini uliopo sasa.
"Kwa kutambua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani