Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bosi wa Bandari asimamishwa kazi

Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, wakati akitangaza kumsimamisha Kazi Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Madeni Kipande na nafasi yake kuchukuliwa na Awadh Masawe. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Monica Mwamunyange. (Na Mpigapicha Wetu).WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Madeni Kipande kutokana na kile kilichoelezwa kuwa uendeshaji mbovu wa utoaji wa zabuni.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

Bosi Bandari kortini



 Adaiwa kutoa zabuni kinyume cha sheria Ni ya upanuzi wa gati namba 13 na 14 Dar  
NA FURAHA OMARY
ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Ephraim Mgawe na Naibu wake, Hamad Koshuma, wamefikishwa  mahakamani kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka.

Vigogo hao wanadaiwa kutoa zabuni ya upanuzi wa gati namba 13 na 14 katika Bandari ya Dar es Salaam  kwa China Communications Construction Company (CCCC), bila ya kutangaza zabuni.
Mgawe na mwenzake walifikishwa...

 

10 years ago

Michuzi

kesi ya bosi wa bandari na msaidizi wake: upelelezi wakamilika, maelezo ya awali kusikilizwa septemba 11, 2014


Na Sultani Kipingo, MahakamaniUPANDE wa Jamhuri katika kesi inayomkabili aliyekuwa  Mkurugenzi wa Mlamkala ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Ephraimu Mgawe na msaidizi wake, umedai kwamba upelelezi umekamilika dhidi ya tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka kwa kusaini mkataba wa kuipa kazi Kampuni ya Ujenzi ya China Communications Ltd bila kutangaza zabuni.Madai hayo yalitolewa leo na upande wa Jamhuri katika kesi hiyo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Mfawidhi, Isaya Arufani kwamba...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti Korogwe asimamishwa kazi

Baraza la madiwani wilayani Korogwe vijijini wamemsimamisha aliyekuwa mwenyekiti wa halmashauri hiyo katika nafasi ya uenyekiti, Sadick Kallaghe kutokana na tuhuma mbalimbali zinazomkabili.

 

9 years ago

Mwananchi

Mkuu wa Dart asimamishwa kazi

Serikali imemsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka katika Jiji la Dar es Salaam (Dart), Asteria Mlambo kuanzia jana kwa sababu mbalimbali za kiutendaji.

 

5 years ago

CCM Blog

10 years ago

BBCSwahili

Polisi asimamishwa kazi Marekani

Polisi mzungu katika jimbo la Texas nchini Marekani amesimishwa kazi baada kuonekana akihangaisha kundi la vijana

 

10 years ago

GPL

POLISI ASIMAMISHWA KAZI NCHINI MAREKANI

Polisi akionekana kumdhibiti mmoja wa vijana hao. Polisi mmoja mzungu katika jimbo la Texas nchini Marekani amesimishwa kazi baada ya video moja kuwekwa kwenye mitandao ikionyesha akihangaisha kundi moja la vijana wengi wao wakiwa ni weusi. Afisa hiyo anaonekana akiwalenga vijana wawili wa kiume kwa bunduki yake huku pia akimuangusha chini na kumkamata msichana wa umri wa miaka 14.Polisi hao walikuwa wameitwa na wenyeji...

 

10 years ago

Mwananchi

Asimamishwa kazi kwa kumtumia JK ‘meseji’

>Mhasibu wa Hospitali ya Rufaa KCMC, Paul Mhumba amesimamishwa kazi kwa tuhuma za kutuma ujumbe wa simu ya mkononi (sms) kwa Rais Jakaya Kikwete.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani