Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gazeti la Mawio labanwa

MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya AP Media & Consult Ltd, Peter Keasi ametaka gazeti la Mawio limlipe Sh bilioni mbili kama fidia, kwa kile anachodai kuchapisha habari ambazo zimesababisha kushuka kwa hadhi yake na ya kampuni na hivyo kumwathiri kibiashara.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

GAZETI LA MAWIO KIKAANGONI

Serikali imeagiza gazeti la Mawio kueleza sababu za kupotosha na kukejeli nia njema ya serikali kwa wananchi wake kuhusu Hati ya Muungano. Akizungumza jana, Mkurugenzi Idara ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene alisema gazeti hilo la wiki linatakiwa kujieleza ndani ya siku tatu. Alisema mbali na kujieleza, gazeti hilo limepewa siku saba hadi Aprili 23, mwaka huu, kukanusha taarifa hiyo. Kwa mujibu wa Mwambene, katika gazeti hilo...

 

11 years ago

Michuzi

Gazeti la Mawio lapelekwa mahakamani

MKURUGENZI Mtendaji wa kampuni ya AP Media and Consultant Limited, Bw. Peter Keasi, amefungua shauri la madai dhidi ya Mhariri wa gazeti la kila wiki la Mawio na mwandishi wa gazeti hilo Jabir Idrissa, akidai malipo ya billioni mbili kama fidia kwa kumkashifu yeye pamoja na kampuni yake. Kupitia kwa wakili Mhe. Alloyce Komba wa kampuni ya uwakili ya Haki Kwanza, Keasi amefungua shauri hilo katika Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam wiki iliyopita. Anadai kukashifiwa kutokana na habari...

 

11 years ago

Habarileo

Gazeti la Mawio na mwandishi wake Jabir wadaiwa fidia bil.2/-

MKURUGENZI Mtendaji wa kampuni ya AP Media and Consultant Limited, Peter Keasi, amefungulia shauri la madai dhidi ya Mhariri wa gazeti la kila wiki la Mawio na mwandishi wa gazeti hilo, Jabir Idrissa, akidai fidia ya Sh billioni mbili kwa madai ya kukashifiwa.

 

11 years ago

Habarileo

Shauri la Mkono na Mawio lapigwa kalenda

BARAZA la Habari Tanzania (MCT) limeahirisha kusikiliza shauri linalomhusu Wakili maarufu nchini, Nimrod Mkono dhidi ya gazeti la Mawio, kutokana na pande hizo kuhitaji wawakilishi wa kuwasemea. Katika shauri hilo namba 27/2013, Mkono analalamikia gazeti la Mawio kuandika habari tofauti tofauti zenye upotoshaji na za kumkashfu na Kampuni yake ya uwakili ya Mkono Advocates. Gazeti la Mawio liliwakilishwa na Mhariri ambaye pia ni Mwanasheria Nyaronyo Kicheere.

 

11 years ago

GPL

GAZETI LA CHAMPIONI LAPONGEZWA

Mhariri Kiongozi wa Championi, Saleh Ally (kulia) akimpa zawadi ya shilingi elfu hamsini (50,000) Bi. Rose Majembe baada ya kumkuta kwenye biashara yake ya kukaanga mihogo, Mwenge jijini Dar es Salaam. Katikati ni wahariri wa Championi, John Joseph na Philip Nkini mwingine ni dada aliyekutwa akinunua mihogo.
Mhariri Kiongozi wa Championi, akizungumza na msomaji wa gazeti hilo aliyemkuta… ...

 

9 years ago

Mwananchi

EU, DC wasifia gazeti la Mwananchi

Waangalizi wa Uchaguzi wa Umoja wa Ulaya wamelitaja gazeti la Mwananchi kuwa ni miongoni mwa vyombo vya habari, vinavyoripoti habari za uchaguzi kwa kina na usahihi bila upendeleo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani