Ndumbaro: Hatima yangu mkutano mkuu wa TFF mwakani
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Simba na mjumbe wa Bodi ya Ligi, Damas Ndumbaro amesema hatima ya adhabu tata aliyopewa ya kufungiwa miaka saba, itajulikana kwenye mkutano mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-FPiZVG_Wxq8/VJsftirF2_I/AAAAAAAG5p8/NxzqJWn1eU4/s72-c/images%2B(1).jpg)
Wakili Damas Ndumbaro asema hatma yake TFF kujulikana kwenye mkutano mkuu wa Shirikisho hilo mwakani
![](http://1.bp.blogspot.com/-FPiZVG_Wxq8/VJsftirF2_I/AAAAAAAG5p8/NxzqJWn1eU4/s1600/images%2B(1).jpg)
9 years ago
Mtanzania09 Sep
Mkutano Mkuu TFF Des 19
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
MKUTANO Mkuu wa kawaida wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), unatarajiwa kufanyika Desemba 19 na 20, mwaka huu.
Kikao cha Kamati ya utendaji cha Shirikisho hilo, kilichokutana Septemba 6 mwaka huu kimepanga kufanyika kwa mkutano huo huku ajenda zake zitatangazwa baadaye.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Habari wa TFF, Baraka Kizuguto, alisema ajenda hizo zitatolewa kwa mujibu wa Katiba ya TFF.
“Tunawataarifu wajumbe wa mkutano mkuu tarehe ya...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-08jiFqBepxM/VnFxgLZmDHI/AAAAAAAIM2E/RCw6gXXNLVo/s72-c/pvg.png)
MKUTANO MKUU WA TFF WAAHIRISHWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-08jiFqBepxM/VnFxgLZmDHI/AAAAAAAIM2E/RCw6gXXNLVo/s640/pvg.png)
Mwishoni mwa mwezi Novemba 2015, Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) mkoa wa wa Ilala ulitoa agizo la kufungwa na kuchukuliwa fedha kutoka kwenye akaunti za Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) ili kulipa fedha zaidi ya shilingi bilioni 1.6, sehemu kubwa ikiwa ni malipo ya kutoka kwenye mishahara...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-tFnIPNVy8zI/VDVdAxJwP4I/AAAAAAAGou4/vLvrbTNnYtM/s72-c/ndumbalo1.jpg)
Ndumbaro kikaangoni TFF
![](http://4.bp.blogspot.com/-tFnIPNVy8zI/VDVdAxJwP4I/AAAAAAAGou4/vLvrbTNnYtM/s1600/ndumbalo1.jpg)
MWANASHERIA, Damas Ndumbaro ameingia kikaangoni baada ya kuitwa kwenye kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ili kujibu tuhuma alizozitoa wiki iliyopita.
Barua hiyo iliyosainiwa na Katibu Mkuu wa TFF, Selestine Mwesigwa imemtaka Ndumbaro kufika kwenye ofisi TFF zilizopo jengo la PPF Tower leo saa 8:00 mchana kujadili masuala mbalimbali ikiwemo tuhuma alizozitoa kwenye vyombo vya habari hivi karibuni.
Ndumbalo ambaye ni mwanasheria wa klabu za Ligi...
10 years ago
Mwananchi12 May
TFF yamkomalia Ndumbaro
10 years ago
Mwananchi12 Mar
Vumbi kutimka mkutano mkuu TFF
9 years ago
Mtanzania12 Dec
Hofu yaghubika Mkutano Mkuu TFF
NA OSCAR ASSENGA
VIONGOZI wa Chama cha Soka Mkoa wa Tanga (TRFA), wameingiwa na hofu kuhusiana na Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), uliopangwa kufanyika katika Hoteli ya Regal Naivera, baada ya kushindwa kuelezea maandalizi yake.
Akizungumza mkoani hapa, Msimamizi wa Kituo cha Tanga na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF Mkoa wa Tanga, Khalid Abdallah, alisema wao hawawezi kuzungumzia maandalizi ya mkutano huo kwa sababu maelezo yanatolewa na Ofisa Habari wa TFF, Baraka...
9 years ago
Michuzi08 Sep
MKUTANO MKUU WA TFF DISEMBA 19, 2015
![](http://tff.or.tz/images/gs.png)
10 years ago
Tanzania Daima02 Nov
TFF yajisafisha upupu wa Ndumbaro
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limeyatolea ufafanuzi madai ya wakili wa kujitegemea aliyefungiwa kujihusisha na soka kwa miaka saba Dk. Damas Ndumbaro, aliyoyitoa katika mkutano wake na wanahabari, kuhusu uhalali...