Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mke wa Master P ampeleka kortini mwanae, Romeo

Mke wa Master P, Sonya Miller anamshtaki mwanae wa kiume, Romeo, kwa mujibu wa TMZ. Familia ya Master P Sonya anadai kuwa Master P amekuwa akimtumia Romeo kuficha mali zake wakati wa masuala ya talaka yao yakiendelea. Amedai kuwa kampuni ya No Limit Forever iliyokuwa No Limit Records awali ni mfano wa ujanja wa mumewe. […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Exclusive gossip: Paul wa kundi la Psquare ampeleka mwanae klabu ya Chelsea Fc

903696235776098340_188019783Paul Okoye  wa Psquare akiwa na mtoto wake wa kiume, Andre (2) ambaye  pia ameamua kumuingiza mtoto wake huyo kuwa ‘mnazi’ wa klabu ya Chelsea ambapo anamtabilia atakuwa mchezaji wa Kimataifa na wa kulipwa.

Na Andrew Chale, Modewji blog

Ukweli ni kuwa,  wakali wanaotikisa katika muziki, kundi la Psquare linaloundwa na Mapacha ‘kaka wawili’  Peter  na Paul Okoye (Psquare)  ni wanazi wa kutupwa wa timu ya Chelsea Fc  yenye makazi yake  London huku ikitumia uwanja wa  Arena, Stamford Bridge,...

 

11 years ago

Habarileo

‘Bosi’ Tanesco, mke kortini

ALIYEKUWA Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka ya kutumia vibaya madaraka kwa kutoa zabuni ya usambazaji wa vifaa kwa kampuni inayomilikiwa na mkewe.

 

10 years ago

Mwananchi

Mke wa Cheka aangua kilio kortini

Wakati mke wa bondia maarufu nchini, Francis Cheka (32), Toshi Asenga akimwaga machozi mahakamani mumewe alipohukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela na kulipa fidia ya Sh1 milioni, mabondia wa zamani, wadau wengine wameshikwa butwaa.

 

11 years ago

Habarileo

Mke kortini kwa kumfanyia fujo mumewe

MKAZI wa eneo la Majengo mjini Singida, Anna Bonaventure (34) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Utemini, akikabiliwa na mashitaka ya kumfanyia fujo mumewe, Abdallah Ally (34) kwenye eneo lake la biashara.

 

10 years ago

Habarileo

Nyama ya mbuzi yamkwama kooni, afa, mke aburuzwa kortini

MKAZI wa kijiji cha Nakachindu kata ya Mkundi Halmashauri ya wilaya ya Masasi mkoani hapa, Asumini Bakiri (39) amefikishwa mahakamani kujibu shitaka la mauaji linalomkabili la kumuua mumewe, Simoni Simoni (45).

 

11 years ago

TheCitizen

Lofty target for Alfa Romeo unrealistic

Actor Dustin Hoffman made Alfa Romeo trendy for Americans by driving a red Spider 1600 in the 1967 movie “The Graduate,” but Alfa sales never took off in the North American market and the company ultimately pulled out.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diamond ampeleka Wema kimataifa

STAA wa muziki wa Bongo fleva nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’, amemtanulia wigo wa filamu mpenzi wake Wema Sepetu kwa kumuunganisha na wasanii wa Ghana ili aweze kuwika kimataifa katika...

 

10 years ago

Mtanzania

Wema ampeleka Diamond Polisi

Diamond-na-Wema-nzuri_full1NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MKALI wa filamu nchini na Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu ‘Wema’, amemfungulia kesi ya madai mpenzi wake wa zamani ambaye ni mwanamuziki wa bongo fleva, Nassib Abdul ‘Diamond’, kwa kumtapeli kiasi cha Sh milioni 10.
Kwa mujibu wa mtandao wa Shirika la Utangazaji (BBC) idhaa ya Kiswahili, Wema aliripoti madai yake kituo cha Polisi Oysterbay akidai kuwa alimpatia mwanamuziki huyo kiasi hicho kwa makubaliano ya kazi na kuahidi kumlipa, lakini amekwenda...

 

11 years ago

GPL

Loga ampeleka Owino Simba B, agoma

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Phillip Nkini
KOCHA Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, amemwambia beki wake Joseph Owino aende akafanye mazoezi na timu B. Owino alikorofishana na kocha huyo Alhamisi iliyopita wakati wa mazoezi kwenye Uwanja wa Kinesi jijini Dar es Salaam, baada ya kudaiwa kuwa kocha huyo alimtukana. Akizungumza na Championi Jumatatu jana, Owino alisema kuwa amepewa ujumbe na meneja wa timu hiyo Nico...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani