Gazeti la Mawio lapelekwa mahakamani
MKURUGENZI Mtendaji wa kampuni ya AP Media and Consultant Limited, Bw. Peter Keasi, amefungua shauri la madai dhidi ya Mhariri wa gazeti la kila wiki la Mawio na mwandishi wa gazeti hilo Jabir Idrissa, akidai malipo ya billioni mbili kama fidia kwa kumkashifu yeye pamoja na kampuni yake. Kupitia kwa wakili Mhe. Alloyce Komba wa kampuni ya uwakili ya Haki Kwanza, Keasi amefungua shauri hilo katika Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam wiki iliyopita. Anadai kukashifiwa kutokana na habari...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo09 Jun
Gazeti la Mawio labanwa
MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya AP Media & Consult Ltd, Peter Keasi ametaka gazeti la Mawio limlipe Sh bilioni mbili kama fidia, kwa kile anachodai kuchapisha habari ambazo zimesababisha kushuka kwa hadhi yake na ya kampuni na hivyo kumwathiri kibiashara.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8pnqwPqNt2NMP3Ves-3iN8WKuY3pyuiPVpXJn58ao0b0xg88rGG3sG9Y5gc1pSOON6K*xgA3Kgp4*6Cn43qj5pYdNx37jrzu/mawio.jpg)
GAZETI LA MAWIO KIKAANGONI
11 years ago
Habarileo21 Jul
Gazeti la Mawio na mwandishi wake Jabir wadaiwa fidia bil.2/-
MKURUGENZI Mtendaji wa kampuni ya AP Media and Consultant Limited, Peter Keasi, amefungulia shauri la madai dhidi ya Mhariri wa gazeti la kila wiki la Mawio na mwandishi wa gazeti hilo, Jabir Idrissa, akidai fidia ya Sh billioni mbili kwa madai ya kukashifiwa.
11 years ago
Habarileo31 Jan
Shauri la Mkono na Mawio lapigwa kalenda
BARAZA la Habari Tanzania (MCT) limeahirisha kusikiliza shauri linalomhusu Wakili maarufu nchini, Nimrod Mkono dhidi ya gazeti la Mawio, kutokana na pande hizo kuhitaji wawakilishi wa kuwasemea. Katika shauri hilo namba 27/2013, Mkono analalamikia gazeti la Mawio kuandika habari tofauti tofauti zenye upotoshaji na za kumkashfu na Kampuni yake ya uwakili ya Mkono Advocates. Gazeti la Mawio liliwakilishwa na Mhariri ambaye pia ni Mwanasheria Nyaronyo Kicheere.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdOTGlbNKtqf7VeH6DH1rGYpQR0VmaxMi-HFv8Eso9S3b7VL26*nT6D1Lz6uAinfhKBvyD0xgjU9se3Zp5dusaQJ7LPhMqNv/championi1.jpg?width=650)
GAZETI LA CHAMPIONI LAPONGEZWA
9 years ago
Mwananchi28 Oct
EU, DC wasifia gazeti la Mwananchi