AJILIPUA KWA MAFUTA YA TAA
Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya Kijana mmoja Nicholas Mhagama (25), mkazi wa Makongo Juu Dar, juzi kati alijilipua na mafuta ya taa kisa kikidaiwa kunyanyaswa na babu yake. Tukio hilo lilitokea eneo la Makongo Juu Makaburini usiku ambapo kijana huyo na babu yake aliyemtaja kwa jina moja la Mhagama waligombana. Kijana Nicholas Mhagama (25) aliyejilipuwa na mafuta ya taa akidai kunyanyaswa. AJILIPUA KWA MAFUTA YA...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi16 Jun
MAONI : Tozo mafuta ya taa itawanyonga wanyonge
5 years ago
CCM BlogBODI YA USHAURI TAA YAIANGUKIA SERIKALI ISAIDIE TAA KATIKA KIPINDI HIKI CHA JANGA LA COVID 19
Na Bahati Mollel,TAA
BODI ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), imeiangukia serikali iisaidie TAA kuigharama huduma mbalimbali za uendeshaji kwenye viwanja vya ndege kutokana na kuathiriwa kwa asilimia 100 na ugonjwa wa homa kali ya mapafu (COVID19), inayoambukizwa na virusi vya corona.
Mwenyekiti wa MAB, Dkt. Masatu Chiguma, ametoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki kwenye kikao cha dharura cha Bodi hiyo, kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jengo la Watu Mashuhuri...
5 years ago
MichuziBODI YA USHAURI TAA YAIANGUKIA SERIKALI ISAIDIE TAA KATIKA KIPINDI HIKI CHA JANGA LA COVID 19
Na Bahati Mollel,TAA
BODI ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), imeiangukia serikali iisaidie TAA kuigharama huduma mbalimbali za uendeshaji kwenye viwanja vya ndege kutokana na kuathiriwa kwa asilimia 100 na ugonjwa wa homa kali ya mapafu (COVID19), inayoambukizwa na virusi vya corona.
Mwenyekiti wa MAB, Dkt. Masatu Chiguma, ametoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki kwenye kikao cha dharura cha Bodi hiyo, kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jengo la Watu...
5 years ago
MichuziRC Makonda apongeza TAA kwa kujidhatiti kwa Corona
Ataka wananchi kufuata masharti yaliyotolewaAsema kuanzia kesho mitaa kupuliziwa dawa Na Bahati Mollel,TAA
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameipongeza Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), kwa kujipanga vyema kwa kushirikiana na wahudumu wa afya kwa kuweka maji yenye dawa maalum ya kunawa mikono na kupima joto la mwili kwa watu wote wanaoingia na kutoka maeneo ya viwanja vya ndege, ili kuzuia kuingia zaidi kwa watu walioambukizwa ugonjwa wa homa kali ya Mapafu...
10 years ago
BBCSwahili22 May
Ajilipua ndani ya msikiti Saudia
11 years ago
Tanzania Daima30 Jan
Utandawazi umezima taa ya maadili kwa vijana
KUTOKANA na maendeleo ya Sayansi na Teknolojia, suala ya utandawazi limekuwa likilalamikiwa kuwa chanzo cha kufifisha maadili ya Tanzania. Watu wengi hususan vijana wamekuwa wakiishi kwenye giza la uovu. Vitu...
10 years ago
BBCSwahili10 Jan
Msichana wa miaka kumi ajilipua Nigeria
10 years ago
GPLKIBAKA ALA KICHAPO KWA WIZI WA TAA ZA GARI UPANGA, DAR
10 years ago
Dewji Blog29 Mar
Katibu UWT Serengeti ‘ajilipua’ asema ni bora CCM ikamuacha Lowassa agombee Urais
Diwani wa kata ya Ikoma wilaya ya Serengeti mkoani Mara, Sebastian Sabasaba Banagi akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jana juu ya ujio wao kwa Mh.Lowassa, kuwa sauti ya wengi ni sauti ya Mungu hivyo kitendo cha kuzuiwa wananchi kueleza hisia zao sio jambo la kidemokrasia bali linakandamiza uhuru wa kusema wanachokiamini huku akisisitiza kuwa Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa ni chaguo la walio wengi na hawatasita kumtafuta popote kumueleza hisia...