Muuaji wa Afisa wa Intelijensia wa TANAPA akamatwa
Gari aina ya Nissan Mazda lenye namba za usajili T. 435 CSY lililokutwa na mwili wa marehemu Emily Kisamo ambaye ni Afisa wa Intelejensia TANAPA uliohifadhiwa kwenye buti mara baada ya kuuawa na Mfanyakazi wake wa ndani.
Na Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi Arusha
Jeshi la Polisi Mkoani hapa limefanikiwa kumkamata mtu mmoja aitwaye Ismail Swalehe Sang’wa (20) ambaye ni mwenyeji wa kijiji cha Sepuka wilayani Ikungi katika Mkoa wa Singida kwa tuhuma za kumuua Afisa wa Intelijensia wa TANAPA ...
Dewji Blog
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania