Mfanyakazi wa ndani atoweka na kichanga
Mwingine aiba mtoto wa miaka
miwili, amtelekeza barabarani
NA MWANDISHI WETU, MWANZA
WIMBI la wizi wa watoto sasa limeanza kushika kasi nchini, ambapo watumishi wawili wa ndani kwa nyakati na maeneo tofauti, wametoweka na watoto wa waajiri wao.
Miongoni mwa watoto walioibwa, yupo mwenye umri wa miezi tisa na mwingine miaka miwili na nusu. Kati ya hao, mmoja amepatikana akiwa ametelekezwa barabarani.
Watumishi hao walikuwa wakiwalea watoto hao, ambapo waliofanikiwa kuwaiba wazazi wao wakiwa kwenye...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi08 Jan
Kichanga chaokolewa ndani ya shimo la choo
11 years ago
Habarileo07 Sep
Aliyembaka mfanyakazi wa ndani jela miaka 30
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani imemhukumu kwenda jela miaka 30 mlinzi wa Shule ya Sekondari ya Mbwawa Steven Solomon (29) kwa kosa la kumbaka mfanyakazi wake wa nyumbani mwenye umri wa miaka 16.
5 years ago
Michuzi
WANAMKE ADAIWA KUUWA MFANYAKAZI WA NDANI

Mwanamke huyo ambaye anashikiliwa na jeshi la Polisi mkoani hapa,anadaiwa kutenda tukio la kumshambulia binti huyo siku ya Alhamis wiki iliyopita na baadaye alimfungia katika chumba kimoja wapo katika nyumba yake kwa muda wa siku mbili bila...
10 years ago
Mwananchi23 Aug
Mfanyakazi wa ndani aliyetwaa tuzo ya Malkia Elizaberth
11 years ago
Habarileo03 Jul
Mfaransa atuhumiwa kumdhuru mfanyakazi wake wa ndani
RAIA wa Ufaransa , Folkertsma Laurent (41), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Ilala, jijini Dar es Salaam, kujibu mashitaka ya kumdhuru mfanyakazi wake wa ndani.
11 years ago
GPL
BOSI ADAIWA KUMKATA MAPANGA MFANYAKAZI WA NDANI
11 years ago
Mwananchi01 Jul
Mfanyakazi wa ndani adaiwa kuua mwajiri wake
9 years ago
Global Publishers25 Dec
Afisa wa Intelijensia wa TANAPA Aliuawa na Mfanyakazi Wake wa Ndani

10 years ago
Bongo515 Dec
Mfanyakazi wa ndani ya Uganda afungwa miaka minne jela