Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RC Makonda apongeza TAA kwa kujidhatiti kwa Corona


Ataka wananchi kufuata masharti yaliyotolewaAsema kuanzia kesho mitaa kupuliziwa dawa  Na Bahati Mollel,TAA
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameipongeza Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), kwa kujipanga vyema kwa kushirikiana na wahudumu wa afya kwa kuweka maji yenye dawa maalum ya kunawa mikono na kupima joto la mwili kwa watu wote wanaoingia na kutoka maeneo ya viwanja vya ndege, ili kuzuia kuingia zaidi kwa watu walioambukizwa ugonjwa wa homa kali ya Mapafu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI UMMY MWALIMU AMKABIDHI RC MAKONDA VIFAA VYA KUNAWA MIKONO KWA AJILI YA KUWAKINGA WANANCHI NA CORONA.

 Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto Mhe Ummy Mwalimu (katikati),akionesha mfano wa kunawa katika moja ya matenki 1000 aliyoyakabidhi kwa mkuu wa mkoa wa Dar es salama kwa niaba ya mikoa mingine wak ajili ya wananchi kunawa mikono kujikinga na maambukizi ya COVID 19,Pichani kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam,Paul Makonda Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto MheUmmy Mwalimu akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari mapema leo jijini Dar,wakati...

 

5 years ago

Michuzi

TUNAANZA RASMI ZOEZI LA KUPULIZA DAWA YA KUUA WADUDU NA KUENEA KWA VIRUSI VYA CORONA KESHO-RC MAKONDA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda amesema mkoa huo utaanza rasmi kesho zoezi la kupuliza dawa ya kuua vijidudu na kudhibiti kuenea kwa Virusi vya Corona katika maeneo mbalimbali ya Jiji hilo ambapo amewataka wananchi wasiwe na hofu pindi wanapoona magari yanapita mitaani kupuliza dawa.
RC Makonda amesema kwa kufanya hivyo  itasaidia pia kuua Vimelea na Wadudu kama Mbu wanaoenzeza ugonjwa wa Malaria, homa ya dengu na magonjwa mengineyo na kufanya jiji hilo kuwa katika hali nzuri...

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA ATANGAZA DAWA KWA WAKANDARASI WANAOKIUKA TARATIBU ZA MIKATABA * RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo Na Leandra Gabriel, Michuzi TV MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya w

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari juu ya  kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao watapitia mikataba yote ya miradi mbalimbali iliyosainiwa mkoa wa Dar es salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa globu ya jamii)
* RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao...

 

11 years ago

Bongo5

Zitto Kabwe apongeza nguvu ya mitandao ya kijamii kwa kusababisha kusitishwa kwa ajira katika idara ya uhamiaji

Nguvu ya mitandao ya kijamii hususan Facebook, Twitter na forums mbalimbali, inafahamika kwa kusababisha mashinikizo makubwa kwenye serikali nyingi duniani. Mfano hai ni jinsi mitandao hiyo ilivyopelekea idara ya uhamiaji kusitisha ajira zake. “Uamuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani kusitisha ajira ya idara ya uhamiaji ni hekima sana. Hii pia inaonyesha nguvu ya social […]

 

10 years ago

GPL

AJILIPUA KWA MAFUTA YA TAA

Stori:  Hamida Hassan na Gladness Mallya
Kijana mmoja Nicholas Mhagama (25), mkazi wa Makongo Juu Dar,  juzi kati alijilipua na mafuta ya taa kisa kikidaiwa kunyanyaswa na babu yake. Tukio hilo lilitokea eneo la Makongo Juu Makaburini usiku ambapo kijana huyo na babu yake aliyemtaja kwa jina moja la Mhagama waligombana. Kijana Nicholas Mhagama (25) aliyejilipuwa na mafuta ya taa akidai kunyanyaswa. AJILIPUA KWA MAFUTA YA...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utandawazi umezima taa ya maadili kwa vijana

KUTOKANA na maendeleo ya Sayansi na Teknolojia, suala ya utandawazi limekuwa likilalamikiwa kuwa chanzo cha kufifisha maadili ya Tanzania. Watu wengi hususan vijana wamekuwa wakiishi kwenye giza la uovu. Vitu...

 

10 years ago

Habarileo

Ngeleja apongeza wanaCCM Sengerema kwa ushindi

William NgelejaMBUNGE wa Sengerema mkoani Mwanza, William Ngeleja amewashukuru wananchi wa jimbo lake la uchaguzi kwa kukipatia ushindi wa kishindo Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwishoni mwa mwaka jana.

 

5 years ago

Michuzi

BODI YA USHAURI TAA YARIDHISHWA NA UKAGUZI WA CORONA TB3


Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Dkt Masatu Chiguma akipimwa joto la mwili na Afisa Afya, Yusta Malisa wakati bodi hiyo ilipotembelea Jengo la Tatu la Abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA-TB3), kwa ziara ya kikazi.
Wajumbe wa Bodi ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), wakiangalia moja ya begi likipita kwenye mkanda ikiwa ni hatua ya tatu kwa ukaguzi kabla halijafika hatua ya mwisho...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kombani apongeza TPSC kwa kutoa wahitimu bora

HIVI karibuni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani, alikipongeza Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) kwa kutoa wahitimu bora. Kombani alitoa pongezi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani