MDAU MAC NAMARA WA GAZETI LA MWANANCHI AFUNGA NDOA MOROGORO
Waandishi wa Gazeti za Mwananchi Mac Namara Ng'ambi na Bi Ester Mwimbura kufunga pingu za maisha katika kanisa la Anglikana lililopo pande za kihonda Mkoani Morogoro.
Maharusi Wakikata kike yao.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMAC NAMARA WA GAZETI LA MWANANCHI AFUNGA NDOA MORO
Waandishi wa Gazeti za Mwananchi Mac Namara Ng'ambi na Bi Ester Mwimbura kufunga pingu za maisha katika kanisa la Anglikana lililopo pande za kihonda Mkoani Morogorokwa picha zaidi bofya soma zaidiPaparazi wa Mtandao wa Global Publisher Dustan Shekidele akiwa kazini kwenye haursi hiyo.Wakikata kike yao ya harusiBi,Harusi akipeleka zawadi kwa wakwe zake kwa staili ya kupiga magotiKipengele kilichokuwa kikisubiriwa na wengi'Menyu'Waandishi wa habari wakiongozwa na Ramadhani Libenanga'Kutty...
10 years ago
MichuziMDAU ABUU MAIGE AFUNGA NDOA NA ZAINAB AHMED
Bwana Harusi Abuu Almas Maige akiwa amepozi na Mkewe,Bi.Zainab Binti Ahmed Lukuta mara baada ya kufunga ndoa yao huko Kigamboni mwishoni mwa wiki. Bwana Harusi akiwa na Wazazi wake Mzee Maige na Mkewe. Bwana Harusi Abuu Almas Maige akiwa amepozi na Mkewe,Bi.Zainab Binti Ahmed Lukuta mara baada ya kufunga ndoa yao huko Kigamboni mwishoni mwa wiki,pichani nyuma wakiwa na Wazazi wao katika picha ya pamoja mara baada ya ndoa kufungwa.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
9 years ago
MichuziMDAU WETU SILLAH MBUYA AFUNGA NDOA NA ANCILLA
Bwana na Bibi harusi wakiingia kanisani kwa ajili ya kufungishwa ndoa katika kanisa la KKKT Sinza jana Jumapili.
(Picha na Geofrey Adroph) Mchingaji akitoa neno kwa wanandoa hao waliofunga pingu za maisha katika kanisa la KKKT Sinza jijini Dar jana Jumapili. Bwana Harisi Sillah Mbuya akimvalisha pete ya ndoa mke wake Ancilla katika kanisa la KKKT Sinza.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
(Picha na Geofrey Adroph) Mchingaji akitoa neno kwa wanandoa hao waliofunga pingu za maisha katika kanisa la KKKT Sinza jijini Dar jana Jumapili. Bwana Harisi Sillah Mbuya akimvalisha pete ya ndoa mke wake Ancilla katika kanisa la KKKT Sinza.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
9 years ago
Dewji Blog19 Oct
Mdau Sillas Mbuya akimbia kambi ya ukapera, afunga ndoa Ancilla!
Bwana na Bibi harusi wakiingia kanisani kwa ajili ya kufungishwa ndoa katika kanisa la KKKT Sinza jana Jumapili.(Picha na Geofrey Adroph)
Mchingaji akitoa neno kwa wanandoa hao waliofunga pingu za maisha katika kanisa la KKKT Sinza jijini Dar jana Jumapili.
Bwana Harisi Sillah Mbuya akimvalisha pete ya ndoa mke wake Ancilla katika kanisa la KKKT Sinza
Bibi harusi akimvalisha pete mme wake Sillah Mbuya uku mchunhaji akishuhudia tukio hili la kihistoria
Mchungaji akitoa baraka kwa...
10 years ago
VijimamboMDAU HAMISI MRISHO AFUNGA NDOA NA BI.REHEMA MILANZI ,SEGEREA JIJI Dar-es-Salaam
Mdau Hamisi Mrisho Mohamedi mzawa wa Kariakoo ambaye pia ana makazi yake kule Segerea Jiji Dar,siku ya Ijumaa 19 Juni 2015 alifunga ndoa na Bi.Rehema Joachim Milanzi mkazi wa Segerea,Dar.mdau Hamisi Mrisho Mohamedi kaachana kabisa na klabu ya Makapera aka Bado nipo nipo Club na fanikiwa kupata mama mwenye nyumba Bi.Rehema Milanzi, harusi hiyo ilifanyika Masid Kubah iliyopo Segerea mwisho,Dar-es-salaam,tunawatakia maisha mema maharusi.
9 years ago
Mwananchi28 Oct
EU, DC wasifia gazeti la Mwananchi
Waangalizi wa Uchaguzi wa Umoja wa Ulaya wamelitaja gazeti la Mwananchi kuwa ni miongoni mwa vyombo vya habari, vinavyoripoti habari za uchaguzi kwa kina na usahihi bila upendeleo.
10 years ago
Vijimambo10 years ago
MichuziIKULU YAKANUSHA TAARIFA YA GAZETI LA MWANANCHI LA JULAI 27, 2015
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT’S OFFICE, STATE HOUSE, 1 BARACK OBAMA ROAD, 11400 DAR ES SALAAM.Tanzania. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Gazeti la Mwananchi la leo, Jumatatu, Julai 27, 2015, kwenye ukurasa wake wa 26 limechapisha habari yenye kichwa cha habari, “Marais watano...
10 years ago
Michuzi25 Jul
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania