Bosi zantel azikwa kwa tamko zito!
Jeneza lililobeba mwili wa marehemu likiwa Kanisani kwa ajili ya kuombewa.
Na Waandishi Wetu, UWAZI
DAR ES SALAAM: Tamko zito limetolewa na waombolezaji kufuatia kifo cha bosi wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja wa Kampuni ya Zanzibar Telecom Limited (Zantel), Gabriel Kamukara, 39, (pichani) kuuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi.
Kamukara alipigwa risasi Desemba 22, mwaka jana eneo la Barabara ya Cocacola jijini Dar na kuporwa shilingi milioni 10 alizotoka...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi15 Jul
CCT watoa tamko zito kwa Rais Kikwete
9 years ago
Mtanzania29 Dec
Bosi Zantel auawa na majambazi
Tunu Nassoro na Veronica Romwald, Dar es Salaam
MKUU wa Kitengo cha Mawasiliano wa Kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, Gabriel Raphael, ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi.
Tukio hilo la kusikitisha limegubikwa na utata, hasa baada ya watu hao kumuua mkuu huyo wa mawasiliano ndani ya gari yake na kuchukua bahasha ambayo inadaiwa ilikuwa na nyaraka muhimu na kuacha fedha.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillus Wambura,...
9 years ago
Mwananchi29 Dec
Mfanyakazi wa Zantel auawa kwa kupigwa risasi
10 years ago
MichuziZANTEL YATOA MSAADA WA VYAKULA KWA WAZEE Z'BAR
9 years ago
Dewji Blog16 Dec
Zantel yazindua ofa ya msimu wa sikukuu kwa wateja wake
Mkurugenzi Mtendaji wa Zantel, Benoit Janin.
Kampuni ya simu ya Zantel leo imetangaza kuzindua ofa maalumu kwa ajili ya msimu wa sikukuku yenye lengo la kuwazawadia wateja wake muda wa maongezi bure na nyongeza ya asilimia 20% katika kila manunuzi ya vifurushi au muda wa maongezi wanayofanya kupitia huduma ya Ezypesa.
Ofa hii pia itamzawadia kila mteja wa Zantel anayefanya manunuzi ya muda wa maongezi usio chini ya shillingi elfu moja kuweza kupata dakika za bure za kupiga Zantel kwenda...
10 years ago
Dewji Blog15 Jul
Zantel yatoa msaada wa vyakula kwa jumuiya ya wazee wa Zanzibar
NAIBU Katibu Mkuu, Wizara ya Uwezeshaji, Ustawi wa Jamii , Vijana , Wanawake na Watoto, Nd. Msham Juma Khamis akimkabidhi msaada , Pili Ahmada wakati wa makabidhiano ya msaada wa vyakula uliotolewa na Kampuni ya simu ya Zantel kwa wazee mbali mbali wa Zanzibar, kulia Mkurugenzi wa Biashara wa Zantel Zanzibar, makabidhiano hayo yalifanyika jana Kibanda maiti.
Naibu Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazee Zanzibar (JUWAZA), Mwadini Kutenga akiwakaribisha wageni wakati wa shughuli ya makabidhino ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/O3p1FaWf5AcQT3v5YMV07wQpKR53SmCsHvEe-xGe9aCxt7-RBvUz9Mn9iWl3fbA1nZkBmkY7JrDCKEn8hnviP8Yq2SM5OI2r/CHEKANAKITIME.jpg)
DAH, JIMBONI KWA BOSI NOMA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*whl3J3XpWS1c2QXFmYSlSnVTjrmG8Fh8P-tWEfPaKMwgsPvIS3hVRV66YKZqhw9sPFnFkWEdgbtJCtGyXnUioUKyMg9NpJF/bosi.jpg?width=650)
BOSI ALIVYONUSURIKA KUUAWA KWA RISASI
9 years ago
MichuziZANTEL YAKABIDHI VIFAA VYA USAFI KWA HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA