Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANDISHI WA UJERUMANI ALIFAGILIA GAZETI LA ‘UWAZI’

Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdalah Mrisho (kushoto), akiongea na mwandishi Hawa Bihoga wa Idhaa ya Kiswahili Ujerumani (DW) ofisini kwake Sinza-Bamaga jijini Dar es Salaam. Bihoga alifika hapo kulipongeza gazeti la Uwazi  na mwandishi Haruni Sanchawa.
Mrisho akiagana  na Bihoga. MWANDISHI  wa Shirika la Habari Idhaa ya Kiswahili Ujerumani (DW),  Hawa Bihoga,  ametoa pongezi kubwa kwa kampuni ya Global...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

GAZETI LA UWAZI MIZENGWE LASAMBAA KISARAWE!

Maofisa usambazaji wakitinga mitaa ya Wilaya ya Kisarawe. Mkazi wa eneo la Kisalawe sokoni alikutwa na gazeti la Uwazi Mizengwe akilisoma. Baadhi ya wakazi wa Eneo la Kisarawe stendi ya daladala (waliokaa) wakiuliza maswali kutoka kwa maofiasa masoko wa Global baada ya kutinga wilayani hapo.…

 

10 years ago

GPL

GAZETI LA UWAZI MIZENGWE KATIKA UBORA WAKE

Timu ya Kitengo cha Teknolojia ya Habari (IT) Global Publishers, katika pozi na nakala zao za Gazeti la Uwazi Mizengwe linaloingia sokoni kila Ijumaa. Wafanyakazi wa Global Publishers Ltd wakiburudika na Uwazi Mizengwe.…

 

9 years ago

GPL

YALIYOMO KWENYE GAZETI LA UWAZI, JUMANNE HII

Unyama wakutisha wafanyika Dar!! -Mke wa Mtu atembezwa mtupu mitaani, apigwa mawe, achomwa moto -Ni Baada ya mumewe kuuawa kikatili Polisi auawa akimwokoa bintiye -Ni kisa cha kusikitisha -Unataka kufahamu ilikuwaje? Kifo cha Mtikila chatikisa upya -Mapya yaibuka tena -Polisi yapewa mwezi mmoja kutoa majibu Njemba alipukiwa antena -Akatwa mkono -Unataka kujua kisa kamili? Kupata undani wa haya na mengine mengi, usikose kusoma...

 

11 years ago

GPL

PROMOSHENI YA GAZETI LA UWAZI JIJINI DAR YAFANYIKA LEO

Wasomaji wa gazeti la Uwazi wakinunua gazeti hilo kwenye gari la matangazo. Mhariri…

 

10 years ago

GPL

WASOMAJI GAZETI LA UWAZI MIZENGWE DAR WAPEWA ZAWADI

Mr. Uwazi sambamba na Ofisa Masoko wa Global, Aziza Seif akijiandaa kumpatia zawadi msomaji wa Gazeti la Uwazi Mizengwe. Meneja Mkuu wa Global Publishers sambamba na Mr. Uwazi akiongea na muuzaji wa magazeti eneo la Kituo cha Stendi ya Daladala cha Lufungira-Mwenge.…

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA SH. LAKI MBILI ZA GAZETI LA UWAZI MIZENGWE APATIKANA

Mshindi akikabidhiwa zawadi na miongoni mwa wahariri wa gazeti hilo, Elvan Stambuli. Asia akionesha fedha alizojishindia.…

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA SH. LAKI MBILI ZA GAZETI LA UWAZI MIZENGWE MWANZA APATIKANA

Hassina Jumanne Saidy akionesha fedha alizojishindia baada ya  kubahatika  kuiona stika maalumu  ndani ya Gazeti la Uwazi Mizengwe ya Uchaguzi. Muakilishi wa Global Publishers jijini Mwanza, Ali Masumbuko akimkabidhi shilingi laki mbili taslimu Hassina Jumanne Saidy .…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani