Udanganyifu wadaiwa kuchelewesha malipo ya fidia.
Na Jumanne Ntono,
Mara.
Serikali imesema kampuni ya kuchimba madini ya dhahabu ya ACACIA iliyopo Nyamongo wilayani Tarime mkoani Mara imechelewa kulipa fidia ya maeneo na majengo ya wananchi yaliyofanyiwa tathimini.
Ni kutokana na udanganyifu mkubwa uliofanywa na wananchi, wathamini wa Serikali wasio waaminifu na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo waliotaka malipo yao yaongezeke zaidi.
Hayo yalielezwa na waziri wa nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo katika kijiji cha...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi22 Dec
Malipo ya fidia yawatoa machozi wananchi Dar
11 years ago
Habarileo21 Jul
Gazeti la Mawio na mwandishi wake Jabir wadaiwa fidia bil.2/-
MKURUGENZI Mtendaji wa kampuni ya AP Media and Consultant Limited, Peter Keasi, amefungulia shauri la madai dhidi ya Mhariri wa gazeti la kila wiki la Mawio na mwandishi wa gazeti hilo, Jabir Idrissa, akidai fidia ya Sh billioni mbili kwa madai ya kukashifiwa.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-tIek3Sfwcdc/Xs0SEul2-_I/AAAAAAALrms/Yq5GY4Bq_zMgJwXSs-W_12-7-5jtNgDewCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO DKT. MPANGO KWENYE HAFLA YA KUPOKEA SEHEMU YA MALIPO YA FIDIA LEO JIJINI DODOMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-tIek3Sfwcdc/Xs0SEul2-_I/AAAAAAALrms/Yq5GY4Bq_zMgJwXSs-W_12-7-5jtNgDewCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) wa pili kushoto, akipokea hundi kifani ya dola milioni 100 kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Kampuni ya Barrick Bw. Hilaire Diarra (wa pili kushoto), Jijini Dodoma Tarehe 26 Mei, 2020, ikiwa ni sehemu ya malipo ya dola milioni 300 ambazo Kampuni hiyo ilikubali kuilipa Serikali kumaliza mzozo uliokuwepo kati ya Serikali na Kampuni hiyo hatua iliyosababisha pia kuanzishwa kwa Kampuni ya Ubia ya Madini ya Twiga kati ya...
10 years ago
StarTV13 Feb
Rais Nigeria akana kuchelewesha uchaguzi.
Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan amekana kwamba alishauriwa kuhusu kuahirishwa kwa uchaguzi wa urais nchini humo siku ya jumamosi.
Maafisa wa uchaguzi walichukua hatua hiyo kufuatia ushauri wa wasiwasi wa maafisa wa usalama kuhusu mashambulizi ya wapiganaji wa Boko Haram kazkazini mashariki alisema.
Kucheleweshwa kwa uchaguzi kwa kipindi cha wiki moja sio kitu kikubwa alisema katika rininga ya taifa hilo.
cialis nitratoUpinzani unadai kwamba bwana Johnathan alilazimisha uchaguzi...
10 years ago
BBCSwahili12 Feb
Nigeria:Rais akana kuchelewesha uchaguzi
10 years ago
BBCSwahili29 Jan
Rais Kiir augua na kuchelewesha mazungumzo
10 years ago
Mwananchi08 Dec
Jaji Mkuu Chande awaonya mawakili kuchelewesha kesi
11 years ago
Habarileo10 Apr
Tanesco lawamani kwa kuchelewesha haki ya mtumishi wake
HASSAN Jambia mfanyakazi wa zamani wa Shirika la umeme aliyeachishwa kazi na baadaye akashinda kesi amelilalamikia Shirika la Umeme (Tanesco) kwa kugoma kumlipa fedha zake licha ya kushinda kesi katika mahakama zote.
10 years ago
StarTV10 Jan
Serikali lawamani kuchelewesha ugawaji viwanja kwa waathirika wa mafuriko.
Na Kasilda Mgeni Mulimila,
Morogoro.
Zaidi ya waathirika 200 wa mafuriko yaliyotokea Januari mwaka jana wilayani Kilosa mkoani Morogoro wameilalamikia Serikali kwa kushindwa kupima na kuwagawia viwanja kwa wakati hali ambayo imewafanya washindwe kujenga makazi ya kudumu na kuondokana na adha ya kukaa kwenye mahema ambayo sasa yamechakaa.
Malalamiko hayo yanakuja kutokana na mvua kuanza kunyesha wakati mahema yakiwa yamechanika na mvua kuwanyeshea hali ambayo inawafanya waishi katika...