Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EU, DC wasifia gazeti la Mwananchi

Waangalizi wa Uchaguzi wa Umoja wa Ulaya wamelitaja gazeti la Mwananchi kuwa ni miongoni mwa vyombo vya habari, vinavyoripoti habari za uchaguzi kwa kina na usahihi bila upendeleo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

IKULU YAKANUSHA TAARIFA YA GAZETI LA MWANANCHI LA JULAI 27, 2015


THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz               Fax: 255-22-2113425

PRESIDENT’S OFFICE,      STATE HOUSE,               1 BARACK OBAMA ROAD,   11400 DAR ES SALAAM.Tanzania.  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Gazeti la Mwananchi la leo, Jumatatu, Julai 27, 2015, kwenye ukurasa wake wa 26 limechapisha habari yenye kichwa cha habari, “Marais watano...

 

10 years ago

Vijimambo

MAC NAMARA WA GAZETI LA MWANANCHI AFUNGA NDOA MORO

Waandishi wa Gazeti za Mwananchi Mac Namara Ng'ambi na Bi Ester Mwimbura kufunga pingu za maisha katika kanisa la Anglikana lililopo pande za kihonda Mkoani Morogorokwa picha zaidi bofya soma zaidiPaparazi wa Mtandao wa Global Publisher Dustan Shekidele akiwa kazini kwenye haursi hiyo.Wakikata kike yao ya harusiBi,Harusi akipeleka zawadi kwa wakwe zake kwa staili ya kupiga magotiKipengele kilichokuwa kikisubiriwa na wengi'Menyu'Waandishi wa habari wakiongozwa na Ramadhani Libenanga'Kutty...

 

10 years ago

Michuzi

MDAU MAC NAMARA WA GAZETI LA MWANANCHI AFUNGA NDOA MOROGORO

Waandishi wa Gazeti za Mwananchi Mac Namara Ng'ambi na Bi Ester Mwimbura kufunga pingu za maisha katika kanisa la Anglikana lililopo pande za kihonda Mkoani Morogoro.
            Maharusi Wakikata kike yao.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI




 

11 years ago

Michuzi

JUST IN: IKULU YAKANUSHA HABARI YA GAZETI LA MWANANCHI YA RAIS KUMTEMBELEA MFUNGWA MARANDA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (MOI) katika  Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jana (Jumamosi) kuwajulia hali wanahabari wawili – Ndugu Salum Mkambala wa Channel Ten (juu) na chini Ndugu Margaret Chambili wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).


 

10 years ago

Dewji Blog

IKULU yakanusha taarifa ya gazeti la Mwananchi inayodai “Rais Kikwete analipwa Dola za Marekani 192,000 kwa mwaka”

Untitled

Gazeti la Mwananchi la leo, Jumatatu, Julai 27, 2015, kwenye ukurasa wake wa 26 limechapisha habari yenye kichwa cha habari, “Marais watano wanaotajwa kuongoza kwa mishahara minono barani Afrika ni hawa hapa”.

Katika habari hiyo ambayo gazeti hilo linadai chanzo chake ni “uchambuzi wa mtandao wa African Review” inadaiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, anashilikia nafasi ya tano miongoni mwa viongozi 38 wa nchi za Afrika wanaolipwa mshahara...

 

10 years ago

Michuzi

HOJA YA HAJA: BARUA YA WAZI KWA GAZETI LA MWANANCHI NA BWANA HUMPHREY POLEPOLE KUHUSU URAIA PACHA KWA WATANZANIA.

Naomba unipe nafasi nitoe maoni yangu kuhusu Uraia pacha nikijbu maoni yaliyoandikwa kwenye gazeti la mwananchi na bwana Humphrey Polepole. Maoni yake yamenishangaza sana na mtu huyu anaonekana ana hujuzi kidogo katika mambo ya uandishi na ameamua kutumua ujuzi wake kudanganya watu kuhusu swala hili la urahia pacha kwa watanzania.

Napenda iheleweke kwamba urahia pacha sio kitu kigeni Tanzania. Kimsingi na kimazingira Tanzania inaruhusu urahia pacha. 
1.kwa watanzania wote walio na wazazi wenye...

 

9 years ago

Habarileo

Waangalizi wasifia uchaguzi

UMOJA wa Waangalizi wa Ndani wa Uchaguzi Tanzania (CEMOT), umepongeza mchakato wa uchaguzi wakisema sheria na kanuni vimezingatiwa na kuheshimiwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani