AZANIA BANK LTD YAFUTURISHA WATEJA WAKE NA YATIMA KITUO CHA MITINDO HOUSE FOUNDATION
![](http://1.bp.blogspot.com/-jB6xxq-8ebI/U8wfRHZNWDI/AAAAAAAClz8/Cf2HnziWQMM/s72-c/1+(4).jpg)
Mkurugenzi Mtendaji wa Azania Bank Limited,Bwa.Charles Singili akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali waliofika kupata ftari ya pamoja iliyoandaliwa na Benki ya Azania,mwishoni mwa wiki kwenye moja ya ukumbi uliopo ndani ya jengo la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).
Bwa.Singili alisema kuwa Benki ya Azania ni kama sehemu ya jamii, watajitahidi kutoa msaada kwa jamii katika Nyanja za elimu,afya na kusaidia yatima kila nafasi na uwezo unaporuhusu.Benki ya Azania pia iliwaalika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-jB6xxq-8ebI/U8wfRHZNWDI/AAAAAAAClz8/Cf2HnziWQMM/s1600/1+(4).jpg)
AZANIA BANK LTD YAFUTURISHA WATEJA WAKE NA YATIMA KITUO CHA MITINDO HOUSE FOUNDATION
11 years ago
MichuziAZANIA BANK LTD TAWI LA MOSHI YAFUTURISHA WATEJA WAKE
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-WX6_r6JHb9c/U9YYNppcnYI/AAAAAAAF7T4/H43lsbar6_0/s72-c/Untitled2.jpg)
AZANIA BANK YAFUTARISHA WATEJA WAKE MJINI KAHAMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-WX6_r6JHb9c/U9YYNppcnYI/AAAAAAAF7T4/H43lsbar6_0/s1600/Untitled2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-ebqRJslp-7A/U9YYJ-4Dq3I/AAAAAAAF7Tc/J-Cwx7cGNCk/s1600/Untitled.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Q5EbV1G0lCE/U9YYLIUezrI/AAAAAAAF7Tg/eEbJ6RCmr3I/s1600/Untitled1.jpg)
10 years ago
Dewji Blog10 Jul
DStv Tanzania yafuturisha Watoto Yatima wa kituo cha Al- Madina
Mkuu wa kituo cha Kulelea Watoto yatima cha Al-Madina, Bi. Kulthum Juma akizungumzia kuhusu kituo hicho pamoja na kutoa shukrani kwa kampuni ya Multichoice Tanzania kwa kuendelea kukisaidia kituo cha hicho ambacho kina takribani watoto 68 na pia kituo hicho kipo eneo la Tandale kwa Tumbo jijini Dar.
Ustadhi Mashaka Salim akitoa neno.
Mkurugenzi wa Multichoice Tanzania, Peter Fauel akichukua chakula wakati wa kuwafuturisha watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha Al-Madina kilichopo...
10 years ago
GPLDSTV TANZANIA YAFUTURISHA WATOTO YATIMA WA KITUO CHA AL- MADINA
10 years ago
GPLDSTV TANZANIA YAFUTURISHA WATOTO YATIMA WA KITUO CHA AL- MADINA DAR ES SWALAAM
11 years ago
MichuziVODACOM FOUNDATION YAFUTURISHA WATOTO YATIMA ZANZIBAR
11 years ago
GPLVODACOM FOUNDATION YAFUTURISHA WATOTO YATIMA ZANZIBAR
10 years ago
MichuziWAFANYAKAZI AZANIA BANK TAWI LA MOSHI YAHAMASISHA WATEJA KUFUNGUA AKAUNTI YA DHAMIRA
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10