Waomba mahakama ikatae ushahidi kesi ya bosi Tanesco
UPANDE wa Utetezi katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando umeiomba mahakama isipokee nakala ya ripoti ya kamati ya tathmini ya zabuni ya Santa Clara Supplies kama sehemu ya ushahidi wa upande wa jamhuri.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo11 Feb
Waomba Mahakama kusimamisha kesi ya Escrow
UPANDE wa utetezi katika kesi ya kupokea rushwa ya Sh milioni 323.4 inayomkabili Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rugonzibwa Mujunangoma umeiomba Mahakama kusimamisha kesi hadi itakaposikiliza ombi lao.
11 years ago
Mwananchi08 Jul
KESI: ‘Ushahidi kesi ya mauaji kikwazo’
11 years ago
Habarileo27 May
‘Bosi’ Tanesco, mke kortini
ALIYEKUWA Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka ya kutumia vibaya madaraka kwa kutoa zabuni ya usambazaji wa vifaa kwa kampuni inayomilikiwa na mkewe.
9 years ago
StarTV29 Dec
 Mahakama Kuu yamfutia kesi Dk. Mwakyembe kuhusu Kesi Za Kupinga Matokeo
Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeitupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi iliyofunguliwa na aliyekuwa Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kwenye uchaguzi mkuu uliopita, Abraham Mwanyamaki, dhidi ya Mbunge wa Kyela na Waziri wa Katiba na Sheria, Dokta Harrison Mwakyembe.
Mahakama imefikia hatua hiyo baada ya Mwanyamaki kushindwa kulipa ada ya gharama za uendeshaji wa kesi hiyo shilingi Milioni Tatu katika muda wa Siku 14 uliowekwa kisheria.
Baada ya uchaguzi mkuu...
11 years ago
Mwananchi24 Jul
Ushahidi kesi ya Mbasha Agosti 22
11 years ago
Habarileo18 Jun
Ushahidi kesi ya Mramba wafutwa
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imefuta ushahidi wa aliyekuwa Kamishna wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato (TRA), Felesian Msigala, uliokuwa umetolewa mahakamani hapo kwa ajili ya kumtetea aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba.
11 years ago
Tanzania Daima04 Feb
Kesi 82 zafutwa kwa kukosa ushahidi
KESI 82 zilizokaa muda mrefu zimefutwa mkoani Kagera kwa kukosa ushahidi wa kutosha katika kipindi cha mwaka 2012/2013. Akizungumza wakati wa sherehe za Siku ya Sheria nchini, jana Mwanasheria Mfawidhi wa...
10 years ago
Habarileo10 Feb
Video yatumika ushahidi kesi ya Ponda
UPANDE wa Mashikata kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shehe Ponda Issa Ponda umewasilisha ushahidi muhimu wa mkanda wa video unaodaiwa kuonesha uhalisia wa tukio zima la kesi yake inayomkabili ya kutoa maneno ya uchochezi.
10 years ago
Vijimambo28 Feb
Mbowe atoa ushahidi kesi ya shambulio.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Mbowe-28Feb2015.jpg)
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe (53), anayekabiliwa na kesi ya shambulio dhidi ya mwangalizi wa ndani wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010, ameileza mahakama kwamba alilazimika kumtoa nje kwa nguvu nje ya kituo cha kura, Nasir Uronu, kwa madai kuwa alikuwa na utambulisho bandia ambao hautambuliki na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) isipokuwa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata).
Akitoa...