Katibu UWT Serengeti ‘ajilipua’ asema ni bora CCM ikamuacha Lowassa agombee Urais
Diwani wa kata ya Ikoma wilaya ya Serengeti mkoani Mara, Sebastian Sabasaba Banagi akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jana juu ya ujio wao kwa Mh.Lowassa, kuwa sauti ya wengi ni sauti ya Mungu hivyo kitendo cha kuzuiwa wananchi kueleza hisia zao sio jambo la kidemokrasia bali linakandamiza uhuru wa kusema wanachokiamini huku akisisitiza kuwa Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa ni chaguo la walio wengi na hawatasita kumtafuta popote kumueleza hisia...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania23 Mar
Vijana wafurika kwa Lowassa kumtaka agombee urais
Na Fredy Azzah, Dodoma
VIJANA zaidi ya 300 ambao ni wawakilishi wa wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani Dodoma, waendesha bodaboda na wamachinga, wamefika nyumbani kwa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kumtaka agombee urais.
Vijana hao walifika nyumbani kwa Lowassa eneo la Area C saa 5.00 wakitembea kwa miguu wakiongozwa na bodaboda.
Baadhi yao walikuwa wamebeba mabango yaliyokuwa na ujumbe tofauti ukiwamo“4U Movement, wanavyuo, Chuo Kikuu Dodoma, Shule za Kata ni vielezo vya uchapakazi wako,...
10 years ago
Dewji Blog28 Jun
Kingunge amdhamini Lowassa, asema mgombea urais wa CCM lazima akubalike na makundi yote, ndani na nje ya chama
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwapungian wananchi wakati akiwasili ofisi za CCM kata ya Mchikichini, Ilala jijini Dar es Salaam, kutafuta wadhamini. (Picha na K-VIS MEDIA).
Mwanasiasa mkongwe nchini Kingunge Ngombali Mwiru, (kushoto), akijaza fomu za kumdhamini Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, kwenye ofisi za CCM wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Juni 27, 2015, wakati Mh. Lowassa, alipotua jijini Dar es Salaam...
9 years ago
Vijimambo01 Sep
MGOMBEA MWENZA URAIS CCM AZUNGUMZA NA WANACHAMA UWT DODOMA
![Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akizungumza na akinamama wanachama wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) na kuwaomba kushirikiana na kuhakikisha wanashinda na kupata heshima hiyo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0341.jpg)
![Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) wakiwa katika mkutano na mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu jana katika Ukumbi wa NEC ofisi za makao Makuu ya CCM Dodoma.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0318.jpg)
![Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akizungumza na akinamama wanachama wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) na kuwaomba kushirikiana na kuhakikisha wanashinda na kupata heshima hiyo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_02091.jpg)
10 years ago
Mtanzania24 Feb
Wana CCM Serengeti watua kwa Lowassa
Na Mwandishi Wetu, Monduli
VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, wamemwomba Waziri Mkuu wa zamani ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa (CCM), kuchukua fomu ya kuwania urais muda utakapofika kwani wanaamini ni kiongozi anayefaa kuwania nafasi hiyo kupitia chama hicho.
Wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM wa wilaya hiyo, Vicent Nyamasagi, viongozi hao walitoa kauli hiyo jana Monduli baada ya kufika nyumbani kwa Lowassa kuwasilisha ombi hilo.
Lakini...
10 years ago
Mwananchi29 Jun
Achukua fomu ya 42 urais CCM, asema yeye ni greda
9 years ago
Mwananchi07 Oct
JK ahutubia Bunge Kenya, asema mgombea wa CCM atashinda urais
10 years ago
Mwananchi16 Jan
‘CCM itateua mgombea bora wa urais 2015’
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Oi8IGTb-jSJgT2JFB003RpvtPuaXN6tyhZgl-RDgEB6EY-X0BzM*lHetDuUZ3gHFmXH-*diLK4E6KpkTrkNJd-bKMfbdqkSl/lowassa2.jpg?width=650)
LOWASSA AFUNGUKA; ASEMA HAHUSIKI NA RICHMOND, ILITUNGWA KUMCHAFUA NA HATOHAMA CCM
10 years ago
KwanzaJamii02 Sep
MEMBE ASEMA, BILA CCM KUWATIA KUFULI PASINGETOSHA URAIS 2015