Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GAZETI LA UWAZI MIZENGWE KATIKA UBORA WAKE

Timu ya Kitengo cha Teknolojia ya Habari (IT) Global Publishers, katika pozi na nakala zao za Gazeti la Uwazi Mizengwe linaloingia sokoni kila Ijumaa. Wafanyakazi wa Global Publishers Ltd wakiburudika na Uwazi Mizengwe.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

GAZETI LA UWAZI MIZENGWE LASAMBAA KISARAWE!

Maofisa usambazaji wakitinga mitaa ya Wilaya ya Kisarawe. Mkazi wa eneo la Kisalawe sokoni alikutwa na gazeti la Uwazi Mizengwe akilisoma. Baadhi ya wakazi wa Eneo la Kisarawe stendi ya daladala (waliokaa) wakiuliza maswali kutoka kwa maofiasa masoko wa Global baada ya kutinga wilayani hapo.…

 

10 years ago

GPL

WASOMAJI GAZETI LA UWAZI MIZENGWE DAR WAPEWA ZAWADI

Mr. Uwazi sambamba na Ofisa Masoko wa Global, Aziza Seif akijiandaa kumpatia zawadi msomaji wa Gazeti la Uwazi Mizengwe. Meneja Mkuu wa Global Publishers sambamba na Mr. Uwazi akiongea na muuzaji wa magazeti eneo la Kituo cha Stendi ya Daladala cha Lufungira-Mwenge.…

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA SH. LAKI MBILI ZA GAZETI LA UWAZI MIZENGWE APATIKANA

Mshindi akikabidhiwa zawadi na miongoni mwa wahariri wa gazeti hilo, Elvan Stambuli. Asia akionesha fedha alizojishindia.…

 

9 years ago

GPL

YALIYOMO KWENYE GAZETI LA UWAZI MIZENGWE: MWAKYEMBE WAZIRI MKUU

Mwakyembe Waziri Mkuu -Awabwaga akina Lukuvi, Prof. Muhongo, Makamba, Mwigulu na Ndugai -Utendaji kuwa wa mchaka mchaka -Wasomi mwazungumzia hali ya nchi itakavyokuwa Vita ya Usika... -Ukawa wajipenyeza CCM -Vuta ni kuvute bwaga nikubwage Muhimbili bado inahitaji Mashine zaidi Makala kemkem za kuelimisha na kusisimua Kwa haya na mengine mengi, soma Gazeti la Uwazi Mizengwe, Ijumaa hii. ...

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA SH. LAKI MBILI ZA GAZETI LA UWAZI MIZENGWE MWANZA APATIKANA

Hassina Jumanne Saidy akionesha fedha alizojishindia baada ya  kubahatika  kuiona stika maalumu  ndani ya Gazeti la Uwazi Mizengwe ya Uchaguzi. Muakilishi wa Global Publishers jijini Mwanza, Ali Masumbuko akimkabidhi shilingi laki mbili taslimu Hassina Jumanne Saidy .…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani