Afisa wa Intelijensia wa TANAPA Aliuawa na Mfanyakazi Wake wa Ndani
Jeshi la Polisi Mkoani hapa (Arusha) limefanikiwa kumkamata mtu mmoja aitwaye Ismail Swalehe Sang’wa (20) ambaye ni mwenyeji wa kijiji cha Sepuka wilayani Ikungi katika Mkoa wa Singida kwa tuhuma za kumuua Afisa wa Intelijensia wa TANAPA aitwaye Emily Kisamo (52).
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana asubuhi , Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Liberatus Sabas alisema tukio hilo la mauaji ya Afisa huyo wa TANAPA lilitokea tarehe 18.12.2015 muda...
Global Publishers