Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgombea ubunge ‘aliyetekwa’ ahamishiwa Muhimbili

Siku moja baada ya kupatikana kwa mgombea ubunge wa Chadema Jimbo la Mtwara Mjini, Joel Nanauka anayedaiwa kutekwa Jumatatu iliyopita amehamishiwa kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili MNH kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mtoto aliyeishi kwenye boksi, ahamishiwa Muhimbili

Mtoto aliyekuwa amefichwa kwenye boksi mkoani Morogoro, Nasra Mvungi ambaye alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro, amehamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), kwa uchunguzi zaidi.

 

9 years ago

Mwananchi

Mgombea ‘aliyetekwa’ Mtwara apatikana, polisi wachunguza

Jeshi la polisi Mkoa wa Mtwara limesema linachunguza kwa kina taarifa za kutekwa kwa mgombea ubunge jimbo la Mtwara mjini (Chadema) Joel Nanauka na endapo litabaini kuna udanganyifu ameufanya dhidi ya tukio hilo hatua za kisheria zitachukuliuwa  dhidi yake.

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA WA UKAWA AMNADI MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KISARAWE RASHID MWISHEHE "KINGWENDU"



 Mgombea Mwenza wa Ukawa Juma Duni Haji akipokea kadi ya CCM kutoka kwa mwanachama wa chama hicho, Kasim Msham aliyekihama na kujiunga na CUF katika kijiji cha Nanjilinji Mkoa wa Lindi. (Picha na Francis Dande)Kadi za CCM zilizorudishwa na wanachama wa Chama hicho na kujiunga na CUF katika kijiji cha Nanjilinjimkoa wa Lindi.
 Umati wa watu ukiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Majengo wilayani Bagamoyo. Umati wa watu ukiwa katika mkutano wa kampeni...

 

9 years ago

Vijimambo

UPDATES: MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA KATIKA JIMBO LA SHINYANGA MJINI INASEMEKANA AMETEKWA NA KUNYANG’ANYWA FOMU YA UBUNGE

Kwa taarifa za mwanzo zunasena kuwa mgombea ubunge jimbo la Shinyanga mjini na m/kiti BAVICHA Taifa, ndugu Patrobas Katambi inasemekana ametekwa muda mfupi uliopita na watu wasiojulikana na kunyang'anywa fomu zake za ubunge.
Chanzo chetu kilijaribu kuzungumza na mwenezi wa jimbo hilo ili kuthibitisha tukio hilo lakini pia simu ya mgombea ilikuwa haipatikani.
Chanzo chetu kimeongea na Mbunge Rachel Mashishanga sasa hivi na kuthibitisha tukio hilo.

Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi

Chanzo:...

 

9 years ago

Habarileo

Mgombea ubunge wa CUF ahamia CCM

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimepasuka wilayani Mafia, mkoani Pwani, baada ya aliyeidhinishwa kugombea ubunge Mafia, Mohammed Albadawi, kuhama chama hicho na kujiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

10 years ago

Raia Tanzania

Mgombea ubunge afyatua risasi hewani

BAADHI ya wakazi wa Kitongoji cha Mchikichini, Kijiji cha Umwe Kaskazini, wilayani Rufiji, usiku wa kuamkia jana waliingiwa hofu kutokana na milio ya risasi.

Mwenyekiti wa kitongoji hicho, Ayub Pimbita, alisema jana kuwa, alipigiwa simu saa nane usiku na kuelezwa kuhusu tukio hilo.

Kwa mujibu wa Pimbita, tukio hilo lilitokana na mmoja wa wagombea ubunge kudaiwa kukutwa akigawa fedha kwa wajumbe ili kuwashawishi wampigie kura ya maoni.

Tukio hilo linadaiwa kutokea kwenye nyumba ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CUF haitasimamisha mgombea ubunge Kalenga

INAWEZEKANA mnyukano wa kuwania ubunge katika Jimbo la Kalenga ukabaki kwa vyama hasimu ambavyo ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya Chama cha...

 

10 years ago

Habarileo

‘CCM Arusha haijaandaa mgombea Ubunge’

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman KinanaCHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Arusha, kimesema hakina mgombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, aliyeandaliwa hadi sasa.

 

9 years ago

Habarileo

Maaskofu, wachungaji wamuombea mgombea ubunge

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM, Philemon Mollel amefanyiwa maombi na maaskofu, wachungaji na waumini zaidi ya 150 wa makanisa ya kiroho zaidi ya kumi jijini Arusha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani