Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC Makonda kutinga kortini kwa udhalilishaji.

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda.
Viongozi wawili wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wanakusudia kumfikisha mahakamani Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, Jumatatu ijayo kwa madai ya kuwakashifu, kuwadhalilisha na kuwatukana.

Viongozi hao ni aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida Mgana Msindai.

Akisoma kusudio hilo jana mbele ya waandishi wa habari kwa niaba ya mwenzake, Guninita alisema.

Makonda hakustahili kuteuliwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Tucta yamshukia Makonda kwa udhalilishaji

Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) limelaani watendaji wa Serikali katika ngazi mbalimbali kuwakandamiza na kuwadhalilisha wafanyakazi kwa kisingizio cha kaulimbiu ya Rais John Magufuli ya ‘Hapa Kazi Tu’.

 

11 years ago

GPL

BOSI ALIYEMNG’ATA HAUSIGELI WAKE KUTINGA KORTINI

Yusta  akiwa hospitalini Mwananyamala alipotembelewa na mtandao huu. …Akipata huduma kutoka kwa muuguzi.  AMINA MAIGE ambaye alikuwa bosi wa hausigeli Yusta Lucas (20) wa jijini Dar es Salaam, atafikishwa mahakamani wakati wowote kwa tuhuma za  kumng’ata sehemu mbalimbali za mwili kwa…

 

10 years ago

Mwananchi

wakina Guninita ‘wamtia’ DC Makonda kortini

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ametakiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu kuwasilisha utetezi dhidi ya madai ya makada wawili wa CCM, John Guninita na Mgana Msindai kuwa aliwadhalilisha kwa kuwaita vibaraka wanaotumiwa kuharibu chama hicho kwa nguvu ya pesa.

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA ATANGAZA DAWA KWA WAKANDARASI WANAOKIUKA TARATIBU ZA MIKATABA * RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo Na Leandra Gabriel, Michuzi TV MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya w

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari juu ya  kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao watapitia mikataba yote ya miradi mbalimbali iliyosainiwa mkoa wa Dar es salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa globu ya jamii)
* RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanaume 13 washtakiwa kwa udhalilishaji

Wanaume 13 asili ya Somalia washtakiwa kwa udhalilishaji dhidi ya Watoto wa kike

 

10 years ago

Michuzi

SAKATA LA ASKOFU GWAJIMA, MAASKOFU KUTINGA KWA IGP LEO KUMUOMBEA MSAMAHA

 Maaskofu na wachungaji wa makanisa ya kipentekosti wakiingia ukumbini katika Hoteli ya Tamari iliyopo Mwenge tayari kwa kutoa tamko lao.Katibu wa Maaskofu wa makanisa ya Kipentekosti Dk. Damas Mukassa akisoma tamko la maaskofu hao Dar es Salaam jana, kuhusu sakata la kukamatwa kwa Askofu wa Kanisa la Uzima na Ufufuo, Josephat Gwajima ambalo leo hii wanatarajia kwenda kumuona Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Mangu kuzungumzia suala hilo. Kulia ni Askofu Dk.Mgullu Kilimba na Askofu Mwaviga...

 

11 years ago

Michuzi

Mhe. Asha Bakari Makame kwa umahiri wake wa kupinga udhalilishaji wa kijinsia katika bunge la katiba

 Keki Maalum  ambayo imeandaliwa na baadhi ya Wajumbe Wanawake wa Bunge Maalum la Katiba kumpongeza Mjumbe wa Bunge hilo Mh. Asha Bakari Makame kwa umahiri wake wa kupinga udhalilishaji wa kijinsia ndani ya Bunge hilo.  Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Asha Bakari Makame akitoa shukrani zake kwenye hafla fupi ya Kupongezwa kutokana na kutetea jinsia ya Wanawake ndani ya Bunge la Katiba.   Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Asha Bakari Makame akikata Keki Maalum kuashiria uzinduzi...

 

5 years ago

Michuzi

RC Makonda apongeza TAA kwa kujidhatiti kwa Corona


Ataka wananchi kufuata masharti yaliyotolewaAsema kuanzia kesho mitaa kupuliziwa dawa  Na Bahati Mollel,TAA
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameipongeza Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), kwa kujipanga vyema kwa kushirikiana na wahudumu wa afya kwa kuweka maji yenye dawa maalum ya kunawa mikono na kupima joto la mwili kwa watu wote wanaoingia na kutoka maeneo ya viwanja vya ndege, ili kuzuia kuingia zaidi kwa watu walioambukizwa ugonjwa wa homa kali ya Mapafu...

 

9 years ago

Mtanzania

Kortini kwa kuingia nyumbani kwa Mzee Mwinyi

mwinyi1bcNA MANENO SELANYIKA, DAR ES SALAAM

MKAZI wa Ilala Mtaa wa Lindi, Hafidhi Ally (23), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kinondoni akikabiliwa na tuhuma za kuvamia kisha kuingia nyumbani kwa Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi.

Mbele ya Hakimu Ester Kihiyo, karani wa mahakama hiyo, Mosses Mchome, alidai kwamba mtuhumiwa alifanya kosa hilo Desemba 10, mwaka huu saa 7:30 usiku nyumbani kwa Mzee Mwinyi,  Mikocheni B, Dar es Salaam.

Karani Mchome aliiambia mahakama hiyo kwamba, Hafidhi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani