‘Bosi’ Tanesco, mke kortini
ALIYEKUWA Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka ya kutumia vibaya madaraka kwa kutoa zabuni ya usambazaji wa vifaa kwa kampuni inayomilikiwa na mkewe.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper![](http://4.bp.blogspot.com/--O56OO65qlI/U8UJL3b7HgI/AAAAAAAABXU/u2sQd3FFy8I/s72-c/Unknown.jpeg)
Bosi Bandari kortini
Adaiwa kutoa zabuni kinyume cha sheria Ni ya upanuzi wa gati namba 13 na 14 Dar
NA FURAHA OMARY
ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Ephraim Mgawe na Naibu wake, Hamad Koshuma, wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka.
![](http://4.bp.blogspot.com/--O56OO65qlI/U8UJL3b7HgI/AAAAAAAABXU/u2sQd3FFy8I/s1600/Unknown.jpeg)
Vigogo hao wanadaiwa kutoa zabuni ya upanuzi wa gati namba 13 na 14 katika Bandari ya Dar es Salaam kwa China Communications Construction Company (CCCC), bila ya kutangaza zabuni.
Mgawe na mwenzake walifikishwa...
11 years ago
GPLBOSI ALIYEMNG’ATA HAUSIGELI WAKE KUTINGA KORTINI
10 years ago
Habarileo01 Oct
Waomba mahakama ikatae ushahidi kesi ya bosi Tanesco
UPANDE wa Utetezi katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando umeiomba mahakama isipokee nakala ya ripoti ya kamati ya tathmini ya zabuni ya Santa Clara Supplies kama sehemu ya ushahidi wa upande wa jamhuri.
11 years ago
Mwananchi10 Dec
Tanesco kupandishwa kortini Mahakama Kuu
11 years ago
Dewji Blog11 Aug
Binti wa kazi ajeruhiwa vibaya kwa kumwagiwa uji wa moto na mke wa bosi wake, kisa wivu wa kimapenzi
Msichana Jackline Lasway akiwa amelazwa katika wodi ya kina mama namba mbili katika hospitali ya Mkoa wa Singida baada ya kujeruhiwa kwa kumwagiwa uji wa moto wakati akiwa dukani kwa bosi wake eneo la soko kuu Manispaa ya Singida.
Na Mwandishi Wetu , Singida.
Msichana mmoja mkazi wa eneo la Minga Manispaa ya Singida amenusurika kifo baada ya kumwagiwa uji wa moto na mke wa tajiri wake wa dukani kutokana na kile kinachosadikiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.
Msichana huyo Jackline Lasway...
10 years ago
Mwananchi03 Feb
Mke wa Cheka aangua kilio kortini
11 years ago
Habarileo10 Aug
Mke kortini kwa kumfanyia fujo mumewe
MKAZI wa eneo la Majengo mjini Singida, Anna Bonaventure (34) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Utemini, akikabiliwa na mashitaka ya kumfanyia fujo mumewe, Abdallah Ally (34) kwenye eneo lake la biashara.
9 years ago
Bongo523 Oct
Mke wa Master P ampeleka kortini mwanae, Romeo
10 years ago
Habarileo27 Aug
Aeleza mke wa kigogo Tanesco alivyopata zabuni
KAIMU Meneja Mwandamizi wa Ununuzi wa Shirika la Umeme (Tanesco) Makao makuu, Atanaz Kalikamwe ameieleza mahakama jinsi mke wa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa shirika hilo, William Mhando alivyopata zabuni ya usambazaji wa vifaa.