Ndumbaro kikaangoni TFF
![](http://4.bp.blogspot.com/-tFnIPNVy8zI/VDVdAxJwP4I/AAAAAAAGou4/vLvrbTNnYtM/s72-c/ndumbalo1.jpg)
NA RIPOTA WA GLOBU YA JAMII
MWANASHERIA, Damas Ndumbaro ameingia kikaangoni baada ya kuitwa kwenye kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ili kujibu tuhuma alizozitoa wiki iliyopita.
Barua hiyo iliyosainiwa na Katibu Mkuu wa TFF, Selestine Mwesigwa imemtaka Ndumbaro kufika kwenye ofisi TFF zilizopo jengo la PPF Tower leo saa 8:00 mchana kujadili masuala mbalimbali ikiwemo tuhuma alizozitoa kwenye vyombo vya habari hivi karibuni.
Ndumbalo ambaye ni mwanasheria wa klabu za Ligi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi12 May
TFF yamkomalia Ndumbaro
10 years ago
Mwananchi03 Nov
TFF yaficha rufaa ya Ndumbaro
10 years ago
Tanzania Daima02 Nov
TFF yajisafisha upupu wa Ndumbaro
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limeyatolea ufafanuzi madai ya wakili wa kujitegemea aliyefungiwa kujihusisha na soka kwa miaka saba Dk. Damas Ndumbaro, aliyoyitoa katika mkutano wake na wanahabari, kuhusu uhalali...
10 years ago
Vijimambo14 Oct
Ndumbaro jela miaka 7 TFF
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Ndumbalo--October14-2014.jpg)
Shirikisho la Soka nchini (TFF) limemfungia miaka saba mwanasheria na mdau mkubwa soka nchini Damas Ndumbaro kujihusisha na soka ndani na nje ya mipaka ya Tanzania kwa madai kuwa amekiuka Kanuni za Ligi za shirikisho hilo.
Akisoma hukumu hiyo kwenye ofisi za Makao Makuu ya TFF zilizopo Posta jijini Dar es Salaam jana, Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Nidhamu ya shirikisho hilo, Jerome Msemwa, alisema kamati imemtia hatiani mwanasheria huyo...
10 years ago
Mwananchi09 Oct
Ndumbaro aivimbia kamati TFF makato ya asilimia tano
10 years ago
Mwananchi25 Dec
Ndumbaro: Hatima yangu mkutano mkuu wa TFF mwakani
10 years ago
Mwananchi24 Nov
Sakata la rufaa ya Ndumbaro sasa laanza kuwavuruga TFF
10 years ago
Mwananchi04 Nov
Mwakibinga aruka kimanga kutoa siri za TFF kwa Ndumbaro
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-FdcsDQ_ACKw/VFUCf1tpCmI/AAAAAAAGum4/GjzrgYo9E_o/s72-c/download.jpg)
TFF YAJIBU SHUTUMA ZILIZOTOLEWA NA WAKILI NDUMBARO DHIDI YAKE
![](http://2.bp.blogspot.com/-FdcsDQ_ACKw/VFUCf1tpCmI/AAAAAAAGum4/GjzrgYo9E_o/s1600/download.jpg)
1.Hukumu dhidi ya Wakili Ndumbaro ilitolewa na chombo halali kwa mujibu wa Katiba ya TFF. Hivyo, TFF inatoa tahadhari kwa wanafamilia wa mpira wa miguu kutomhusisha Wakili Ndumbaro katika masuala ya mpira wa miguu katika kipindi hiki anachotumikia adhabu.
2.Hadi sasa TFF haijapokea rufani yoyote...