Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kombani apongeza TPSC kwa kutoa wahitimu bora

HIVI karibuni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani, alikipongeza Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) kwa kutoa wahitimu bora. Kombani alitoa pongezi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mfuko wa Rais kutoa mikopo kwa wahitimu

Mfuko wa Rais wa Kujitegemea (PTF) utatoa mikopo kwa wahitimu wa vyuo vinavyotambuliwa na Mamlaka ya Elimu ya Mafunzo ya Ufundi Tanzania (Veta) kuanzia Januari mwakani.

 

9 years ago

StarTV

ILO kutoa mafunzo kazini kwa wahitimu wa elimu ya juu kukabiliana na tatizo la ajira

Wakati Tanzania ikikabiliwa na tatizo la ajira kwa vijana, vyuo vingi nchini bado vinatajwa kuwa na upungufu wa kutoa elimu kwa vitendo na kuwafanya vijana wanaomaliza elimu ya juu kushindwa kumudu ushindani katika soko la ajira.

Kutokana na upungufu huo unalisukuma Shirika la Kazi Duniani (ILO) kuanzisha mafunzo ya unagezi wakimaanisha mafunzo kazini.

Mafunzo ya unagezi ni mafunzo yanayotolewa kwa vijana katika maeneo yao ya kazi kwa lengo la kuwajengea uwezo katika kipindi hiki ambacho...

 

9 years ago

Global Publishers

Airtel yashinda tuzo mbili kwa kutoa huduma bora kwa wateja‏

pic 1 (3)MKurugenzi Mkuu wa Airtel Bwana Sunil Colaso akipokea tuzo ya ubora katika kipengele cha kutoa huduma za kimtandao kutoka kwa waandaaji wa tuzo za Tanzania Leadership Award bwana Kishore Bollakpalli (kushoto). Airtel Tanzania imejishindia tuzo mbili za ubora katika kipengele cha kutoa huduma za kimtandao pamoja na huduma zinazokidhi mahitaji ya wateja.

Yajishindia tuzo kwa matumizi bora katika kutoa huuduma za kimtandao pamoja na huduma zinazokidhi mahitaji ya wateja

Dar es Salaam, Jumanne...

 

10 years ago

Michuzi

PSPF YAPATA TUZO YA KIMATAIFA KWA KUTOA HUDUMA BORA KWA WATEJA WAKE


unnamedBalozi wa PSPF Bw.Mrisho Mpoto alionesha tuzo iliyotolewa na Taasisi ya Kimataifa ya kusimamia Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (ISSA) kwa Mfuko wa Pensheni wa PSPF kwa ajili ya kwa  kutumiaTeknolojia ya Habari na Mawasilino katika utunzaji wa kumbukumbu za wateja na kwa kuwasiliana na wateja wake kwa kutumia simu za mikonono, kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw. Adam Mayingu.

 

10 years ago

Michuzi

ASKARI POLISI WATAKIWA KUTOA HUDUMA BORA KWA JAMII

Na Frank Geofray – Jeshi la Polisi, Moshi.
Askari Polisi kote nchini wametakiwa kuendelea kutoa huduma bora kwa jamii, kwa kuwa kufanya hivyo kutasaidia kuimarisha na kuboresha uhusiano mwema na jamii ambao utasaidia kukabiliana na vitendo vya uhalifu na wahalifu vinavyojitokeza hapa nchini.
Hayo yalisemwa jana na Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi Nchini, Abdulrahman Kaniki wakati alipokuwa akifungua mkutano wa Maafisa wanadhimu, wahasibu na watunza stoo kutoka mikoa na vikosi vya Jeshi la...

 

10 years ago

Dewji Blog

MO ASSURANCE yajipanga kutoa huduma bora kwa watanzania maonyesho ya Sabasaba

IMG_5136

Meneja mwendeshaji wa Kampuni ya bima ya MO (MO ASSURANCE),  Ravinshankar Venkatrama ( wa pili kushoto) akiwa na timu ya wafanyakazi wa kampuni hiyo watakaokua wanatoa huduma katika Banda la MO ASSURANCE lilipo ndani ya mabanda ya MeTL Group kwenye maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yaliyoanza kurindima jana kwenye mabanda ya Sabasaba katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere,  barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Afisa wa kampuni ya MO ASSURANCE,...

 

10 years ago

GPL

MO ASSURANCE YAJIPANGA KUTOA HUDUMA BORA KWA WATANZANIA MAONYESHO YA SABASABA‏

Ofisa Mtendaji Masoko wa Kampuni ya bima ya MO (MO ASSURANCE), Tawheeda Isaack akipiga 'selfie' na wafanyakazi wenzake. Ofisa Mtendaji wa Masoko wa Kampuni ya bima ya MO (MO ASSURANCE), Tawheeda Isaack katika picha ya pamoja na mbunifu wa mavazi nchini, Ally Rehmtulah alipotembelea banda la MO ASSURANCE. Muonekano wa nje wa banda la kampuni ya MO ASSURANCE ndani ya maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa yalioanza kurindima...

 

9 years ago

Michuzi

MAWAKALA WA VODACOM TANZANIA WAPIGWA MSASA KUTOA HUDUMA BORA KWA WATEJA

 Mkuu wa Kitengo cha M-Pesa wa Vodacom Tanzania, George Kagaruki akitoa mafunzo kwa Mawakala wa M-Pesa wa kanda ya Mbagala jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wakati wa Semina iliyoandaliwa na Kampuni hiyo kwa ajili ya mawakala hao kujifunza jinsi ya kutoa na kuboresha huduma  za kifedha, kuepukana na  udanganyifu wa kifedha na jinsi ya  kupata faida zaidi kwa kuuza Vodafasta (muda wa hewani) na kuunganisha wateja wa kampuni hiyo kwa kutumia huduma ya M-Pawa.
 Wakufunzi wa Semina ya...

 

10 years ago

Michuzi

Tupo kwa ajili yako katika kutoa huduma bora za ujenzi DMV

Kazi yetu ni kutoa huduma bora za ujenzi katika maeneo ya Washington DC, Maryland na Virginia, kwa huduma za ukarabati wa nyumba yako, kitaalamu na kwa ufanisi zaidi.Tunaweza kushughulikia mahitaji yote ya matengenezo yanayohusu ujenzi ama ukarabati wa nyumba yako, ili kufanya urahisi wa kile ulichoharibikiwa, kwa uhakika na uwaminifu zaidi juu ya utendaji wa kazi zetu bora kwa ajili ya kusaidiana na mteja kwenye maswala ya ujenzi kwa wamiliki wa nyumba katika maeneo ya hapa DMVTunatoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani