GAZETI LA MAWIO KIKAANGONI
![](http://api.ning.com:80/files/8pnqwPqNt2NMP3Ves-3iN8WKuY3pyuiPVpXJn58ao0b0xg88rGG3sG9Y5gc1pSOON6K*xgA3Kgp4*6Cn43qj5pYdNx37jrzu/mawio.jpg)
Serikali imeagiza gazeti la Mawio kueleza sababu za kupotosha na kukejeli nia njema ya serikali kwa wananchi wake kuhusu Hati ya Muungano. Akizungumza jana, Mkurugenzi Idara ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene alisema gazeti hilo la wiki linatakiwa kujieleza ndani ya siku tatu. Alisema mbali na kujieleza, gazeti hilo limepewa siku saba hadi Aprili 23, mwaka huu, kukanusha taarifa hiyo. Kwa mujibu wa Mwambene, katika gazeti hilo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo09 Jun
Gazeti la Mawio labanwa
MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya AP Media & Consult Ltd, Peter Keasi ametaka gazeti la Mawio limlipe Sh bilioni mbili kama fidia, kwa kile anachodai kuchapisha habari ambazo zimesababisha kushuka kwa hadhi yake na ya kampuni na hivyo kumwathiri kibiashara.
11 years ago
MichuziGazeti la Mawio lapelekwa mahakamani
11 years ago
Habarileo21 Jul
Gazeti la Mawio na mwandishi wake Jabir wadaiwa fidia bil.2/-
MKURUGENZI Mtendaji wa kampuni ya AP Media and Consultant Limited, Peter Keasi, amefungulia shauri la madai dhidi ya Mhariri wa gazeti la kila wiki la Mawio na mwandishi wa gazeti hilo, Jabir Idrissa, akidai fidia ya Sh billioni mbili kwa madai ya kukashifiwa.
11 years ago
Habarileo31 Jan
Shauri la Mkono na Mawio lapigwa kalenda
BARAZA la Habari Tanzania (MCT) limeahirisha kusikiliza shauri linalomhusu Wakili maarufu nchini, Nimrod Mkono dhidi ya gazeti la Mawio, kutokana na pande hizo kuhitaji wawakilishi wa kuwasemea. Katika shauri hilo namba 27/2013, Mkono analalamikia gazeti la Mawio kuandika habari tofauti tofauti zenye upotoshaji na za kumkashfu na Kampuni yake ya uwakili ya Mkono Advocates. Gazeti la Mawio liliwakilishwa na Mhariri ambaye pia ni Mwanasheria Nyaronyo Kicheere.
11 years ago
Tanzania Daima05 Mar
Polisi kikaangoni
IMEELEZWA kuwa kutokuwepo kwa imani, mfumo wa sheria pamoja na utumiaji wa njia zisizo rasmi ili kupata haki, kunadhoofisha usalama wa nchi. Kauli hii ilitolewa jana jijini Dar es Salaam...
10 years ago
Mwananchi02 Nov
Vigogo kikaangoni
11 years ago
Mwananchi15 Mar
Yanga, Azam kikaangoni
9 years ago
Habarileo29 Aug
Msenegali kikaangoni Simba
MSHAMBULIAJI anayewania kusajiliwa na Simba, Pape N’daw leo na kesho atakuwa na mtihani mkubwa wakati timu hiyo ya Mtaa wa Msimbazi, Kariakoo Dar es Salaam itakapocheza mechi mbili za kirafiki mjini hapa.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-tFnIPNVy8zI/VDVdAxJwP4I/AAAAAAAGou4/vLvrbTNnYtM/s72-c/ndumbalo1.jpg)
Ndumbaro kikaangoni TFF
![](http://4.bp.blogspot.com/-tFnIPNVy8zI/VDVdAxJwP4I/AAAAAAAGou4/vLvrbTNnYtM/s1600/ndumbalo1.jpg)
MWANASHERIA, Damas Ndumbaro ameingia kikaangoni baada ya kuitwa kwenye kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ili kujibu tuhuma alizozitoa wiki iliyopita.
Barua hiyo iliyosainiwa na Katibu Mkuu wa TFF, Selestine Mwesigwa imemtaka Ndumbaro kufika kwenye ofisi TFF zilizopo jengo la PPF Tower leo saa 8:00 mchana kujadili masuala mbalimbali ikiwemo tuhuma alizozitoa kwenye vyombo vya habari hivi karibuni.
Ndumbalo ambaye ni mwanasheria wa klabu za Ligi...