Mgombea ‘aliyetekwa’ Mtwara apatikana, polisi wachunguza
Jeshi la polisi Mkoa wa Mtwara limesema linachunguza kwa kina taarifa za kutekwa kwa mgombea ubunge jimbo la Mtwara mjini (Chadema) Joel Nanauka na endapo litabaini kuna udanganyifu ameufanya dhidi ya tukio hilo hatua za kisheria zitachukuliuwa dhidi yake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi09 Oct
Mgombea ubunge ‘aliyetekwa’ ahamishiwa Muhimbili
10 years ago
BBCSwahili22 Sep
Balotelli:polisi wachunguza ubaguzi wa rangi
10 years ago
Mwananchi25 Apr
Polisi wachunguza bastola ya msafara wa Chenge
10 years ago
Habarileo28 Oct
Polisi wachunguza kifo cha mfanyabiashara Arusha
KAMANDA wa Polisi mkoani Arusha, Liberatus Sabas amesema mfanyabiashara wa nyumba za muda za wageni wa kitalii Bush Camp, Timoth Mroki (36) alijiua kwa kujipiga risasi kifuani kwa kutumia bastola yake aina ya KEL –TEC, yenye namba za usajili HCB21.
9 years ago
Habarileo30 Aug
Polisi Ilala wachunguza ujambazi kwenye daladala
JESHI la Polisi limesema linachunguza tukio la uporaji wa Dola za Marekani 570 lililofanyika kwenye daladala katika eneo la Jangwani, jijini Dar es Salaam lililosababisha kifo na majeruhi.
10 years ago
Mwananchi18 Mar
Familia ya aliyetekwa walia na polisi, watekaji
11 years ago
Habarileo23 Jul
Polisi Dodoma wachunguza kifo cha mfanyakazi wa ndani
MSICHANA aliyekuwa akifanya kazi za ndani, Safela Andrew (18) amekutwa amekufa katika nyumba isiyotumika mjini hapa na Polisi wanafanya uchunguzi wa kifo hicho.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-FVPeEemDNeY/VJLIp2m2ytI/AAAAAAAG4JE/xHuIvGbK-u8/s72-c/IMG_1612.jpg)
Just in: polisi wachunguza sababu ya kifo cha aisha madinda, mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho Kigamboni
![](http://3.bp.blogspot.com/-FVPeEemDNeY/VJLIp2m2ytI/AAAAAAAG4JE/xHuIvGbK-u8/s1600/IMG_1612.jpg)
9 years ago
Habarileo08 Nov
Polisi wachunguza vifo vya utata vya watu 4 Bukoba
JESHI la Polisi mkoani Kagera linachunguza tukio la vifo vya watu wanne waliouawa katika mazingira ya kutatanisha, kilometa 10 kutoka Bukoba Mjini.