Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BOSI ADAIWA KUMKATA MAPANGA MFANYAKAZI WA NDANI

Na Joseph Ngilisho, Arusha UKATILI? Msichana wa kazi za ndani, Fonolia Lembres (12) amenusurika kuuawa na mwajiri wake aliyetambulika kwa jina la Emmanuel Msovera ambaye ni kondakta wa Hiace, baada ya kushambuliwa kwa kipigo na kukatwakatwa mapanga mwilini. Msichana wa kazi za ndani, Fonolia Lembres (12) aliyeshambuliwa kwa mapanga na tajiri wake,  Emmanuel Msovera. Fonolia ambaye kwa sasa amelazwa katika Hospitali ya Mkoa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WANAMKE ADAIWA KUUWA MFANYAKAZI WA NDANI

Na Woinde Shizza, ArushaMWANAMKE mmoja aliyetambulika kwa jina la Mkami Shirima(33) mkazi wa Ilikiurei nje kidogo ya jiji la Arusha, anadaiwa kumuua mfanyakazi wake wa ndani, Salome Zacharia (17)kwa kumpiga fimbo akimtuhumu kuiba shilingi elfu 50.
Mwanamke huyo ambaye anashikiliwa na jeshi la Polisi mkoani hapa,anadaiwa kutenda tukio  la kumshambulia binti huyo siku ya Alhamis wiki iliyopita na baadaye alimfungia katika chumba kimoja wapo katika nyumba yake kwa muda wa siku mbili bila...

 

11 years ago

Mwananchi

Mfanyakazi wa ndani adaiwa kuua mwajiri wake

>Karani wa Mahakama ya Wilaya ya Singida, Asha Juma(24), ameuawa kwa kuchomwa kisu na mfanyakazi wake wa ndani.

 

11 years ago

Michuzi

MWANAFUNZI DARASA LA NNE AKATWA MAPANGA NA MFANYAKAZI WA NYUMBANI

  Mama mzazi akiwa na Mwanafunzi wa darasa la nne wa shule ya msingi Motomoto kata ya Vumilia wilayani Urambo aliyekatwakatwa mapanga na mfanyakazi wa nyumbani kwa madai ya kunyimwa hela na baba mzazi wa mtoto hu ========  =======  ======= Na Allan Ntana, Urambo
MTOTO Perezi Christian (12) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la nne
katika shule ya msingi Motomoto iliyoko katika kata ya Vumilia wilaya
ya Urambo mkoani Tabora amekatwakatwa  mapanga mikononi na miguuni na   mfanyakazi wa...

 

11 years ago

GPL

BOSI AMJERUHI MFANYAKAZI WAKE, AZIMIA

Stori: Makongoro Oging’
Mfanyakazi wa kike Eugenia John, anayefanya kazi katika duka linalouza vifaa vya simu Mtaa wa Aggrey, Kariakoo jijini Dar es Salaam anadaiwa kupigwa na kujeruhiwa hadi kuzimia na bosi wake aliyejulikana kwa jina moja la Chuwa. Chanzo chetu cha habari kinadai kwamba tukio hilo lilitokea hivi karibuni na wakati mfanyakazi huyo anapigwa imedaiwa alikuwa akilia kwa uchungu kitendo kilichowafanya...

 

11 years ago

Mwananchi

Adaiwa kumdhalilisha mfanyakazi

>Mkazi wa Singida Mjini, Jacqueline Kweka (30) jana alipandishwa mahakamani mjini hapa akikabiliwa na tuhuma za kumfanyia ukatili mfanyakazi wake wa ndani (15).

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Mfanyakazi wa ndani atoweka na kichanga



Mwingine aiba mtoto wa miaka
miwili, amtelekeza barabarani
NA MWANDISHI WETU, MWANZA
WIMBI la wizi wa watoto sasa limeanza kushika kasi nchini, ambapo watumishi wawili wa ndani kwa nyakati na maeneo tofauti, wametoweka na watoto wa waajiri wao.
Miongoni mwa watoto walioibwa, yupo mwenye umri wa miezi tisa na mwingine miaka miwili na nusu. Kati ya hao, mmoja amepatikana akiwa ametelekezwa barabarani.
Watumishi hao walikuwa wakiwalea watoto hao, ambapo waliofanikiwa kuwaiba wazazi wao wakiwa kwenye...

 

10 years ago

Habarileo

Aliyembaka mfanyakazi wa ndani jela miaka 30

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani imemhukumu kwenda jela miaka 30 mlinzi wa Shule ya Sekondari ya Mbwawa Steven Solomon (29) kwa kosa la kumbaka mfanyakazi wake wa nyumbani mwenye umri wa miaka 16.

 

9 years ago

Mwananchi

Mfanyakazi wa ndani aliyetwaa tuzo ya Malkia Elizaberth

Ukitaja jina la Angela Benedicto kwa wakazi wa Mkoa wa Mwanza litakuwa siyo geni kutokana na jitihada zake za kupambana na umaskini, amekuwa mtu muhimu katika jamii inayomzunguka hasa kwa kuwasaidia waofanya kazi za ndani.

 

11 years ago

Habarileo

Mfaransa atuhumiwa kumdhuru mfanyakazi wake wa ndani

RAIA wa Ufaransa , Folkertsma Laurent (41), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Ilala, jijini Dar es Salaam, kujibu mashitaka ya kumdhuru mfanyakazi wake wa ndani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani