DAH, USILOLIJUA KAMA USIKU WA KIZA!
![](http://api.ning.com:80/files/JeioNtmyO2bbxM2lovJu3qekSJ0I-kuWGxlDs7f8h6C65-KGXVw3bkv9AzyudTdbORbiAf*GJZv9rb3jXqd4ALXtxxsKtGuZ/CHEKANAKITIME.jpg)
YAMEMKUTA jamaa yangu wa karibu sana, hana raha kabisaa. Ile methali ya kusema usilolijua halikusumbui, ndugu yangu kaigundua kuwa ni ya kweli. Mimi kwa kweli namuonea huruma. Naomba na wengine mtakaoisikia jifunzeni kutokupekua mambo yaliyopita, au kuuliza maswali magumu unaweza kupata majibu magumu. Sasa angalia jamaa yangu yuko hapa kwangu analia kakonda kwa muda wa nusu siku tu na hajui maisha yataendeleaje. Jamaa yangu yuko...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RqdQyZgpKtLJH5p8ocG3KKU7gh9NtiLblbQivMD671EL6o41AS6ThwD8st-lVOd868Uba9FlSE1yrqGxIgROWbg*R*NHpWgG/IMG20141101WA0010.jpg?width=650)
10 years ago
Dewji Blog07 Dec
Bella aitikisa DARLIVE usiku wa nani kama Mama
Mfalme wa masauti, Christian Bella ‘Obama’ akifanya yake usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.
Nyomi ya mashabiki walijitokeza katika uzinduzi wa albamu yake mpya ya Nani Kama Mama ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live.
Madansa wa Malaika Music bendi wakifanya yao.
Mashabiki wakicheza na Christian Bella ‘Obama’.
Mashabiki wakiwa wamepagawa na shoo ya mfalme wa masauti, Christian Bella ‘Obama’ (hayupo pichani).
Christian...
10 years ago
Tanzania Daima31 Aug
‘Usiku wa Nani Kama Mama’ wampa uchungu Dimpoz
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amesema mashairi aliyoimba katika wimbo wa ‘Nani Kama Mama’ alioshirikishwa na Christian Bella aliandika akiwa anamaanisha. Akizungumza jijini Dar...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1pYGM2xUDQnr77WlLhW64Umgn66nT6wreHsz8PvJP8Scf1*evPsDnKxVjS4JrYwwphPbm53GzI1As-587oBOjbMXz-o-RNCZ/DALLIVE15.jpg?width=650)
BELLA AITIKISA DAR LIVE USIKU WA NANI KAMA MAMA
9 years ago
Mwananchi23 Nov
Usajili Yanga bado kiza
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-7oxPj1gJLky7uC2l2hzTJ2tb2KIstsOEMelOOlHRxoBqDXk-z*fkmlUduZQLlYp9*eDGlwhr-w*33*RLSZMABinyDUeqI4E/Bella.jpg?width=650)
USIKU WA NANI KAMA MAMA DAR LIVE BELLA KUWEKA HISTORIA LEO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ct4BimYh7MipcivmYLtGbRSzV-Y6UC87sWPCxhaUN19c-gUaEXJ115ixqF5Ljxyk1gvvgDRXp2VaSNREc1FPshMYbqQSQmjk/BELLA.jpg)
USIKU WA NANI KAMA MAMA DAR LIVE... BELLA KUWEKA HISTORIA MPYA
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-4_ijrXhvF-8/U10ihxOGrBI/AAAAAAAFdew/_bdk4jPuNZc/s72-c/_74474189_74474188.jpg)
Dah!
![](http://2.bp.blogspot.com/-4_ijrXhvF-8/U10ihxOGrBI/AAAAAAAFdew/_bdk4jPuNZc/s1600/_74474189_74474188.jpg)
10 years ago
Mwananchi28 Apr
Viwanja vya Nyamagana, Kaitaba bado kiza