Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakili Damas Ndumbaro asema hatma yake TFF kujulikana kwenye mkutano mkuu wa Shirikisho hilo mwakani

Mwenyekiti wa Kamati ya uchaguzi ya Simba na mjumbe wa Bodi ya Ligi Kuu, Wakili Damas Ndumbaro (pichani) amesema hatma yake ya kujihusisha na masuala ya soka itajulikana kwenye mkutano mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).  Mkutano huo umepangwa kufanyika mapema mwezi Machi mwakani ambapo ajenda ya mkutano huo ni Kufungua kikao, kuthibitishwa kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu, kusoma nakuthibitisha ajenda, hotuba ya Rais, kupokea taarifa za utekelezaji za wanachama, kupitisha taarifa za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ndumbaro: Hatima yangu mkutano mkuu wa TFF mwakani

Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Simba na mjumbe wa Bodi ya Ligi, Damas Ndumbaro amesema hatima ya adhabu tata aliyopewa ya kufungiwa miaka saba, itajulikana kwenye mkutano mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

 

10 years ago

Michuzi

TFF YAJIBU SHUTUMA ZILIZOTOLEWA NA WAKILI NDUMBARO DHIDI YAKE

Oktoba 31 mwaka huu kupitia vyombo vya habari Wakili Damas Ndumbaro alitoa shutuma mbalimbali dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Tunapenda kuueleza umma wa Watanzania yafuatayo;
1.Hukumu dhidi ya Wakili Ndumbaro ilitolewa na chombo halali kwa mujibu wa Katiba ya TFF. Hivyo, TFF inatoa tahadhari kwa wanafamilia wa mpira wa miguu kutomhusisha Wakili Ndumbaro katika masuala ya mpira wa miguu katika kipindi hiki anachotumikia adhabu.
2.Hadi sasa TFF haijapokea rufani yoyote...

 

10 years ago

GPL

WAKILI DAMAS NDUMBARO ATUPWA JELA YA SOKA MIAKA SABA

Wakili Damas Ndumbaro. Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la soka nchi TFF, imemfungia wakili Damas Ndumbaro kujihusisha na mambo ya soka kwa muda wa miaka saba na faini ya kiasi cha pesa. Ndumbaro ambaye aliingia katika mzozo mkubwa na rais wa TFF, Ndugu, Jamal Malinzi wiki iliyopita baada ya TFF kuagiza kila klabu kukatwa asilimia tano za mapato yatokanayo na udhamini wa klabu hizo wanaoupata kutoka kwa Vodacom, wadhamini wakuu...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ......: WAKILI DAMAS NDUMBARO ‘ ATUPWA JELA YA SOKA’ MIAKA SABA

Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la soka nchi TFF, imemfungia wakili Damas Ndumbaro kujihusisha na mambo ya soka kwa muda wa miaka saba na faini ya kiasi cha pesa. Ndumbaro ambaye aliingia katika mzozo mkubwa na rais wa TFF, Ndugu, Jamal Malinzi wiki iliyopita baada ya TFF kuagiza kila klabu kukatwa asilimia tano za mapato yatokanayo na udhamini wa klabu hizo wanaoupata kutoka kwa Vodacom, wadhamini wakuu wa ligi kuu ya Tanzania Bara, na Azam Tv.
Ndumbaro alikimbilia katika vyombo vya habari...

 

10 years ago

Michuzi

TFF na Kamati zake hazina mamlaka ya kunifungia - Wakili Ndumbaro

Na Noreen Ahmad Globu ya Jamii
HUKU Dk. Damas Ndumbaro, akiwa amekata rufaa kupinga adhabu ya kifungo cha miaka saba kujihusisha na soka ndani na nje ya nchi iliyotolewa na Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), amesema ataendelea kufanya kazi zake za kuwawakilisha wadau wa soka watakaohitaji huduma yake ya uwakili.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Ndumbaro alisema kuwa TFF na Kamati zake hazina mamlaka ya kumfungia kufanya kazi za uwakili isipokuwa Jaji Mkuu wa Tanzania...

 

11 years ago

IPPmedia

Election committee chairman, Damas Ndumbaro


IPPmedia
Election committee chairman, Damas Ndumbaro
IPPmedia
While Simba's electoral committee has disqualified Michael Wambura from contesting in the club's polls scheduled for June 29, the aspirant said he will respond on the options to take today. Election committee chairman Damas Ndumbaro declared ...

 

5 years ago

CCM Blog

HATMA YAO KUJULIKANA WIKI HII

Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma.RIPOTI kuhusu tuhuma zinazowakabili makatibu wakuu wastaafu wawili(Adbulrahman Kinana na Yusuph Makamba) akiwemo aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe tayari imekamilika na inatarajiwa kukabidhiwa kwa Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi mwishoni mwa wiki hii na kamati ndogo ya nidhamu chini ya uongozi wa Makamu Mwenyekiti wa chama, Bara Philip Mangula.
Kauli hiyo ilitolewa jijini hapa jana na Katibu Mkuu wa chama, Dk Bashiru Ally wakati akizungumza na...

 

10 years ago

Michuzi

Hatma ya Ndumbaro kutolewa Mei 10 mwaka huu

HATIMAYE hatma ya mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya Simba na mjumbe wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, Dk Damas Ndumbaro itatolewa Mei 10 mwaka huu.
Kikao cha Kamati ya rufaa ya nidhamu chini ya Revocatus Kuuli ilisikiliza hoja za pande mbili ambao Ndumbaro alijiwakilisha mwenyewe wakati kwa upande wa TFF iliwakilishwa na wakili wao Emmanuel Muga huku habari za ndani zikidai kuwa licha ya Ndumbaro kukata rufaa, TFF nayo imemfungulia shtaka la tatu la kuandaa mechi kinyume na taratibu.
Kikao hicho...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKAGUA MAGHALA YA CHAKULA KIZOTA DODOMA: Mwekezaji wa Poland asema wataanza kujenga Januari, mwakani

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Bw. Witold Karczewski (kulia) ambaye ni mmiliki wa kampuni ya Mlynpol ya Poland ambayo ina nia ya kujenga maghala ya kisasa ya kuhifadhi nafaka katika kanda hapa nchini wakati alipokagua maghala ya SGR mjini Dodoma Novemba 6, 2014 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana  na Bw. Witold Karczewski (kulia) ambaye ni mmiliki wa kampuni ya Mlynpol ya Poland ambayo ina nia ya kujenga maghala ya kisasa ya kuhifadhi nafaka katika kanda hapa nchini wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani