Nahodha na mlinda mlango wa Bafana Bafana Senzo Meyiwa auawa na majambazi
Nahodha wa timu ya soka ya Afrika Kusini ambaye pia alikuwa mlinda mlango, Senzo Meyiwa ameuawa. Klabu yake Orlando Pirates imetangaza kuwa aliuawa kwa kupigwa risasi na jambazi nyumbani kwake maili 20 kusini mwa jiji la Johannesburg usiku wa jana. Meyiwa, 27, aliuawa nyumbani kwake Vosloorus. Ripoti ambazo bado hazijathibitishwa zinadai kuwa Meyiwa alikuwa ndani […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo530 Oct
Utata watawala msiba wa nahodha wa Bafana Bafana, Senzo Meyiwa
11 years ago
Vijimambo27 Oct
Nahodha wa Bafana Bafana auawa-BBC

Nahodha ambaye pia ni golikipa wa timu ya soka ya taifa la Afrika kusini Senzo Meyiwa amefariki dunia baada ya kupigwa risasi. Jeshi la polisi la nchi hiyo limesema.
Tukio hilo limeripotiwa kutokea katika nyumba ya mpenzi wake iliyopo katika mji wa Vosloorus kusini mwa Johannesburg.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 aliichezea klabu ya Orlando Pirates na alicheza mechi nne zilizopita za timu yake ya taifa katika mechi za kufuzu za fainali ya mataifa ya...
11 years ago
Michuzi09 Mar
9 years ago
Dewji Blog11 Nov
MCHEZO WA KIRAFIKI: Taifa Stars yafungwa na Bafana Bafana
Kocha wa Taifa Stars, Boniface Mkwasa
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars iliyopo Afrika Kusini kwa kambi ajili ya maandalizi ya mchezo wa kutafuta nafasi ya kufuzu kwenda kucheza kombe la dunia nchini Urusi jana imecheza mchezo wa kujipima uwezo na Bafana Bafana chini ya miaka 23.
Katika mchezo huo ulichezwa katika uwanja wa Eldorado uliopo Johannesburg, ilishuhudiwa Taifa Stars ikipokea kipigo cha goli 2 kwa bila.
Baada ya mchezo huo kocha wa Taifa Stars, Charles Mkwasa alizungumza...
9 years ago
TheCitizen04 Nov
Stars set to play Orlando Pirates, Bafana Bafana
11 years ago
BBC
Bafana criticised by sports minister
9 years ago
Mtanzania31 Dec
Mlinda mlango Newcastle afariki dunia
PRAGUE, JAMHURI YA CZECH
MLINDA mlango wa zamani wa timu ya Newcastle, Pavel Srnicek, amefariki dunia kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa moyo.
Nyota huyo ambaye amefariki huku akiwa na umri wa miaka 47, aliugua ugonjwa huo kwa siku tisa na kupoteza maisha yake.
Srnicek, enzi za uhai wake aliwahi kuchezea klabu ya Sheffield Wednesday, Portsmouth West Ham na Newcastle, wakati huo akiitumikia timu ya Taifa ya Jamhuri ya Czech, ambayo aliitumikia kwa michezo 49.
Mchezaji huyo alianza...
10 years ago
Mwananchi19 Jan
Ghana kwa Senegal, Algeria v Bafana
10 years ago
TheCitizen15 Oct
Stars to camp in SA, line up Bafana friendly