Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


POLISI ASIMAMISHWA KAZI NCHINI MAREKANI

Polisi akionekana kumdhibiti mmoja wa vijana hao. Polisi mmoja mzungu katika jimbo la Texas nchini Marekani amesimishwa kazi baada ya video moja kuwekwa kwenye mitandao ikionyesha akihangaisha kundi moja la vijana wengi wao wakiwa ni weusi. Afisa hiyo anaonekana akiwalenga vijana wawili wa kiume kwa bunduki yake huku pia akimuangusha chini na kumkamata msichana wa umri wa miaka 14.Polisi hao walikuwa wameitwa na wenyeji...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Polisi asimamishwa kazi Marekani

Polisi mzungu katika jimbo la Texas nchini Marekani amesimishwa kazi baada kuonekana akihangaisha kundi la vijana

 

10 years ago

Bongo Movies

Wastara Apata Dili Kufanya Kazi Nchini Marekani

Staa wa Bongo Movie, Wastara Juma amepata shavu la kwenda kufanya kazi nchini marekani akiwa pamoja na mtengenezaji filamu  mahiri kabisa hapa Bongo, Timoth Conrad Kachumia.

Japo kuwa hakutaka kueleza ni lini  watakwenda nchini humo na kampuni iliyowapa chavu hilo, kupitia ukursasa wake mtandaoni  alibandika baadhi ya picha akiwa na watu ambao  ndio wame wapa dili hilo  na kuandika;

“Ukipata nafasi ya kufanya kazi kimataifa usiichezee,,one mistake hundred goal............kosa la defense ni...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti Korogwe asimamishwa kazi

Baraza la madiwani wilayani Korogwe vijijini wamemsimamisha aliyekuwa mwenyekiti wa halmashauri hiyo katika nafasi ya uenyekiti, Sadick Kallaghe kutokana na tuhuma mbalimbali zinazomkabili.

 

10 years ago

Habarileo

Bosi wa Bandari asimamishwa kazi

Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, wakati akitangaza kumsimamisha Kazi Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Madeni Kipande na nafasi yake kuchukuliwa na Awadh Masawe. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Monica Mwamunyange. (Na Mpigapicha Wetu).WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Madeni Kipande kutokana na kile kilichoelezwa kuwa uendeshaji mbovu wa utoaji wa zabuni.

 

5 years ago

CCM Blog

9 years ago

Mwananchi

Mkuu wa Dart asimamishwa kazi

Serikali imemsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka katika Jiji la Dar es Salaam (Dart), Asteria Mlambo kuanzia jana kwa sababu mbalimbali za kiutendaji.

 

10 years ago

Mwananchi

Asimamishwa kazi kwa kumtumia JK ‘meseji’

>Mhasibu wa Hospitali ya Rufaa KCMC, Paul Mhumba amesimamishwa kazi kwa tuhuma za kutuma ujumbe wa simu ya mkononi (sms) kwa Rais Jakaya Kikwete.

 

9 years ago

Michuzi

Afisa biashara wa halmashauri ya Dodoma asimamishwa kazi

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA RAIS

Anuani ya Simu “TAMISEMI” DODOMASimu Na: (026) 2322848, 2321607,                              2322853, 2322420, Nukushi: (026) 2322116,  2322146.                             2321013,       Barua pepe:ps@poralg.go.tz
Tawala za Mikoana Serikali za Mitaa,S. L. P. 1923,                          DODOMA.  
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. George Simbachawene amemuagiza Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma kuwasimamisha kazi mara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani