Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GAZETI LA CHAMPIONI LAPONGEZWA

Mhariri Kiongozi wa Championi, Saleh Ally (kulia) akimpa zawadi ya shilingi elfu hamsini (50,000) Bi. Rose Majembe baada ya kumkuta kwenye biashara yake ya kukaanga mihogo, Mwenge jijini Dar es Salaam. Katikati ni wahariri wa Championi, John Joseph na Philip Nkini mwingine ni dada aliyekutwa akinunua mihogo.
Mhariri Kiongozi wa Championi, akizungumza na msomaji wa gazeti hilo aliyemkuta… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MR. CHAMPIONI ATOA ZAWADI KWA WASOMAJI WA GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI

Msomaji wa Championi Jumamosi akirudishiwa pesa baada ya kukutwa akisoma gazeti. Msomaji wa gazeti la Championi Jumamosi akirudishiwa pesa…

 

11 years ago

GPL

MR. CHAMPIONI AENDELEA KUGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WA GAZETI JIPYA LA CHAMPIONI JUMAMOSI

Mr. Championi akimkabidhi zawadi msomaji wa Championi Jumamosi akiwa amevua shati, kwa raha zake. Msomaji akirudishiwa Sh 500 aliyonunulia gazeti baada ya kukutwa na Mr. Championi.…

 

9 years ago

Global Publishers

Wachapana makonde kisa Gazeti la Championi

Shinda Nyumba na Global (14)Wafanyakazi wa Global Publishers wakati wa uzinduzi wa Shinda Nyumba katika ofisi za Global Bamaga , Mwenge.

Aplina Philipo, Mbeya
SHINDANO la bahati nasibu ya Shinda Nyumba inayoendeshwa na Kampuni ya Global Publishers, juzi lilisababisha ‘majibaba’ wawili kurushiana makonde kisa kikiwa ni kugombea Gazeti la Championi ambalo lina kuponi maalum ya bahati nasibu hiyo.
Tukio hilo la aina yake lilitokea maeneo ya Kituo cha Daladala cha Kabwe jijini hapa, ambapo wanaume hao ambao majina yao...

 

11 years ago

GPL

GAZETI LA CHAMPIONI LAENDELEA KUGAWA FULANA KWA WAUZA MAGAZETI.

Muuzaji wa magazeti (kushoto) akiwa katika meza yake ya magazeti huku akiwa ametokelezea sambamba na mfanyakazi wa Global,  Jimmy Haroub (kulia). Muuzaji wa magazeti (kushoto) akionesha uso wa furaha baada ya kuvalishwa fulana ya Championi  na Jimmy Haroub.…

 

11 years ago

GPL

GAZETI LA CHAMPIONI LAKABIDHI UBANI KWA FAMILIA YA MAREHEMU MZEE SMALL

Waandishi wa Gazeti la Championi (waliochuchumaa), kutoka kushoto ni Lucy Mgina, Saphyna Mlawa, Martha Mboma na Khadija Mngwai wakimkabidhi ubani Mke wa Marehemu, Said Ngamba 'Mzee Small, Mama Said. Mhariri wa Championi Jumatano, Philip Nkini akimpa pole moja ya mtoto wa Marehemu Mzee Small.…

 

11 years ago

GPL

JIPATIE NAKALA YAKO YA GAZETI MAHIRI LA MICHEZO 'CHAMPIONI JUMAMOSI'

Kwa habari za michezo, burudani, hadithi za kusisimua, makala za uchambuzi wa michezo na mengine mengi, Soma gazeti la Championi Jumamosi!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani