Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Erick Kabendera: Amnesty Inernational, CPJ wakosoa namna mwandishi wa Tanzania alivyopata uhuru wake

Mashtaka dhidi ya Kabendera yanakosolewa kuwa ya kisiasa na wanaharakati

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MWANDISHI ERICK KABENDERA AHUKUMIWA KULIPA SHILINGI MILIONI 273, MAHAKAMA YAMUACHIA HURU

Na Karama Kenyunko Globu ya Jamii

MWANDISHI maarufu wa Habari za uchunguzi Erick Kabendera amehukumiwa kulipa faini na Fidia ya jumla ya sh. Milioni 273 baada ya kukiri makosa ya utakatishaji fedha na kukwepa kodi.
Aidha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Kabendera kulipa faini ya sh.250,000 ama kutumikia kifungo cha miezi mitatu jela baada ya kukiri kosa la kukwepa kodi huku pia akifutiwa kosa la kuongoza genge la uhalifu.

Hata hivyo mshtakiwa Kabendera ameishalipa Sh. Milioni 100 na...

 

5 years ago

Michuzi

UDHURU WA HAKIMU ANAYESIKILIZA KESI YA UHUJUMU UCHUMI INAYOMKABILI MWANDISHI ERICK KABENDERA WAKWAMISHA MAJADILIANO MAHAKAMANI

Na Karama Kenyunko, Michuzi Globu ya jamii
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Februari 17 mwaka  2020 imeshindwa kuendelea na makubaliano katika kesi a Uhujumu Uchumi inayomkabili  Mwandishi wa Habari Erick Kabendera kwa sababu Hakimu anayesikiliza kesi hiyo amepata udhuru.
Kwa mujibu wa ratiba ya kesi hiyo leo ilitegemewa kuwa ni hatma ya mwisho ya Kabendera kusota rumande tangu alipopandishwa kizimbani Agosti 5,mwaka  2019 baada ya kuingia makubaliano na Mkurugenzi wa Mashitaka nchini...

 

5 years ago

BBC

Tanzania journalist Erick Kabendera freed after seven months

Erick Kabendera had been charged with money laundering, tax evasion and leading organised crime.

 

5 years ago

BBCSwahili

Erick Kabendera: Mwanahabari mpekuzi wa Tanzania aachiwa huru

Mwandishi wa masuala ya uchunguzi nchini Tanzania Eric Kabendera ameachiliwa huru baada ya kuzuiliwa mahabusu kwa miezi sita.

 

5 years ago

CCM Blog

ERICK KABENDERA AACHIWA HURU

  Mwandishi wa habari za uchunguzi, Erick Kabendera amehukumiwa kulipa faini Sh100 milioni baada kukiri kosa la  utakatishaji fedha na pia kulipa faini ya Sh. 250,000 au kwenda jela miezi mitatu kwa kukiri kukwepa kodi, pamoja na fidia ya shilingi milioni 172. 
Mapema leo, Kabendera aliyekuwa akikabiliwa na makosa matatu, alifutiwa kosa lake alilokuwa akidaiwa Kuongoza Genge la Uhalifu.
Hukumu imetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Janeth Mtega baada ya Kabendera kusota korokoroni tangu alipofikishwa...

 

9 years ago

Michuzi

UHURU PUBLICATIONS LIMITED YALIA NA CHADEMA KWA KUPIGWA MWANDISHI WAKE

LEO ASUBUHI, MWANDISHI AMBAYE PIA NI MPIGAPICHA WA MAGAZETI YA UHURU, MZALENDO NA BURUDANI YANAYOCHAPISHWA NA KAMPUNI YA UHURU PUBLICATIONS, CHRISTOPHER LISSA, ALIPATA TAARIFA ZA MAANDAMANO YA WALIOTAJWA KUWA WAFUASI WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) WALIOKUWA WAMEKUSUDIA KUANDAMANA KWENDA MAKAO MAKUU YA CHAMA CHAO.


LISSA ALIMFAHAMISHA MHARIRI WAKE JUU YA TAARIFA HIZO, AMBAPO MHARIRI ALIMTAKA KUFUATILIA TUKIO HILO.


MWANDISHI HUYO ALIONDOKA OFISINI SAA 2:50 ASUBUHI MPAKA KINONDONI...

 

9 years ago

Michuzi

MWANDISHI UHURU AJITOSA UENEZI MKOA

MWANDISHI wa habari wa magazetila Uhuru,Mzalendo na Burudani mkoani Arusha Shaaban Mdoe amejitokeza kuwania nafasi ya ukatibu wenezi wa CCMmkoa wa Arusha katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika mnamo Januari 28mwaka huu ili kuziba nafasi zilizo wazi kutokana na sababu mbalimbali.
Mdoe ambaye amewahi kuwamjumbe wa baraza la vijana wilaya ya Arusha na mjumbe wa kamati mbalimbali zamaadhimisho ya sherehe mbalimbali za chama amesema amejitokeza kuwania nafasihiyo kutokana na msukumo wa fani...

 

11 years ago

Habarileo

Gazeti la Mawio na mwandishi wake Jabir wadaiwa fidia bil.2/-

MKURUGENZI Mtendaji wa kampuni ya AP Media and Consultant Limited, Peter Keasi, amefungulia shauri la madai dhidi ya Mhariri wa gazeti la kila wiki la Mawio na mwandishi wa gazeti hilo, Jabir Idrissa, akidai fidia ya Sh billioni mbili kwa madai ya kukashifiwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani