Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MDAU WETU SILLAH MBUYA AFUNGA NDOA NA ANCILLA

 Bwana na Bibi harusi wakiingia kanisani kwa ajili ya kufungishwa ndoa katika kanisa la KKKT Sinza jana Jumapili.
(Picha na Geofrey Adroph)   Mchingaji akitoa neno kwa wanandoa hao waliofunga pingu za maisha katika kanisa la KKKT Sinza jijini Dar jana Jumapili. Bwana Harisi Sillah Mbuya akimvalisha pete ya ndoa mke wake Ancilla katika kanisa la KKKT Sinza.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Mdau Sillas Mbuya akimbia kambi ya ukapera, afunga ndoa Ancilla!

 Bwana na Bibi harusi wakiingia kanisani kwa ajili ya kufungishwa ndoa katika kanisa la KKKT Sinza jana Jumapili.(Picha na Geofrey Adroph)     Mchingaji akitoa neno kwa wanandoa hao waliofunga pingu za maisha katika kanisa la KKKT Sinza jijini Dar jana Jumapili.  Bwana Harisi Sillah Mbuya akimvalisha pete ya ndoa mke wake Ancilla katika kanisa la KKKT Sinza  Bibi harusi akimvalisha pete mme wake Sillah Mbuya uku mchunhaji akishuhudia tukio hili la kihistoria  Mchungaji akitoa baraka kwa...

 

10 years ago

Michuzi

MDAU ABUU MAIGE AFUNGA NDOA NA ZAINAB AHMED

Bwana Harusi Abuu Almas Maige akiwa amepozi na Mkewe,Bi.Zainab Binti Ahmed Lukuta mara baada ya kufunga ndoa yao huko Kigamboni mwishoni mwa wiki.  Bwana Harusi akiwa na Wazazi wake Mzee Maige na Mkewe. Bwana Harusi Abuu Almas Maige akiwa amepozi na Mkewe,Bi.Zainab Binti Ahmed Lukuta mara baada ya kufunga ndoa yao huko Kigamboni mwishoni mwa wiki,pichani nyuma wakiwa na Wazazi wao katika picha ya pamoja mara baada ya ndoa kufungwa.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

MDAU MAC NAMARA WA GAZETI LA MWANANCHI AFUNGA NDOA MOROGORO

Waandishi wa Gazeti za Mwananchi Mac Namara Ng'ambi na Bi Ester Mwimbura kufunga pingu za maisha katika kanisa la Anglikana lililopo pande za kihonda Mkoani Morogoro.
            Maharusi Wakikata kike yao.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI




 

10 years ago

Vijimambo

MDAU HAMISI MRISHO AFUNGA NDOA NA BI.REHEMA MILANZI ,SEGEREA JIJI Dar-es-Salaam

Mdau Hamisi Mrisho Mohamedi mzawa wa Kariakoo ambaye pia ana makazi yake kule Segerea Jiji Dar,siku ya Ijumaa 19 Juni 2015 alifunga ndoa na Bi.Rehema Joachim Milanzi mkazi wa Segerea,Dar.mdau Hamisi Mrisho Mohamedi kaachana kabisa na klabu ya Makapera aka Bado nipo nipo Club na fanikiwa kupata mama mwenye nyumba Bi.Rehema Milanzi, harusi hiyo ilifanyika Masid Kubah iliyopo Segerea mwisho,Dar-es-salaam,tunawatakia maisha mema maharusi. 

 

11 years ago

GPL

NASSARI AFUNGA NDOA

Joshua Samwel Nassari (kulia) akiwa na mke wake Anande Nko. Mbunge Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Samwel Nassari amefunga ndoa na Anande Nko kwenye Kanisa la Pentekoste lililopo Kilinga, Arumeru ikifuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika katika Viwanja vya Usa-River Academy jirani na Hoteli ya Ngurdoto. Sherehe hiyo ilianza mishale ya saa 7:00 mchana ambapo watu wote walialikwa wakiwemo ndugu, marafiki, jamaa na wananchi wote...

 

11 years ago

GPL

MWAIKIMBA AFUNGA NDOA KIMYAKIMYA

Mshambuliaji wa Azam FC, Gaudence Mwaikimba akiwa na mke wake Rukia (Mary) Ally Seif. Na Khadija Mngwai MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Gaudence Mwaikimba, ameamua kuachana na ukapera baada ya hivi karibuni kufunga pingu za maisha na mzazi mwenziye, anayejulikana kwa jina la mama Genevieve. Gaudence Mwaikimba akiwa na mke wake Rukia (Mary) Ally Seif baada ya kufunga… ...

 

11 years ago

GPL

MTALAKA WA KIRIA AFUNGA NDOA

Na Hamida Hassan
MTALAKA wa mtangazaji Joyce Kiria, Nelson Nkongo ‘DJ Nelly’ amefunga ndoa na mwanamke mwingine aliyefahamika kwa jina la Elinda ‘Aika’. Joyce Kiria. Mapema wiki hii, picha za wanandoa hao zilizagaa kwenye simu za mastaa mbalimbali huku wengi wao wakimpongeza Nelly kwa kuchukua uamuzi huo wa kuvuta jiko lingine baada ya kumwagana na Joyce mwaka 2011. “Tunampongeza Nelly kwa kuwa...

 

10 years ago

GPL

BI HARUSI AFUNGA NDOA, ATOROKA

SHANI RAMADHANI AIBU ya mwaka! Mwanadada aliyefahamika kwa jina la Tatu Ally  (26), mkazi wa Kongowe, Mbagala, Dar amejikuta akiifedhehesha familia yake kufuatia kutoroka kwa mumewe siku moja tu baada ta kufunga ndoa, Amani lina picha kamili. Mwanadada Tatu Ally anayedaiwa kutoroka baada ya kufunga ndoa. Kwa mujibu wa chanzo, ndoa hiyo ilifungwa Aprili 4, mwaka huu Mbagala jijini Dar kisha bi harusi huyo kwenda kwa mumewe...

 

11 years ago

GPL

P FUNK AFUNGA NDOA YA SIRI

Stori: Gladness Mallya
BAADA ya kuishi maisha ya kisela kwa muda mrefu, hatimaye mtayarishaji nguli wa muziki Bongo, Paul Mathyasse ‘P Funk’ ameoa kwa siri. Mtayarishaji nguli wa muziki Bongo, Paul Mathyasse ‘P Funk’ wakati wa harusi yake. Taarifa kutoka kwa chanzo makini kilichoshuhudia tukio hilo, lilichukua nafasi jijini Arusha mwishoni mwa wiki iliyopita kwa usiri mkubwa. Imeelezwa kuwa, P Funk...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani