Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gazeti la Mawio na mwandishi wake Jabir wadaiwa fidia bil.2/-

MKURUGENZI Mtendaji wa kampuni ya AP Media and Consultant Limited, Peter Keasi, amefungulia shauri la madai dhidi ya Mhariri wa gazeti la kila wiki la Mawio na mwandishi wa gazeti hilo, Jabir Idrissa, akidai fidia ya Sh billioni mbili kwa madai ya kukashifiwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

GAZETI LA MAWIO KIKAANGONI

Serikali imeagiza gazeti la Mawio kueleza sababu za kupotosha na kukejeli nia njema ya serikali kwa wananchi wake kuhusu Hati ya Muungano. Akizungumza jana, Mkurugenzi Idara ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene alisema gazeti hilo la wiki linatakiwa kujieleza ndani ya siku tatu. Alisema mbali na kujieleza, gazeti hilo limepewa siku saba hadi Aprili 23, mwaka huu, kukanusha taarifa hiyo. Kwa mujibu wa Mwambene, katika gazeti hilo...

 

11 years ago

Habarileo

Gazeti la Mawio labanwa

MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya AP Media & Consult Ltd, Peter Keasi ametaka gazeti la Mawio limlipe Sh bilioni mbili kama fidia, kwa kile anachodai kuchapisha habari ambazo zimesababisha kushuka kwa hadhi yake na ya kampuni na hivyo kumwathiri kibiashara.

 

11 years ago

Michuzi

Gazeti la Mawio lapelekwa mahakamani

MKURUGENZI Mtendaji wa kampuni ya AP Media and Consultant Limited, Bw. Peter Keasi, amefungua shauri la madai dhidi ya Mhariri wa gazeti la kila wiki la Mawio na mwandishi wa gazeti hilo Jabir Idrissa, akidai malipo ya billioni mbili kama fidia kwa kumkashifu yeye pamoja na kampuni yake. Kupitia kwa wakili Mhe. Alloyce Komba wa kampuni ya uwakili ya Haki Kwanza, Keasi amefungua shauri hilo katika Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam wiki iliyopita. Anadai kukashifiwa kutokana na habari...

 

10 years ago

StarTV

Udanganyifu wadaiwa kuchelewesha malipo ya fidia.

Na Jumanne Ntono,

Mara.

 

Serikali imesema kampuni ya kuchimba madini ya dhahabu ya ACACIA iliyopo Nyamongo wilayani Tarime mkoani Mara imechelewa kulipa fidia ya maeneo na majengo ya wananchi yaliyofanyiwa tathimini.

 

Ni kutokana na udanganyifu mkubwa uliofanywa na wananchi, wathamini wa Serikali wasio waaminifu na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo waliotaka malipo yao yaongezeke zaidi.

 

Hayo yalielezwa na waziri wa nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo katika  kijiji cha...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MUHONGO AHOJIWA NA MWANDISHI WA GAZETI LA THE NEW AUSTRALIAN

 Mwandishi wa Habari kutoka Gazeti la ‘The West Australian’ Kim MacDonald, akiandika maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo alipofanya mahojiano naye mapema leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
“Serikali ya Tanzania imejipanga vipi katika kuhakikisha gesi asili inayoendelea kugunduliwa nchini inakuwa yenye manufaa kwa nchi?” Ndivyo anavyouliza Mwandishi huyo

“Moja ya mikakati yetu ni kuhakikisha asilimia 75 ya Watanzania wanapata umeme wa...

 

10 years ago

GPL

MWANDISHI WA UJERUMANI ALIFAGILIA GAZETI LA ‘UWAZI’

Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdalah Mrisho (kushoto), akiongea na mwandishi Hawa Bihoga wa Idhaa ya Kiswahili Ujerumani (DW) ofisini kwake Sinza-Bamaga jijini Dar es Salaam. Bihoga alifika hapo kulipongeza gazeti la Uwazi  na mwandishi Haruni Sanchawa.
Mrisho akiagana  na Bihoga. MWANDISHI  wa Shirika la Habari Idhaa ya Kiswahili Ujerumani (DW),  Hawa Bihoga,  ametoa pongezi kubwa kwa kampuni ya Global...

 

10 years ago

Habarileo

IPTL yamdai Zitto fidia bil.500/-

KAMPUNI ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), imefungua kesi ya madai katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, wakimtaka Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe awalipe fidia ya Sh bilioni 500 kutokana na kutoa kashfa dhidi yao.

 

11 years ago

Habarileo

Bil.6.8/-kutumika kulipa fidia Makambako hadi Songea

SERIKALI imetenga zaidi ya Sh bilioni 6.8 kwa ajili ya kulipa fidia kwa wananchi walioko kandokando mwa barabara kuu kutoka Makambako hadi Songea.

 

11 years ago

BBCSwahili

Samsung kuwalipa fidia wafanyakazi wake

Kampuni kubwa duniani ya vifaa vye elektroniki Samsung, inasema kuwa itawalipa fidia wafanyakazi wake waliopatwa na Saratani wakifanya kazi na kampuni hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani