Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mhe. Asha Bakari Makame kwa umahiri wake wa kupinga udhalilishaji wa kijinsia katika bunge la katiba

 Keki Maalum  ambayo imeandaliwa na baadhi ya Wajumbe Wanawake wa Bunge Maalum la Katiba kumpongeza Mjumbe wa Bunge hilo Mh. Asha Bakari Makame kwa umahiri wake wa kupinga udhalilishaji wa kijinsia ndani ya Bunge hilo.  Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Asha Bakari Makame akitoa shukrani zake kwenye hafla fupi ya Kupongezwa kutokana na kutetea jinsia ya Wanawake ndani ya Bunge la Katiba.   Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Asha Bakari Makame akikata Keki Maalum kuashiria uzinduzi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Bi.Asha Bakari Makame (Video Clip)

_1

Makamu Mwenyekiti UWT,Bi. Asha Bakari Makame.

 

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta awaahidi walemavu kutendewa haki katika Katiba Mpya


MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel  Sitta amewahakikishia Watu wenye Ulemavu nchini kuwa wanatendewa haki katika Katiba Mpya itakayopatikana.


Mhe. Sitta ameyasema hayo leo Septemba Mosi, 2014 katika mkutano wake na baadhi ya viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) ambalo lilikuja katika Bunge Maalum kwa lengo la kuwasilisha hoja zenye msisitizo kuhusu haki za watu wenye ulemavu katika mchakato Katiba Mpya.


Mhe. Sitta amesema kuwa kazi...

 

11 years ago

Michuzi

TAMWA WATOA ELIMU KWA WABUNGE WANAWAKE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUZINGATIA MASUALA YA USAWA WA KIJINSIA WAKATI WA UTUNZI WA KATIBA MPYA.

Na Tiganya Vincent-Dodoma   Mwenyekiti wa Wabunge Wanawake wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anna Abdallah ametoa wito kwa wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba kufanya kazi kwa ushirikiano katika kuhakikisha kuwa wanaweka maslahi ya mwanamke mbele katika uandishi wa Katiba mpya na sio vinginevyo.   Mwenyekiti huyo ametoa kauli hiyo leo mjini Dodoma wakati anafungua semina ya siku moja ya wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa...

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania katika Mkutano wa Kimataifa kuhusu Ukomeshwaji wa Udhalilishaji wa Kijinsia kwenye Maeneo yenye Migogoro

 Mhe. Peter Kallaghe, Balozi wa Tanzania nchini Uingereza akizungumza na  Mhe. Mark Simmonds, Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa kuhusu Ukomeshwaji wa Udhalilishaji wa Kijinsia kwenye Maeneo yenye Migogoro unaoendelea Jijini London, Uingereza.  Kwenye sherehe za ufunguzi, waandaaji wa mkutano huo walisifia nchi zinazochangia kuleta amani kwenye maeneo yenye migogoro duniani . Aidha walisifu hatua ya Tanzania kuwa miongoni mwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mhe. Sitta apewa pongezi kwa kuliendesha Bunge Maalum la Katiba kwa utulivu na amani

PIX 1.

Sheikh Hemed Jalala akizungumza na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba (hayupo pichani) wakati alipotembelea Bunge Maalum leo 03 Septemba, 2014 kwa ajili ya kumpongeza kwa kazi kubwa na nzuri anayoifanya.

Na Magreth Kinabo, Dodoma.

BAADHI ya viongozi wa dini wamempongeza Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta kwa kitendo chake cha kuliendesha Bunge  hilo vizuri katika hali ya utulivu na amani.

Kauli hiyo imetolewa leo na  Sheikh Hemed Jalala kutoka Msikiti wa Ghadiir...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani