Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DAH, JIMBONI KWA BOSI NOMA!

MWILI wote unauma, macho yanawasha kwa usingizi na kila nikikumbuka kuwa na leo usiku zoezi linarudia tena hamu sina. Juzi bosi kanambia nimdraiv anataka kwenda kutembelea ndugu zake kijijini kwao. Unajua ameshaanza matayarisho ya kugombea Ubunge baadaye mwaka huu, sijui kwa nini anapoamua kuja huku hasemi naenda jimboni kwangu anajidai anaenda kutembelea ndugu zake. Najua akishinda ubunge hawezi tena kusema anaenda kusalimia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

FIESTA 2014: KAMA NOMA NA IWE NOMA!

Stori:  Waandishi Wetu Kama noma na iwe noma! Tamasha la Serengeti Fiesta 2014, wikiendi iliyopita lilifunga mitaa ya Jiji la Dar na viunga vyake ambapo burudani ya kufa mtu ilidondoshwa kwenye Viwanja vya Leaders, Kinondoni jijini Dar na kugubikwa na matukio kibao nyuma ya pazia, likiwemo la msanii kutoka Nigeria, Davido ‘kupafomu’ pamoja na serikali kumkataza, Ijumaa Wikienda lina ripoti kamili.… ...

 

11 years ago

Michuzi

Dah!

Chelsea dented Liverpool's dream of a first title in 24 years and kept their own Premier League hopes alive with victory at Anfield. The Blues led on the stroke of half-time when Reds captain Steven Gerrard slipped, allowing Demba Ba to finish. Joe Allen and Luis Suarez forced saves after the break, before substitute Willian scored in injury time after Fernando Torres unselfishly squared. The win moves Chelsea to within two points of their league-leading hosts.

 

11 years ago

GPL

Yanga noma, yatua kwa ndugu wa Adebayor

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge
KATIKA kuhakikisha wanafanya usajili bora, benchi la ufundi la Yanga likiongozwa na aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Hans van Der Pluijm, limepanga kutua nchini Togo kwa ajili ya kusajili wachezaji. Yanga itatua Togo kwa nia ya kusajili katika nchi ambayo ndipo anatoka Emmanuel Adebayor, straika wa Tottenham ambaye aliwahi kuzichezea Arsenal na...

 

11 years ago

GPL

BOSI ALIVYONUSURIKA KUUAWA KWA RISASI

Na Mwandishi Wetu, Kahama INASIKITISHA! Watu wasiojulikana wamemshambulia kwa risasi na mapanga Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, Geita, Juma Kimisha na msafara wake na kusababisha kiongozi huyo kukimbizwa Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Mwanza ili kuokoa uhai wake. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, Geita, Juma Kimisha akiwa Hospitali ya Wilaya ya Kahama Kitengo cha Bima. Akizungumza kwa shida katika...

 

10 years ago

GPL

DAH SHEMEJI FAIZA, UNATUANGUSHA!

MIAKA mitatu iliyopita nilimuona kwa mara ya kwanza huyu dada anayeitwa Faiza Ally, hotelini De France, pale Sinza jijini Dar es Salaam. Aliyenikutanisha naye ni Joseph Mbilinyi, Mbunge wa Mbeya Mjini kupitia Chadema. Mbilinyi, mkongwe wa Hip Hop aliye miongoni mwa alama za Bongo Fleva, ambaye wengi tunamfahamu zaidi kama Sugu, ni mmoja kati ya mastaa niliopata kuwa nao karibu, hata baada ya kazi. Alinitambulisha kwake kama...

 

10 years ago

Mwananchi

Dah, kunijua ndiyo unanizingua?

Kuna teminoloji moja ya kitasha huwa naizimia sana kutokana na jinsi ilivyokaa kiukweli ingawa ukiicheki kimagumashi inaweza kuwa teminoloji ya kinoko kuliko zote ambazo umewahi kuzisikia mwanangu mwenyewe. Si unajua wenzetu tena faza?

 

9 years ago

Global Publishers

Bosi zantel azikwa kwa tamko zito!

IMG_1730

Jeneza lililobeba mwili wa marehemu likiwa Kanisani kwa ajili ya kuombewa.

Na Waandishi Wetu, UWAZI
DAR ES SALAAM: Tamko zito limetolewa na waombolezaji kufuatia kifo cha bosi wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja wa Kampuni ya Zanzibar Telecom Limited (Zantel), Gabriel Kamukara, 39, (pichani) kuuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi.

Kamukara alipigwa risasi Desemba 22, mwaka jana eneo la Barabara ya Cocacola jijini Dar na kuporwa shilingi milioni 10 alizotoka...

 

10 years ago

GPL

DAH, USILOLIJUA KAMA USIKU WA KIZA!

YAMEMKUTA jamaa yangu wa karibu sana, hana raha kabisaa. Ile methali ya kusema usilolijua halikusumbui, ndugu yangu kaigundua kuwa ni ya kweli. Mimi kwa kweli namuonea huruma. Naomba na wengine mtakaoisikia jifunzeni kutokupekua mambo yaliyopita, au kuuliza maswali magumu unaweza kupata majibu magumu. Sasa angalia jamaa yangu yuko hapa kwangu analia kakonda kwa muda wa nusu siku tu na hajui maisha yataendeleaje. Jamaa yangu yuko...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Ofisa Usalama kizimbani kwa mauaji ya bosi wake


NA FURAHA OMARY
OFISA Usalama wa Taifa, Mohammed Kazembe, anayetuhumiwa kumuua bosi wake, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa shitaka la mauaji, akiwa hoi hajiwezi.
Kazembe (33), alifikishwa mahakamani hapo jana asubuhi, akiwa amebebwa na watu wawili huku mguu wake wa kushoto ukiwa umefungwa bandeji kutoka kwenye kisigino hadi ugokoni na mkononi alikuwa na njia ya kuwekea dripu ya maji.
Mshitakiwa huyo, mkazi wa Mwananyamala, ambaye hakuwa na uwezo wowote wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani