Aeleza mke wa kigogo Tanesco alivyopata zabuni
KAIMU Meneja Mwandamizi wa Ununuzi wa Shirika la Umeme (Tanesco) Makao makuu, Atanaz Kalikamwe ameieleza mahakama jinsi mke wa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa shirika hilo, William Mhando alivyopata zabuni ya usambazaji wa vifaa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper14 Aug
Shahidi aeleza trafiki feki alivyopata sare za polisi
NA SYLVIA SEBASTIAN
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, imeelezwa kuwa mshitakiwa James Hassan (45), anayedaiwa kujifanya askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani, alijipatia kofia na mkanda baada ya kufa kwa baba yake mdogo na kisha kushona sare za kikosi hicho.
Koplo Julius (36), ambaye ni shahidi wa pili wa upande wa Jamhuri, alidai hayo jana mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Juma Hassan, alipokuwa akitoa ushahidi.
Akiongozwa na Wakili wa Serikali, Felista Mosha, Koplo Julius alidai Agosti 14,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7C-F8e0yGIaeyr6UETag2mNvBA9CP49fS*ZyMvGpli4FwH1Ld1WtBl1XaSCdDM948DvECPOPXKNB4wwz5fiAyqmHvluv09KO/kigogo.jpg)
MKE WA KIGOGO AFA GESTI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aDnEqQYbuL-LX*1NCxm-TK2gvZb**wsS58K11gfVaQQWV-HHh1eDi-2anuZYzcjfG6HlrZCIW-DrV3tj32CZayW9xj7PC2s9/LIVE.jpg?width=650)
SERENGETI BOY, MKE WA KIGOGO LIVE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxboPowRZbOEqNH9RR9cetPr5CXQ9nwhYsAFfyFJUByKmPB*mk5Gc7JzP3l7cL2I7cM5eRyvGL*5RwwhdPYSTS7l/mke.jpg?width=650)
MKE WA KIGOGO APIGWA RISASI KWAPANI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2Tkrz8bmcYigzBIU5UtXa8XhmxA1O0MnZNtqvchgwBeQnZaKEV6fOXoqwhwnkfgMdpMsER-IEMwQ-U1mvRkjOAU-asYMpkqA/mke.jpg?width=650)
MKE WA KIGOGO MBARONI KWA WIZI WA MAGARI
11 years ago
Habarileo27 May
‘Bosi’ Tanesco, mke kortini
ALIYEKUWA Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka ya kutumia vibaya madaraka kwa kutoa zabuni ya usambazaji wa vifaa kwa kampuni inayomilikiwa na mkewe.
10 years ago
CloudsFM03 Mar
Wafanyakazi wa TANESCO, Mbeya mke na mume wakutwa wamekufa ndani ya nyumba yao.
Watu wawili wafanyakazi shirika la Umeme Tanesco Mkoa wa Mbeya Ndugu Uswege Mwankuge (58) na Jusio Uswege (48) ambao ni mtu na mke wake wamekutwa wamekufa ndani ya nyumba yao mtaa hayanga RRM jijini mbeya.
Tukio hilo la kusikitisha limetokea leo jijini hapa ambapo inadaiwa kuwa wawili hao wamekutwa wamekufa ndani ya nyumba yao usiku wa kuamkia Marchi 3 mwaka huu.
Akizungumiza tukio hilo Balozi wa mtaa huo Jofrey Katuli amesema yeye alipigiwa simu majira ya saa 4 asubuhi kuwa Ndugu Uswege...
5 years ago
BBCSwahili22 Mar
Coronavirus: Wanasayansi wanakuna vichwa kubaini jinsi mtu wa kwanza alivyopata corona
5 years ago
BBCSwahili25 Feb
Erick Kabendera: Amnesty Inernational, CPJ wakosoa namna mwandishi wa Tanzania alivyopata uhuru wake