Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bosi kitengo cha kuzuia ujambazi auawa

MKUU wa Kitengo cha Kuzuia na Kupambana na Ujambazi Mkoa wa Morogoro, Elibariki Pallangyo (53), amepigwa risasi na kufa papo hapo nyumbani kwake eneo la Yombo jiji Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mtuhumiwa wa ujambazi auawa

MTU anayetuhumiwa kuwa jambazi sugu mkazi wa Kitongoji cha Chanji, mjini Sumbawanga, amekufa kwa kupigwa na wananchi wenye hasira kali. Mtuhumiwa huyo Denis Gagala maarufu kama ’Babyloon’ (31) anadaiwa kuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Mtuhumiwa wa ujambazi na mauaji auawa na wananchi

Kamanda wa Polisi Tarime Rorya, Lazaro Mambosasa
Mkazi wa kitongoji cha Nyahongo kilichoko kijiji cha Nyarwana wilayani Tarime mkoani Mara aliyekuwa akisakwa na polisi kwa tuhuma za ujambazi na mauaji ameuawa na wananchi katika shambulizi ambalo lililojeruhi wanakijiji watatu.

Wambura Kihongwe (40) ameuawa na wananchi kwa kukatwa mapanga kichwani na sehemu mbalimbali za mwili huku naye akiwajeruhi watu watatu waliojaribu kumkamata ili afikishwe kwenye vyombo vya sheria.

Kamanda wa Polisi Tarime...

 

9 years ago

Mtanzania

Bosi Zantel auawa na majambazi

Gabriel+PGOTOTunu Nassoro na Veronica Romwald, Dar es Salaam

MKUU wa Kitengo cha Mawasiliano wa Kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, Gabriel Raphael, ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi.

Tukio hilo la kusikitisha limegubikwa na utata, hasa baada ya watu hao kumuua mkuu huyo wa mawasiliano ndani ya gari yake na kuchukua bahasha ambayo inadaiwa ilikuwa na nyaraka muhimu na kuacha fedha.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillus Wambura,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Auawa na kuchomwa moto kwa tuhuma za ujambazi

DSC01655

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka, akitoa taarifa ya wananchi kumuua kijana Hussein Jumanne Kisuke (31) anayedaiwa kuwa ni jambazi sugu. Baada ya kumshambuliwa kwa silaha za jadi na kufariki dunia na kisha kumchoma moto.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

Mtuhumiwa wa Ujambazi mkazi wa Misuna Hussein Jumanne Kisuke (31) juzi  alipigwa na wananchi wa Misuna mjini Singida kwa kutumia silaha za jadi na kuuwawa na kisha kuchomwa moto.

Kamanda wa...

 

10 years ago

Michuzi

RSA wakisaidia kitengo cha mawasiliano cha usalama barabarani

MABALOZI wa Usalama Barabarani nchini Tanzania (Road Safety Ambasadors-RSA) wamekabidhi misaada kwenye Ofisi ya Kitengo cha Mawasiliano cha Kikosi cha Usalama Barabarani cha Jeshi la Polisi nchini (Traffic Control Center-TCC). 
 Vifaa hivyo ambavyo ni vitendea kazi katika kituo cha taarifa cha Kitengo cha Mawasiliano cha Kikosi cha Usalama Barabarani cha Jeshi la Polisi nchini, vimekabidhiwa jana jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa RSA, John Seka ikiwa ni michango ya mabalozi...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yashirikiana na Kitengo cha damu salama cha taifa kuokoa maisha

Mtaalam wa Kutoa Damu wa Kitengo cha Damu Salama, Kanda ya Mashariki, Daudi Mkawa akimtoa damu Mfanyakazi wa Airtel Tanzania, Amitin Mbamba wakati wa zoezi la kuchangia damu lililofanywa na wafanyakazi wa vitengo mbalimbali vya Airtel, jijini Dar es Salaam jana. Kitengo cha Damu Salama kina upungufu mkubwa wa damu ambapo kiasi cha ujazo wa unit 350,000 zinahitajika kwa ajili ya dharura za kitabibu kila mwaka.Wafanyakazi wa Airtel Tanzania (kutoka kushoto), Adam Suleiman na Frank Munale...

 

10 years ago

Michuzi

KITENGO SHIRIKISHI CHA AFYA ZANZIBAR CHA ANDAA MJADALA JUU YA UZAZI WA MPANGO KATIKA UISLAM

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Dkt Issa Haji Zidi akizungumza na vijana katika mjadala kuhusu uzazi wa mpango katika uislamu ulioandaliwa na Kitengo cha Shirikishi cha Afya ya mama na mtoto kwenye ukubi wa Chuo cha Mafunzo Kilimani Mjini Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar. Mkufunzi kutoka Chuo cha Sayansi ya Afya ya Mbweni Asha Ali Khamis akionyesha moja ya dawa za kisasa za uzazi wa mpango katika mjadala huo. Mmoja wa washiriki wa mjadala kuhusu uzazi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

JK azindua kitengo cha moyo

>Rais Jakaya Kikwete jana alizindua kitengo cha Tiba ya Moyo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH)  na kuutaka uongozi kuhakikisha kinakuwa taasisi inayojitegemea.

 

11 years ago

BBCSwahili

AU itaunda kitengo cha magonjwa

Mkuu wa Umoja wa Afrika asema wameamua kuunda kitengo cha kudhibiti magonjwa kama Ebola

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani