Bosi Zantel auawa na majambazi
Tunu Nassoro na Veronica Romwald, Dar es Salaam
MKUU wa Kitengo cha Mawasiliano wa Kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, Gabriel Raphael, ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi.
Tukio hilo la kusikitisha limegubikwa na utata, hasa baada ya watu hao kumuua mkuu huyo wa mawasiliano ndani ya gari yake na kuchukua bahasha ambayo inadaiwa ilikuwa na nyaraka muhimu na kuacha fedha.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillus Wambura,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Bosi zantel azikwa kwa tamko zito!
Jeneza lililobeba mwili wa marehemu likiwa Kanisani kwa ajili ya kuombewa.
Na Waandishi Wetu, UWAZI
DAR ES SALAAM: Tamko zito limetolewa na waombolezaji kufuatia kifo cha bosi wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja wa Kampuni ya Zanzibar Telecom Limited (Zantel), Gabriel Kamukara, 39, (pichani) kuuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi.
Kamukara alipigwa risasi Desemba 22, mwaka jana eneo la Barabara ya Cocacola jijini Dar na kuporwa shilingi milioni 10 alizotoka...
9 years ago
Mwananchi29 Dec
Mfanyakazi wa Zantel auawa kwa kupigwa risasi
10 years ago
Habarileo05 Aug
Bosi kitengo cha kuzuia ujambazi auawa
MKUU wa Kitengo cha Kuzuia na Kupambana na Ujambazi Mkoa wa Morogoro, Elibariki Pallangyo (53), amepigwa risasi na kufa papo hapo nyumbani kwake eneo la Yombo jiji Dar es Salaam.
10 years ago
Habarileo10 Apr
Askari JKT auawa akisaidiana na Polisi kukabili majambazi
WATU wawili akiwemo jambazi mmoja na askari mwanafunzi wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), wamekufa na wengine kunusurika kuuawa katika tukio lililotokea juzi, mjini Mafinga mkoani Iringa wakati majambazi wakirushiana risasi na askari wa Jeshi la Polisi.
10 years ago
Bongo527 Oct
Nahodha na mlinda mlango wa Bafana Bafana Senzo Meyiwa auawa na majambazi
10 years ago
TheCitizen03 Oct
Puzzle over Zantel sale
9 years ago
TheCitizen09 Nov
Zantel gets new boss after $1 acquisition
10 years ago
Daily News12 Dec
ZANTEL supports Dar orphanage
Daily News
AS part of involving vulnerable children in year-end holidays, ZANTEL has donated various items to an orphanage in Dar es Salaam. The Kimara Suka based orphanage known as Watoto Wetu Tanzania received foodstuffs including sugar, rice, maize flour, ...
10 years ago
Tanzania Daima04 Sep
Zanzibar kufaidika na ubunifu wa Zantel
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Zantel kwa kushirikiana na Shirika la Umeme Zanzibar (Zeco), imezindua huduma mpya ya kununua umeme wa ‘Tukuza’ kupitia EzyPesa. Akizungumza wakati wa kuzindua huduma...