Bosi Bandari kortini
![](http://4.bp.blogspot.com/--O56OO65qlI/U8UJL3b7HgI/AAAAAAAABXU/u2sQd3FFy8I/s72-c/Unknown.jpeg)
Adaiwa kutoa zabuni kinyume cha sheria Ni ya upanuzi wa gati namba 13 na 14 Dar
NA FURAHA OMARY
ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Ephraim Mgawe na Naibu wake, Hamad Koshuma, wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka.
Vigogo hao wanadaiwa kutoa zabuni ya upanuzi wa gati namba 13 na 14 katika Bandari ya Dar es Salaam kwa China Communications Construction Company (CCCC), bila ya kutangaza zabuni.
Mgawe na mwenzake walifikishwa...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo17 Feb
Bosi wa Bandari asimamishwa kazi
WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Madeni Kipande kutokana na kile kilichoelezwa kuwa uendeshaji mbovu wa utoaji wa zabuni.
11 years ago
Habarileo27 May
‘Bosi’ Tanesco, mke kortini
ALIYEKUWA Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka ya kutumia vibaya madaraka kwa kutoa zabuni ya usambazaji wa vifaa kwa kampuni inayomilikiwa na mkewe.
11 years ago
GPLBOSI ALIYEMNG’ATA HAUSIGELI WAKE KUTINGA KORTINI
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-tN-A-UXrq6w/U-ti-EuAW8I/AAAAAAAF_Nk/rhO-hNEW1Vk/s72-c/download.jpg)
kesi ya bosi wa bandari na msaidizi wake: upelelezi wakamilika, maelezo ya awali kusikilizwa septemba 11, 2014
![](http://2.bp.blogspot.com/-tN-A-UXrq6w/U-ti-EuAW8I/AAAAAAAF_Nk/rhO-hNEW1Vk/s1600/download.jpg)
Na Sultani Kipingo, MahakamaniUPANDE wa Jamhuri katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Mlamkala ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Ephraimu Mgawe na msaidizi wake, umedai kwamba upelelezi umekamilika dhidi ya tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka kwa kusaini mkataba wa kuipa kazi Kampuni ya Ujenzi ya China Communications Ltd bila kutangaza zabuni.Madai hayo yalitolewa leo na upande wa Jamhuri katika kesi hiyo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Mfawidhi, Isaya Arufani kwamba...
11 years ago
Dewji Blog08 Apr
Zanzibar kujengwa Bandari kubwa chini ya Kampuni ya Ujenzi wa Bandari ya Jamuhuri ya Watu wa China (CHEC)
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Muwakilishi wa Kampuni ya Ujenzi wa Bandari ya China yenye Tawi la Ofisi yake Nchini Tanzania Bwana Xu Xinpei.
Muwakilishi wa Kampuni ya Kimataifa ya Ujenzi wa Bandari ya China Bwana Xu Xinpei akibadilishana mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif. Bwana Xu Xinpei ameelezea azma ya Kampuni yake kutaka kuwekeza katika sekta na Bandari na Hoteli ya Kimataifa ya Kitalii hapa Zanzibar.
Balozi wa Malawi...
11 years ago
Habarileo21 May
Bosi UDA ashitakiwa bungeni
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika amemshitaki Mwenyekiti Mtendaji wa Simon Group inayoendesha Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), Robert Kisena kwa Spika wa Bunge, Anne Makinda, kutokana na kudai wabunge wa Dar es Salaam wamehongwa.
11 years ago
Mwananchi21 May
Bosi wa Uda kujieleza bungeni
9 years ago
Mtanzania29 Dec
Bosi Zantel auawa na majambazi
Tunu Nassoro na Veronica Romwald, Dar es Salaam
MKUU wa Kitengo cha Mawasiliano wa Kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, Gabriel Raphael, ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi.
Tukio hilo la kusikitisha limegubikwa na utata, hasa baada ya watu hao kumuua mkuu huyo wa mawasiliano ndani ya gari yake na kuchukua bahasha ambayo inadaiwa ilikuwa na nyaraka muhimu na kuacha fedha.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillus Wambura,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YBFp7QfmCZcN8Bom48X0PU9EnNZZsbZ4*m9Jl5zPBE-crtX2LxgaHaEsMAYX0*mVBQzk-cKSi32MnsuwyuzqNloXa9AGCpCQ/MWOMBEKI.jpg?width=600)
Bosi wa Mwombeki amvaa Logarusic